Wazungu wanavyoitazama Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,266
2,000
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?

Kidogotu wazungu.

Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu

Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu

Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.

Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.

Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.

Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.

Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Kama wanakupa misaada yao nawe ukakubali kuwashukuru kwa kuwapigia magoti.

Leo inakuwaje ajabu kuwatambulisha kwa kuwaita kwa uasili wao?
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
112,266
2,000
Mkuu huu mchezo ulioufanya ni mchezo hatari, haikubaliki kabisa hili Taifa ni letu wote chokochoko hazijengi Chifu.
Watu kama huyu ndiyo wanao chochea vurugu kwenye mataifa yaliyo kwenye mapugano ya wenyewe kwa wenyewe
 
Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Nov 16, 2012
812
1,000
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?

Kidogotu wazungu.

Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu

Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu

Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.

Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.

Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.

Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.

Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Jamaa kachemka huyo,mchora katuni anaitwa Said Michael hivi hilo jina ni la mzungu kweli?
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,603
2,000
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?

Kidogotu wazungu.

Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu

Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu

Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.

Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.

Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.

Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.

Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).

Hata simu unayotumia wametengeneza wazungu
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,604
2,000
Kwa hyo ww ulishindwa kuwa critical na ukaona thread haitanoga bila ya kuwataja wadhungu? Kweli walituweza kutuosha vichwa vyetu.
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,603
2,000
Oooooiiiii

Kama hii ndivyo ilivyo basi tena

IMG_0756.jpg
kumbe jamaa ni wa chama chetu
 
maddox

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
411
1,000
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?

Kidogotu wazungu.

Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu

Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu

Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.

Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.

Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.

Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.

Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Kwani ni hapo Tu.......ata punyeto tukipiga tunaangalia porn za wazungu......na hata mademu zetu tukiwagonga siku hizi wanalia kizungu......yes yes yes zinakuwa nyiiingi kitu hata kama ni maji pwa pwa pwa
 
Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,996
2,000
Watu kama huyu ndiyo wanao chochea vurugu kwenye mataifa yaliyo kwenye mapugano ya wenyewe kwa wenyewe
Ni ajabu sana, watu wanaona kuchochea vurugu kwa kuzusha uzushi dhidi ya vyama upinzani ni sawa, na wameachwa wakiyafanya haya mambo.

Wanasahau amani ni ya wote na vurugu inabomoa taifa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom