Kuna kitu kinaitwa rise na kingine kinaitwa fall.Kama ustaarabu ulianzia kwa mtu mweusi imakuaje sasa hivi mtu mweupe anakimbiza kwenye vumbuzi mbalimbali huku mtu mweusi akiishia kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe, ugomvi na madaraka, kuendekeza mitala, na uchawi (just to mention a few)
Mzee baba hiyo pua inafanana na hizo zilizong'olewaAhsante sana mkuu nishaanza kuwaelewa Hawa wazungu kuwa sio watu wema
Nalog off
Sana walahi!Wazungu wajinga sanA
Kuna kitu kinaitwa rise na kingine kinaitwa fall.
Mfano mdogo tu ili uweze kuelewa nakupa mfano wa huu.
Miaka ya zamani sana kilwa ulikuwa ndo mji maarufu zaidi hapa tanzania na afrika, mashariki kwa ujumla. Then baadae ikaja bagamoyo hii unaambiwa ilikuwa "dasaramu" kwa wakati huo hata ikulu ya nchi ilijengwa huko kabla ya kuhamishwa na kujengwa hapo ilipo sasa baadae ukaja mji mwingine mzizima. Kwa mlolongo huo unaweza kuona japo hyo miji ilikuwa mikubwa na maarufu kuzidi "dasaramu" lkn sasa si chochote wala lolote bali dasaramu ndo kila kitu. Kilwa ilifikia hatua ys kuwa na pesa yake.
Nadhani kwa mfano huu mdogo utakuwa umetambua.
Pia refer ustaarabu(maendeleo, teknolojia, uchumi nk) wa miji kama athens, roma, nk hlf linganisha na hawa waliokuja nyuma kabisa.
Mzungu ana ustaarabu gani?Kama ustaarabu ulianzia kwa mtu mweusi imakuaje sasa hivi mtu mweupe anakimbiza kwenye vumbuzi mbalimbali huku mtu mweusi akiishia kwenye vita za wenyewe kwa wenyewe, ugomvi na madaraka, kuendekeza mitala, na uchawi (just to mention a few)
Ustaarabu gani mkuu huu wa kuuana kisa dini zilizoletwa na hao wazungu..?
au ule wa kila tukio tunaamini ni uchawi..?
au ule ujinga wa vita vya majimaji mbele ya chuma cha mzungu..?
au ule wa kubishana kuwa yesu ni mweusi..?
Tumekosa pa kuponea naona tunatafuta huruma isiyokuwepo!,kama ni ustaarabu basi ulikuwepo kwa asilimia chache mno tena maeneo baadhi.. Lkn yafaa nini kulilia ustaarabu kwa haya yaliyopo..?
Wa masri wa kale waligundua Geometry au hesabu za maumbo. Algebra. waliendelea sana kwenye kilimo cha umwagiliaji. Waligundua hesabu za sehemu. walikuwa wameendelea kwenye utengenezaji wa meli. Waliendelea kwenye teknolojia za ujenzi kama unavyoona mapyramid, majengo na minara. walijenga. waliendelea kwenye metallurgy na utengenezaji wa urembo wa metali.Ustaarabu gani mkuu huu wa kuuana kisa dini zilizoletwa na hao wazungu..?
au ule wa kila tukio tunaamini ni uchawi..?
au ule ujinga wa vita vya majimaji mbele ya chuma cha mzungu..?
au ule wa kubishana kuwa yesu ni mweusi..?
Tumekosa pa kuponea naona tunatafuta huruma isiyokuwepo!,kama ni ustaarabu basi ulikuwepo kwa asilimia chache mno tena maeneo baadhi.. Lkn yafaa nini kulilia ustaarabu kwa haya yaliyopo..?
Umeongea vema mkuu. kingine miaka 100 ma kidogo tu iliyopita Uingereza ilikuwa taifa la kwanza kwa uchumi na nguvu za kijeshi duniani. Leo hii wakubwa wakikaa kuongea mstakabali wa dunia Muingereza hana influence aliyokuwa nayo. kiuchumi yuko wa nyuma ya kina Us, jpn, china, India, Germany. Sasa mtu anafikiri ustaarabu wa Misri wa miaka 4000+ iliyopita bado utakuwepo.Kuna kitu kinaitwa rise na kingine kinaitwa fall.
