Wazungu waling'oa pua za sanamu za Misri ili kuficha ukweli kuwa chimbuko la ustaarabu duniani ni mtu mweusi.

Tatizo lako unafikiri watu wanaweza wakaamka asubuhi na kusema "kwavile sisi ni maskini sana ngoja tupige kazi kwa bidii tuondokane nao" halafu hapohapo wakapiga kazi na kuondokana na umaskini. Hili ni tatizo la wanaharakati uchwara wengi.

Kutatua shida kunaanzia kwenye mindset. Mtu kwanza anatakiwa kuamini kuwa anaweza ndiyo mipango na kufanya kazi hufuata. Waafrika siku nyingi tumeaminishwa kuww hatuwezi , watu duni na watu wenye upeo mdogo. Hapa mtu anakosa nguvu ya akili ya kusonga mbele na wakati huohuo jamii inayomzunguka haiwezi msapoti sababu inaamini hawezi.

sasa mambo kama ya kugundua kuwa mtu mweusi ndiye chanzo cha ustaarabu yanaipa nguvu akili. Waithiopia wanajenga bwawa kubwa na kuamua kuliita grand ethiopian reinassance. Unafikiri kwanini wameliita Reinassance!!?. wamefikiria jinsi mababu zao walivyokuwa watu wenye uwezo wa kufanya mambo makubwa kwenyr hii dunia. wakasema kumbe na sisi tunaweza.

Unafikiri kwanini watoto wengi wa wanasiasa mashuhuri nao huwa wanasiasa!? wanajiaminisha kwamba kama babu au baba aliweza hivu basi na mimi naweza.
Leo wachina/waasia wanafanya vizuri kwenye hesabu kwasababu wamejiaminisha kuwa jamii yao iko fiti kwenye hayo mambo, hata yule mzembe anakuwa na imani anaweza.

Ukikosa nguvu au msukumo wa akili huwezi amka na kuanza kufanya kazi kwa bidii eti uondokane na umaskini!!. waliong'oa hizo pua walijua matokea ya watu kuujua ukweli wake.

Mkuu hakuna mtu aliyesema tuamke asubuhi tukute mambo yako sawa ndio maana nilisema China au Singapore miaka kama 40 walikuwa hoehae zaidi yetu...mkuu kuweka mindset Sawa sio Lazima kufundishana historia ya kung'oana pua tunaweza tu kuanzia kwenye familia kuminishana kuwa tunaweza na kuendelea mashuleni nk nk .....zaidi ya yote Africa as individual wengi tu wameshaamka ndio maana kuna wafanyabiashara na wajasiria Mali na wagunduzi wa mambo mengi tu mazuri...tatizo LA Africa ni wanasiasa...wataalami wengi wa kiafrica wanaishia kwenda kuwafanyia Kazi wazungu maana wakibaki Africa mwishowe watakufa na maujuzi yako vichwani...nani anatambua???ukienda south Africa kuna vijana Wadogo sana wanamiliki Biashara Kubwa sana na za maana ..wangekuwa hapa bongo wangeishia kuzingiziwa kesi za Madawa ya kulevya na mkoromije ili awanyang'anye Magari.

Hata na sisi kuna kivuko cha juu cha waenda kwa miguu tumejenga pale tazara tumekiita Mfugale fly over Sijui ili kumjenzi mtu...tumepiga hatua katika kutambua mchango wa wazalendo Wetu pia.
 
Mkuu sijui ni kwamba huelewi kiswahili????[/Q
Kiswahili nakielewa sana tu. Unasema Umesema Mji wa Athen ulikuwa Roma ya zamani. Athen haikuwaRoma ya Zamani wa la haukujengwa kipindi cha Roman Empire. Athen ipo Grese na zamani palikuwa Dola ya Macedonia na siyo dola la Rumi. Athene ilikuwepo hata kabla ya Dola ya umi kushika hatamu.
 
