mzeempili
JF-Expert Member
- Aug 16, 2021
- 327
- 531
Tayari. Kazi imeanzaHatari sanaView attachment 1908046

PhotoshopHatari sanaView attachment 1908046
gaidi la Mbowe hiliHatari sanaView attachment 1908046
Mkuu huu mchezo ulioufanya ni mchezo hatari, haikubaliki kabisa hili Taifa ni letu wote chokochoko hazijengi Chifu.Hatari sanaView attachment 1908046
Angekutwa na kadi ya CCM Wala usingesema hayo ungekuwa unashangilia wakati huu.Photoshop
Akili zako sawa na nungununguWengine waliweka kibonzo hiki. Ni baada ya kugundua kuwa michango tuliyokuwa tunachangia chama wakati wa uchaguzi mkuu imeliwa na mwenyekiti akishirikiana na genge lake. Watanzania sijui tumelogwa maana kila tunaemuamini anatupiga za mbavu.
View attachment 1907946
Kama wanakupa misaada yao nawe ukakubali kuwashukuru kwa kuwapigia magoti.Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?
Kidogotu wazungu.
Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu
Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu
Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.
Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.
Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.
Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.
Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Hii free image editor uliyotumia quality mbovu kabisa, next time uliza wataalam tutakuonyesha nzuriHatari sanaView attachment 1908046
Jamaa kachemka huyo,mchora katuni anaitwa Said Michael hivi hilo jina ni la mzungu kweli?Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?
Kidogotu wazungu.
Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu
Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu
Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.
Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.
Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.
Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.
Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Ilikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?
Kidogotu wazungu.
Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu
Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu
Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.
Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.
Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.
Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.
Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Oooooiiiii
Kama hii ndivyo ilivyo basi tena
Kwani ni hapo Tu.......ata punyeto tukipiga tunaangalia porn za wazungu......na hata mademu zetu tukiwagonga siku hizi wanalia kizungu......yes yes yes zinakuwa nyiiingi kitu hata kama ni maji pwa pwa pwaIlikuwa hoja nzuri sana ya kujadili na hiyo katuni lakini kwanini utumie wazungu wanavyo itazama TZ. Sisi je?
Kidogotu wazungu.
Yaani macho yetu hayaoni mpaka tuazime ya wazungu
Akili zetu azifanyi kazi mpaka tutumie akili za wazungu
Masikio yetu hayafanyi kazi mpaka tuazime ya wazungu.
Imani zetu zilikuwa azifanyikazi mpaka tuazime kwa wazungu.
Kula na hata kupika tunaiga kwa wazungu.
Sasa mpaka ngozi ya mwili tunaazima, yaani dada zetu kujichubua na kuvaa 3pics Afrika na jua la utosi.
Afrika tupo utumwani, tujikomboe taratibu kutoka utumwa wa kiakili. (Bob Marley).
Ni ajabu sana, watu wanaona kuchochea vurugu kwa kuzusha uzushi dhidi ya vyama upinzani ni sawa, na wameachwa wakiyafanya haya mambo.Watu kama huyu ndiyo wanao chochea vurugu kwenye mataifa yaliyo kwenye mapugano ya wenyewe kwa wenyewe