Wazungu waling'oa pua za sanamu za Misri ili kuficha ukweli kuwa chimbuko la ustaarabu duniani ni mtu mweusi.

Mkuu Fanya Kazi achana na historia...kama baba yako alifanya makosa ujanani make akashindwa kuwaandalia Watoto wake maisha...Jukumu LA Watoto ni kukomaa na kumaliza umasikini kwenye familia...sio Julia lia na historia ya baba...Vile vile waafrica tuachane na historia maana hata tukijipamba VP kuwa Sijui sisi ndo baba wa civilization haitasaidia chochote kama tutaendelea kuwa hoehae...tukijikwamua hapa tulipo ndo tutaheshimiwa kama waafrica ila tukibaki tulivyo au kuendelea kurudi nyuma...Tutaendelea kudharauliwa tu no matter how hard we try to sugarcoat Africans history..
Nyie ndio TRUMP anawaita shithole na nyie ndio wa husika wa kuu wa kutawaliwa tena, hebu amka kutoka usingizini.
 
Nyie ndio TRUMP anawaita shithole na nyie ndio wa husika wa kuu wa kutawaliwa tena, hebu amka kutoka usingizini.

Shithole nani hapa...yule anayeng'ang'ana na historia au yule anayesema tufanye Kazi tujikwamue...Unadhani tungekuwa tumejikwamua na umasikini Trump angethubutu kutuita shithole...mbona hajathubutu kuwaita wachina au wasingapore shithole ambayo miaka kama 40 tu iliyopita waliakuwa hoehae zaidi yetu. Mnaitwa shithole maana misaada mnapewa naenda kuchukulia mademu badala ya kuitumia kuendeleza nchi zenu...Rasilimali mnazo badala ya kuzitumia kuendeleza nchi zenu wazungu wanawagombanisha mnapigana wenyewe kwa wenyewe huku wao wakijisombea rasilimali zenu....miache kuitwa shithole kweli..
 
Nieleze founder 5 tuu wa TAA, Ili nijue najadili mada na mtu anaejitambua.
 
Nieleze founder 5 tuu wa TAA, Ili nijue najadili mada na mtu anaejitambua.

Umechana na kung'olewa pua Sasa unarukia founder 5 wa TAA....mkuu Fanya Kazi achana na historia zisizokuwa na maana...Africa IPO ilipo kwa sababu ya Mwafrica mwenyewe na akili zake za kindezi...ila kama VP andaa delegation basi muende UN kudai pua za sanamu..
 
mwafrika ni mtaalamu kwenye mambo mengi tu na mzungu anajua hilo ndio maana anatumia kila njia kuwatia ujinga baadhi ya watu kama nyie ambao hamtaki kujua history yenu,
ishu sio kwenda UN kudai pua! ishu ni kwamba ujijue thamaini yako na usijidharau mkuu. Tafakarii
 
Shithole nani hapa...yule anayeng'ang'ana na historia au yule anayesema tufanye Kazi tujikwamue...Unadhani tungekuwa tumejikwamua na umasikini Trump angethubutu kutuita shithole...mbona hajathubutu kuwaita wachina au wasingapore shithole ambayo miaka kama 40 tu iliyopita waliakuwa hoehae zaidi yetu. Mnaitwa shithole maana misaada mnapewa naenda kuchukulia mademu badala ya kuitumia kuendeleza nchi zenu...Rasilimali mnazo badala ya kuzitumia kuendeleza nchi zenu wazungu wanawagombanisha mnapigana wenyewe kwa wenyewe huku wao wakijisombea rasilimali zenu....miache kuitwa shithole kweli..
Tatizo lako unafikiri watu wanaweza wakaamka asubuhi na kusema "kwavile sisi ni maskini sana ngoja tupige kazi kwa bidii tuondokane nao" halafu hapohapo wakapiga kazi na kuondokana na umaskini. Hili ni tatizo la wanaharakati uchwara wengi.