TsafuRD Kubali tu kuwa una tatizo la uelewa wa kiswahili...mfano mtu akisema Uji au Ugali haina maana kwamba Uji ni Ugali mkuu wangu
Sina tatizo la uelewa wa kiswahili. Tatizo wewe hujui historia na hutaki kurekebishwa. Kosa lako pale uliposema Athens ni Roma ya zamani. Athens was there before the rise of Roman Empire.
 
Sina tatizo la uelewa wa kiswahili. Tatizo wewe hujui historia na hutaki kurekebishwa. Kosa lako pale uliposema Athens ni Roma ya zamani. Athens was there before the rise of Roman Empire.

Hakuna sehemu nimesema/nilisema Athens ni Roma ya zamani....hata kama sijui historia kama unavyodai ila najua Athens ipo Ugiriki na Roma ipo Italy mkuu wangu....Na historia ambayo haina mashiko sina haja nayo....kwa mfano kila siku tukomae kulia kuwa tuliuzwa utumwani....tuliuzwa utumwani....tuliuzwa utumwani inasaidia nn wakati waliotutumikisha wanaendelea na maisha yao wala hata hawana habari na watumwa wao wa zamani....Cha muhimu ni kukomaa kujikwamua ili wale waliotutumikisha siku moja wapige salute kwetu na sisi kwa kiburi tuwaambie pamoja na kutufanya watumwa wenu wa kuendeleza nchi zenu ila kwa sasa tuko sawa....Nyie ni washenzi tu na ikiwezekana tuwatemee mate usoni.
 
Hivi Athens au Roma ya sasa inafanana fanana na Kilwa au Bagamoyo ya sasa????kwa kweli kuna tatizo kubwa kwa Africa tukubali tukatae ila tatizo lipo na litaendelea kuwepo..Zaidi ya yote hyo miji mikubwa ya Kilwa na Bagamoyo usemayo ina historia mbaya ukigusa suala la ubinadamu.

hapo penye bold. Nimetaka kukurejesha tu but nashukuru tumeshaelewana. Kila lugha ina namna ya kuandika ili kutokupotosha ulichokusudia. but hoja yako ipo sawa kwamba tupambane na hali zetu ili siku moja na sisi tuheshimike.
 
Sawa mkuu hata mm nimeshaelewa tatizo liko wapi..maana hii comment nilikuwa namuuliza mtu kitu....Tupambane mkuu wangu hilo ndo la msingi...hz historia ziwe ni ziada tu katika kuwaelimisha watoto wetu...cha muhimu tuwafundishe uzalendo kwa nchi zao na jinsi ya kujikwamua na umasikini...maana kinachokosekana Africa ni uzalendo ndo maana unaweza kuta raisi wa nchi moja ya kiafrica anatumika na wazungu kufarakanisha nchi nyingine ya kiafrica kwa sababu amehaidiwa kitu fulani wakati huo huo wazungu wana lao kichwani..
 
Kama unapenda kufungua akili yako wewe mwafrika ambae unajidharau na kudharau mpaka mababu zako,pitia hiki kitabu kidogo kikutoe tongotongo za ujinga.
Daaah kinakataa kuattach sababu ni kubwa kidogo ila kama unataka nitakuPM. Kinaitwa African Origin of Civilization by Cheikh Anta Diop.
 
Jitahidi ukiweke Mkuu
 
Jitahidi ukiweke Mkuu
Inakataa inasema file too large,ni kizuri mnoo kinajenga mwafrika kiakili.
Screenshot_20181003-133414.jpg
Screenshot_20181003-133626.jpg
 
