sangujoseph
Senior Member
- Nov 30, 2015
- 164
- 184
Mtoa mada nitajie tuzo Duniani ambazo mshiriki anatakiwa akachukue FOMU ndo awanie na kama ipo itaje na wasanii waliochukua fomuNapenda kuwajulia hali wana jf...
Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music industry ya bongo mwaka huu ...
Nimeshangaa zaidi hata category ya chipukizi si [HASHTAG]#harmonize[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#rayvanny[/HASHTAG] ambao ni washirika
Swali langu kwa hawa vijana je wao si undergrounds?, wameshakua? au wameingia kwenye beef za boss wao kitu ambacho hakiwahusu?
Lets share the views....View attachment 433160
Haiwezekani mtu kama diamond akahamgaike kuchukua fomu wakati yupo kwenye tuzo kibao za kimataifa ambazo anashinda kıla siku
Harmonize%Mavoko% na Raymond hawawrlezi kuchukua fomu ili wawanie tuzo wakati nao kila siku wanatajwa tuzo za kimataifa alafu hakuna asiyejua ndo grupu linalofanya vzr BONGO haiwezekani wakahangaike kuchukua FOMU ili wafosi TUZO kama wale wa JİRANI