Kutatua shida kunaanzia kwenye mindset. Mtu kwanza anatakiwa kuamini kuwa anaweza ndiyo mipango na kufanya kazi hufuata. Waafrika siku nyingi tumeaminishwa kuww hatuwezi , watu duni na watu wenye upeo mdogo. Hapa mtu anakosa nguvu ya akili ya kusonga mbele na wakati huohuo jamii inayomzunguka haiwezi msapoti sababu inaamini hawezi.

sasa mambo kama ya kugundua kuwa mtu mweusi ndiye chanzo cha ustaarabu yanaipa nguvu akili. Waithiopia wanajenga bwawa kubwa na kuamua kuliita grand ethiopian reinassance. Unafikiri kwanini wameliita Reinassance!!?. wamefikiria jinsi mababu zao walivyokuwa watu wenye uwezo wa kufanya mambo makubwa kwenyr hii dunia. wakasema kumbe na sisi tunaweza.

Unafikiri kwanini watoto wengi wa wanasiasa mashuhuri nao huwa wanasiasa!? wanajiaminisha kwamba kama babu au baba aliweza hivu basi na mimi naweza.
Leo wachina/waasia wanafanya vizuri kwenye hesabu kwasababu wamejiaminisha kuwa jamii yao iko fiti kwenye hayo mambo, hata yule mzembe anakuwa na imani anaweza.

Ukikosa nguvu au msukumo wa akili huwezi amka na kuanza kufanya kazi kwa bidii eti uondokane na umaskini!!. waliong'oa hizo pua walijua matokea ya watu kuujua ukweli wake.
 
mwafrika ni mtaalamu kwenye mambo mengi tu na mzungu anajua hilo ndio maana anatumia kila njia kuwatia ujinga baadhi ya watu kama nyie ambao hamtaki kujua history yenu,
ishu sio kwenda UN kudai pua! ishu ni kwamba ujijue thamaini yako na usijidharau mkuu. Tafakarii

Hakuna MTU aliyejidharau mkuu wangu...tunachosema ni kwamba tuachane na historia zisizo na maana tupige Kazi...hata kama tutapiga mayowe kuwa ustaarabu ulianzia Africa na kusambaa duniani inasaidia nn...cha muhimu ni kufanya Kazi na kijikwamua na umasikini ila tukiendelea kuwa maskini na tegemezi kwa hao tuliowasambazia ustaarabu hakika wataendelea kutudharau tu hilo wala haliitaji kuwa na degree kulielewa.
 
Mkuu umenigusa sana bahati mbaya humu JF wengi siyo Great Thinker hawatakuelewa kabisa! Hawajui kuwa wazungu walipoiteka Misri miaka hiyo ya nyuma waliwachukua wataalam wote waliokuwa kwenye majengo ya watemi na kuwalazimisha kuwafundisha utaalamu wao wote then baadae wakawauwa hivyo utaalamu wa mweusi ukakatika hapo na ukahamia kwa wazungu na kuanzia hapo mambo ya kiafrika yakawa yanaitwa primitive na baadae utumwa ukaanza. Lakini bado waafrika ni wabunifu sana angali mambo tunayoyaita uchawi lakini yakifanywa na mzungu tunayaita ni technolojia ya waafika uchawi. Wazungu wanauchukua huo unaoitwa uchawi na kwenda kuubadilisha jina na kuwa technolojia angalia TV ukienda Sumbawanga unawekewa maji kwenye bakuli au sahani unamuona mtu aliyeko Dar badala ya kuudharau ubunifu huo tungekaa tunauboresha ungeleta manufaa! Lakini wazungu wamekuja na TV tunashangilia kama mazuzu na kuwazarau wanaotengeneza ubunifu wao na tunawazarau kumbe tungewaunga mkono labda wangeendelea na ubunifu zaidi. Waafrika tubadirike wapo waafrika wenzetu ni wabunifu sana kuliko hata hao wazungu

Ni kama mbini fulani za kichawi na kishetani.

Inasemekana wachawi na mashetani huwa wakmwona mtoto mdogo ana akili sana huiba akili hiyo kwa matumizi yao.

Hivyo mtoto anakuwa na uwezo wake wa kufikiri unapungua na anakuja kufa maskini.