mwafrika ni mtaalamu kwenye mambo mengi tu na mzungu anajua hilo ndio maana anatumia kila njia kuwatia ujinga baadhi ya watu kama nyie ambao hamtaki kujua history yenu,
ishu sio kwenda UN kudai pua! ishu ni kwamba ujijue thamaini yako na usijidharau mkuu. Tafakarii
Hapa ndipo ninapotoka kapa!! Eti mwafrika ana akili sana,halafu eti mwafrika kadanganywa na mzungu akaacha akili yake na kufata ya mzungu,hapo hapo mwafrika (mwenye akili mingi)karudi kwa mzungu asiye na akili kumuomba. Akili!! Iliwezekanaje? Acheni porojo nyie! Maendeleo yanaletwa na uwezo binafsi wa kuweza kutatua changamoto unazokabiliana nazo,uwezo wako wa kukabiliana na changamoto zinazokukabili ndiyo kipimo namba moja cha uwezo wa mtu kiakili,changamoto nyingi zaidi zinahitaji akili nyingi zaidi kuzitatua,zinahitaji rasilimali nyingi zaidi na nguvu nyingi zaidi! Mambo mengine ni law of nature na mengine ni man made,ndiyo maana wanyama wa nchi za baridi kali wanakuwa na manyoya mengi kuliko wale wa kwenye joto,hiyo ni nature,na changamoto nyingi walizokuwa nazo hao wenzetu wa magharibi ndizo zilizowasukuma kutafuta njia nyingine mbadala ili kukabiliana nazo,pamoja pia na kutafuta rasilimali (materials)ili kujikwamua,wakati huo waafrika walikuwa na changamoto chache tu za msingi,kwa sehemu nyingi ukitoa maeneo yenye jangwa vitu kama chakula,maji au hali yahewa havikuwa tatizo kubwa kulinganisha na wazungu wa amerika au Australia ambao kuzikabili changamoto zao haikuwa kitu cha hiyari bali cha Lazima,hapo ndipo dhana ya natural selection inapofanya kazi! Strugle for existence,survival for the fittest,kwa baadhi ya sehemu nature iliacha hata viumbe dhaifu(kiafya,kiakili nk) vikiendelea kustawi wakati sehemu nyingine vile dhaifu vilifyekelewa mbali! Ukweli mchungu ni kuwa sehemu nyingi za afrika ni heaven for the weak creatures,kutokana na mazingira kuwa rafiki sana! Hivyo natives hawakuhitaji kufikiri sana ili waishi,na kanuni ya ubongo ni Use it,or lose it! We lose it!!
 
Zote ni historia sahihi za mtu mweusi, unataka nizungumzie KING LEOPAD,🤣🤣
Tatizo ni pale Mwafrika anapotafuta ukweli kuhusu Mwafrika,kutoka kwa Mzungu,hahaa! Vitabu vingi vinavyomwelezea mwafrika ama vimetungwa,ama vimeandikwa na mzungu,hapo hapo hatumwamini mzungu!
 