Mfano mdogo tu ili uweze kuelewa nakupa mfano wa huu.
Miaka ya zamani sana kilwa ulikuwa ndo mji maarufu zaidi hapa tanzania na afrika, mashariki kwa ujumla. Then baadae ikaja bagamoyo hii unaambiwa ilikuwa "dasaramu" kwa wakati huo hata ikulu ya nchi ilijengwa huko kabla ya kuhamishwa na kujengwa hapo ilipo sasa baadae ukaja mji mwingine mzizima. Kwa mlolongo huo unaweza kuona japo hyo miji ilikuwa mikubwa na maarufu kuzidi "dasaramu" lkn sasa si chochote wala lolote bali dasaramu ndo kila kitu. Kilwa ilifikia hatua ys kuwa na pesa yake.
Nadhani kwa mfano huu mdogo utakuwa umetambua.
Pia refer ustaarabu(maendeleo, teknolojia, uchumi nk) wa miji kama athens, roma, nk hlf linganisha na hawa waliokuja nyuma kabisa.
Mkuu umenigusa sana bahati mbaya humu JF wengi siyo Great Thinker hawatakuelewa kabisa! Hawajui kuwa wazungu walipoiteka Misri miaka hiyo ya nyuma waliwachukua wataalam wote waliokuwa kwenye majengo ya watemi na kuwalazimisha kuwafundisha utaalamu wao wote then baadae wakawauwa hivyo utaalamu wa mweusi ukakatika hapo na ukahamia kwa wazungu na kuanzia hapo mambo ya kiafrika yakawa yanaitwa primitive na baadae utumwa ukaanza. Lakini bado waafrika ni wabunifu sana angali mambo tunayoyaita uchawi lakini yakifanywa na mzungu tunayaita ni technolojia ya waafika uchawi. Wazungu wanauchukua huo unaoitwa uchawi na kwenda kuubadilisha jina na kuwa technolojia angalia TV ukienda Sumbawanga unawekewa maji kwenye bakuli au sahani unamuona mtu aliyeko Dar badala ya kuudharau ubunifu huo tungekaa tunauboresha ungeleta manufaa! Lakini wazungu wamekuja na TV tunashangilia kama mazuzu na kuwazarau wanaotengeneza ubunifu wao na tunawazarau kumbe tungewaunga mkono labda wangeendelea na ubunifu zaidi. Waafrika tubadirike wapo waafrika wenzetu ni wabunifu sana kuliko hata hao wazunguWa masri wa kale waligundua Geometry au hesabu za maumbo. Algebra. waliendelea sana kwenye kilimo cha umwagiliaji. Waligundua hesabu za sehemu. walikuwa wameendelea kwenye utengenezaji wa meli. Waliendelea kwenye teknolojia za ujenzi kama unavyoona mapyramid, majengo na minara. walijenga. waliendelea kwenye metallurgy na utengenezaji wa urembo wa metali.
Walioweka mfumo wa siku 365, saa 24 kwa siku, siki 30 kwa mwezi ni wamisri wa kale. neno paper limetokana na vifaa vya kuandikia vya wamisri wa kale. Ustaarabu huu ukaingia Ugiriki na kusambaa ulaya yote na dunia.
ustaarabu ni neno pana mkuu, haumaanishi kubrashi viatu na kwenda kanisani jumapili tu.
Wa masri wa kale waligundua Geometry au hesabu za maumbo. Algebra. waliendelea sana kwenye kilimo cha umwagiliaji. Waligundua hesabu za sehemu. walikuwa wameendelea kwenye utengenezaji wa meli. Waliendelea kwenye teknolojia za ujenzi kama unavyoona mapyramid, majengo na minara. walijenga. waliendelea kwenye metallurgy na utengenezaji wa urembo wa metali.