mkuu ukitaka kujua thamani yako anza kwa kujihoji na kujiuliza kama hivi..Hapa ndipo ninapotoka kapa!! Eti mwafrika ana akili sana,halafu eti mwafrika kadanganywa na mzungu akaacha akili yake na kufata ya mzungu,hapo hapo mwafrika (mwenye akili mingi)karudi kwa mzungu asiye na akili kumuomba. Akili!! Iliwezekanaje? Acheni porojo nyie! Maendeleo yanaletwa na uwezo binafsi wa kuweza kutatua changamoto unazokabiliana nazo,uwezo wako wa kukabiliana na changamoto zinazokukabili ndiyo kipimo namba moja cha uwezo wa mtu kiakili,changamoto nyingi zaidi zinahitaji akili nyingi zaidi kuzitatua,zinahitaji rasilimali nyingi zaidi na nguvu nyingi zaidi! Mambo mengine ni law of nature na mengine ni man made,ndiyo maana wanyama wa nchi za baridi kali wanakuwa na manyoya mengi kuliko wale wa kwenye joto,hiyo ni nature,na changamoto nyingi walizokuwa nazo hao wenzetu wa magharibi ndizo zilizowasukuma kutafuta njia nyingine mbadala ili kukabiliana nazo,pamoja pia na kutafuta rasilimali (materials)ili kujikwamua,wakati huo waafrika walikuwa na changamoto chache tu za msingi,kwa sehemu nyingi ukitoa maeneo yenye jangwa vitu kama chakula,maji au hali yahewa havikuwa tatizo kubwa kulinganisha na wazungu wa amerika au Australia ambao kuzikabili changamoto zao haikuwa kitu cha hiyari bali cha Lazima,hapo ndipo dhana ya natural selection inapofanya kazi! Strugle for existence,survival for the fittest,kwa baadhi ya sehemu nature iliacha hata viumbe dhaifu(kiafya,kiakili nk) vikiendelea kustawi wakati sehemu nyingine vile dhaifu vilifyekelewa mbali! Ukweli mchungu ni kuwa sehemu nyingi za afrika ni heaven for the weak creatures,kutokana na mazingira kuwa rafiki sana! Hivyo natives hawakuhitaji kufikiri sana ili waishi,na kanuni ya ubongo ni Use it,or lose it! We lose it!!
kama mwafrika fala kwanini mzungu anajitahidi kuficha historia yake?
kwanini mzungu anajiatahidi sana kumtekeza mtu mweusi kwa kila teknolojia?
kwanini mzungu anatufatilia mfumo wetu wa maisha? sana kila tunalofanya anataka ajue
inshort ni kwamba mzungu pamoja na kuchukua kingdom kwasasa lakini bado anatuogopa sana tu, ndio maana ataki kucheza mbali na sisi anatuchunga akijua fika akituachia tuishi maisha yetu basi ameisha