Hatari sana....na mimi ningetuma wimbo wanguHizi Tuzo Msanii Yeye Mwenyewe Ndo Alikuwa Anajipendekeza Kwenye Category Anayo Itaka Kwa Kutuma Kazi Yake
Hatari sana....na mimi ningetuma wimbo wanguHizi Tuzo Msanii Yeye Mwenyewe Ndo Alikuwa Anajipendekeza Kwenye Category Anayo Itaka Kwa Kutuma Kazi Yake
Anzisha za kwakoAwards uchwara hizo...
RUGE SIO MTU MZURI KASHAWAPIGA WATU MIKWARA KUDADAKE....USHAWAHI SIKIA GODFATHER WA BONGOFLAVA WEWE......HATA HUYO SAID FELLA NA BABU TALE WANAREPORT KWA RUGE🙄🙄🙄🙄🙄🙄Napenda kuwajulia hali wana jf...
Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music industry ya bongo mwaka huu ...
Nimeshangaa zaidi hata category ya chipukizi si [HASHTAG]#harmonize[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#rayvanny[/HASHTAG] ambao ni washirika
Swali langu kwa hawa vijana je wao si undergrounds?, wameshakua? au wameingia kwenye beef za boss wao kitu ambacho hakiwahusu?
Lets share the views....View attachment 433160
hahaah...mkuu hao waloenda kuchukua form ili wawemo kweny categories wana hadhi et? au haujui utaratibu ulotumika?wcb sio kituuu...hawana hadh ya kua nominated ktk tuzo hizoo
We jamaa unaangaika sana na WCB, wakati unajua fika kuwa nominetedi ni maamuzi yako ya kupeleka ushindane, pia unajua kabisa WASIOPELEKA SI WCB PEKE YAO WAPO NA WENGINE,ILA WEWE MACHO YAKO YAMEWAONA WCB TU ....... Au bila WCB hizo tuzo hazina maana yoyote .......??Napenda kuwajulia hali wana jf...
Nimefatilia categories za eatvarwads cjaona jina hata moja la member yyte wa wcb ukizingatia ki ukweli ndo kundi/label ambalo limefanya vurugu sana kwenye music industry ya bongo mwaka huu ...
Nimeshangaa zaidi hata category ya chipukizi si [HASHTAG]#harmonize[/HASHTAG] wala [HASHTAG]#rayvanny[/HASHTAG] ambao ni washirika
Swali langu kwa hawa vijana je wao si undergrounds?, wameshakua? au wameingia kwenye beef za boss wao kitu ambacho hakiwahusu?
Lets share the views....View attachment 433160
Hahahhaha umeua mkuuRUGE SIO MTU MZURI KASHAWAPIGA WATU MIKWARA KUDADAKE....USHAWAHI SIKIA GODFATHER WA BONGOFLAVA WEWE......HATA HUYO SAID FELLA NA BABU TALE WANAREPORT KWA RUGE🙄🙄🙄🙄🙄🙄
Mbona sauti sol wametuma? au diamond anamafanikio kuliko wao?mfumo wa kuendesha shindano lenyewe ni mbovu kabisa na unatia aibu,,,unaanza vipi kumwambia Diamond aandike barua ya kuomba kushiriki tena akiwa ameambatanisha na kazi alizowahi kufanya (anazotaka zishindane)!!!!? upuuzi mtupu hata mimi nisingeweza...tuwaachie undergrounds wa Tukuyu, Kasulu, Chanika, Kilombero, Makambako n.k
Maana ya kupeleka barua ujiandae na uwe unajiamini na kazi zako.Walipaswa kwenda kuchukua fomu za kuwa nominee, hawakwenda, ndomaana huwaoni!!! Nikwamba hizo tuzo ni unajifanyia nomination mwenyewe na si vinginevyo!!!
Naona mkuu sasa unapotea unavosena saut sol wanamafanikio kuliko diamond........Mbona sauti sol wametuma? au diamond anamafanikio kuliko wao?
Njoo na hoja yenye nyama
Niambie wewe sauti sol na diamond nan anamafanikioNaona mkuu sasa unapotea unavosena saut sol wanamafanikio kuliko diamond........
Vanessa alishawahi kuwa presenter wa mtv africa Mbona alikuwa nominee? mdhamini haamui mshindi ila ww uliye piga kura ndie unayeamua. Juzi tumeona Alikiba ameshinda hakuna aliyekuwa anamjua kwa majaji ila nguvu ya umma imemsaidia.nmefuatilia mwanzo mwisho kuhusu mjadala huu lakini hakuna aliyetoa jibu kamili kwa nn hawajawa nominated wcb ukweli ni kwamba zile tuzo zinazaminiwa na vodacom afu diamond ni menager wa vodacom kwa hiyo wangewekwa wasanii wa wcb wangechukua tuzo yangekua maneno mengi kuepusha shari diamond ameamua kuzikwepa hizo tuzo kwa ajili ni manager wa voda ambao ni wazamin wa hizo tuzo