Hapa ndipo ninapotoka kapa!! Eti mwafrika ana akili sana,halafu eti mwafrika kadanganywa na mzungu akaacha akili yake na kufata ya mzungu,hapo hapo mwafrika (mwenye akili mingi)karudi kwa mzungu asiye na akili kumuomba. Akili!! Iliwezekanaje? Acheni porojo nyie! Maendeleo yanaletwa na uwezo binafsi wa kuweza kutatua changamoto unazokabiliana nazo,uwezo wako wa kukabiliana na changamoto zinazokukabili ndiyo kipimo namba moja cha uwezo wa mtu kiakili,changamoto nyingi zaidi zinahitaji akili nyingi zaidi kuzitatua,zinahitaji rasilimali nyingi zaidi na nguvu nyingi zaidi! Mambo mengine ni law of nature na mengine ni man made,ndiyo maana wanyama wa nchi za baridi kali wanakuwa na manyoya mengi kuliko wale wa kwenye joto,hiyo ni nature,na changamoto nyingi walizokuwa nazo hao wenzetu wa magharibi ndizo zilizowasukuma kutafuta njia nyingine mbadala ili kukabiliana nazo,pamoja pia na kutafuta rasilimali (materials)ili kujikwamua,wakati huo waafrika walikuwa na changamoto chache tu za msingi,kwa sehemu nyingi ukitoa maeneo yenye jangwa vitu kama chakula,maji au hali yahewa havikuwa tatizo kubwa kulinganisha na wazungu wa amerika au Australia ambao kuzikabili changamoto zao haikuwa kitu cha hiyari bali cha Lazima,hapo ndipo dhana ya natural selection inapofanya kazi! Strugle for existence,survival for the fittest,kwa baadhi ya sehemu nature iliacha hata viumbe dhaifu(kiafya,kiakili nk) vikiendelea kustawi wakati sehemu nyingine vile dhaifu vilifyekelewa mbali! Ukweli mchungu ni kuwa sehemu nyingi za afrika ni heaven for the weak creatures,kutokana na mazingira kuwa rafiki sana! Hivyo natives hawakuhitaji kufikiri sana ili waishi,na kanuni ya ubongo ni Use it,or lose it! We lose it!!
Hakuna sehemu ambayo mwafrika kafanganywa na mzungu,ni hali ya kawaida kwani hakuna falme iliyodumu milele.Unaongelea masuala ya "elimu" kua weupe wanayosana na ndio maana ubongo wao umekua mzuri sana kutatua matatizo?
Nakupa pole ndugu yangu kua na usomi wako huo ila bado hauna taarifa sahihi kuhusu utu wako,hao akina Pythagoras, Aristotle, Archimedes na wengine wengi wa aina hii walipata elimu yao Misri,kwahyo suala lako kua Afrika walikua wanategemea nature tu hawakua na namna yoyote ya kuilengesha nature kwenye matakwa yake.Irrigation,Medicine,Astronomy,Geometry,Mathematics, Physics n.k,maarifa haya yalikuwapo Africa[Kwanza sio Africa ni Kemet,Afrika ni jina la kigiriki,limetoka kwenye Africanus,Wamisri wenyewe waliita nchi yao Kemet].
Wakati huo Mediterranean yote upande wa Kaskazini mwa Nile delta walikua kwenye maisha ya ushenzi uliokithiri(barbarisms).
Walikuja Persians,wakaja Wagiriki,Waroma,Waarabu,Waturuki,Wafaransa na mwisho wa siku waingereza baada ya Misri ya kale kuanguka.
Elimu ya Waafrika ilikua ni mali/hazina inayochungwa na kuheshimiwa sana,sio kila mtu aliweza kupewa ilikua mpaka ufuatiliwe haswa kama utaweza kumudu kumiliki nguvu ya ufahamu wa mwanadamu. Tofauti na washenzi waliofuata kutawala,elimu waliojifunza wakaanza kuitumia zaidi katika hulka yao wa kutaka kumiliki mali nyingi sana kwa njia yoyote.Waafrika elimu ilitumika kwenye mambo ya utawala,kijamii,uzalishaji,na hali ya utengamano katika jamii na jamii ilihimizwa sana.

Hitimisho:
Hayo yote yaliyopita hayafuti hali ya sasa kua mwafrika wa sasa ni kiumbe ambae anaonekana kama ni version ya kwanza(outdated) ya binadamu,amekosa muongozo wa kumjulisha fika nini anataka kwa ajili ya mustakabali wake,viongozi wa Afrika wamekosa "role models" wa kuwaangalia na kujifunza toka kwao kua lengo la jamii yetu ni mafanikio ya jamii nzima kwa ujumla na wala sio ya mmoja mmoja na hii inachangiwa na ukosefu wa elimu sahihi kama hizi na upatikanaji wa elimu potofu kua waafrika ni jamii ya "kitumwa na imelaaniwa".

Mwafrika ndio binadamu halisi ambao mwili wake hauli kemikali inayosababisha ngozi kukosa rangi yake nyeusi.................

Afrika tuamke na nina imani ipo siku Afrika itaamka.
 
do! sawa nini kifanyike kwa sasa angalau tusogee na tujenge heshima?
ikiwa maji hurudia ubaridi wake sasa sisi tufanyaje turudie tena kuitawala dunia kwa tekinolojia na maarifa?
 
Back
Top Bottom