Lakini akili yake hiyo inatumiwa na mtu mwingine ambae anapiga hatua kubwa kimandeleo na kimaisha.
 
hizi picha mzungu amezi edit baada ya kujua ukweli yeye alikua kichwa maji miaka hiyo sasa anadanganya vizazi vipya kwamba wamisri walisaidiwa na aliens kwenye maendeleo yao
Kuna pumba nyingi sana hawa maracist weupe wanaongea kujifariji , kuna theory yao eti wamisri walikuwa ni black caucasians , can you imagine how ridiculous this is ? ........yeah " black caucasians = wazungu weusi " mara wengine " Aliens ( extra terrestrial beings ) = viumbe kutoka nje ya dunia , mara wengine eti wazungu " White Caucasians " ndo walikuwa ancient Egyptians n'a blablaa nyingi kibao za kipuuzi wakati hata Herodotus ( mwanafalsafa wa kale wa kigiriki ) aliandika jinsi waEgypt walivyo kuwa enzi hizo , infact Egypt ilijulikana kama Khemet ( The land of the black ) .

Na hata ukiangalia hayo mapyramid yapo hata Northern Sudan kama 300 hivi , Northern Sudan ndio ina Pyramids nyingi kuliko Egypt na imethibitika kuwa Pyramids za Northern Sudan ndio zina umri mkubwa zaidi ya hizo za Egypt sasa changanya akili na kama tunavyojua Sudan ( Nubia ) ni blacks land , hao waarabu na mulatoes wachache waliopo leo ni matokeo ya uvamizi wa Waarabu toka middle East hasa hasa Ottoman Empire ( Uturuki ya sasa )

Pia miaka kadhaa iljyopita kuna mwanasayansi mmbobezi akikuwa anaitwa CHEIKH ANTA DIOP kutoka Sénégal ali argue kuwa inwezekana kudetermine DNA ( Genetic make up ) na ultimately race ya hao mummies ( masalia ya wafalme wakale wa misri maana wamisri walisifika kwa kuhifadhi vizuri miili ya wafalme wao kwa kemikali na dawa maalumu ambazo zina uwezo wa kuhifadhi hiyo miili kwa miaka maelfu , alivyosema hivyo tu ikawa vita wazungu na hata waEgypt hawa wavamizi wa kiarabu wakaja juu wakapinga kwa nguvu zote na project haikufanikiwa kufanyika .....

Hawa watu ni very insecured na ukweli wanaujua huo ubazazi haujaanza leo hata uvamizi wa Napoleon Egypt ulihusisha na hayo pia hilo sanamu kubwa la Egypt walililipua pua yake kwa kutumia cannon gun ili kuficha ukweli , wakuu someni historia

Hata huko central America jamii za wa Maya ambao inaaminika ndo walijenga hayo mapyramid walikuwa ni Negroes ( watu weusi wenye pua pana na lips pana ) kama muonekano wa mtu mweusi ulivyo kuna sanamu kubao zimegunduliwa huko na inasadikika Mayans waliabudu watu weusi kama miungu yao ..........
 
Miungu ya Aztecs , Mayans na Olmecs wa Latin America , those people were fierce warriors and achtecs and guys remember we are talking about the prehistoric era , thousands of years even before the Greeks or Roman Empire came into being ...........
ancient_olmec_head_poster-r96c8691190774611a1706cf9f41f89e1_wad_8byvr_540.jpg
s-l300-1.jpg
s-l300.jpg
images-24.jpg
images-15.jpg
olmechead.jpg
images-18.jpg
 
Umechana na kung'olewa pua Sasa unarukia founder 5 wa TAA....mkuu Fanya Kazi achana na historia zisizokuwa na maana...Africa IPO ilipo kwa sababu ya Mwafrica mwenyewe na akili zake za kindezi...ila kama VP andaa delegation basi muende UN kudai pua za sanamu..
Zote ni historia sahihi za mtu mweusi, unataka nizungumzie KING LEOPAD,🤣🤣
 
Back
Top Bottom