Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

We are all different but equal...
Anyway...sikushangai...Matokeo ya utumwa wa fikra mabaya sana
Wewe kwa akili yako ilivo Chama cha majipu ndo binadamu wa daraja la kwanza..!!!
bora unyimwe vyote ila upewe akili..
familia yako ina shida sana.
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
NENDA KWAO NDO UTAJUA KAMA NI WAKARIMU KWAKO AU LAH, NDUGU ZETU BLACKS WANANYANYASWA NA KUUAWA KILA SIKU HUKO ULAYA. SEMA WAKIJA HUKU NDO HUJIPENDEKEZA NA KUJIFANYA WEMA.
 
Hapana mkuu, mleta mada anachosema si kwamba wazungu hawana ubaguzi upo ila huwezi ulinganisha na race nyingine hata kidogo.
Mkuu kama unazani wazungu wana unmbaguzi wa hali ya juu hem nenda Uturuki na nchi za Kiarabu na china hafu uje uongee unayosema sio kuropoka wakati huna exposure.
 
Kwakweli point ni kuwa rangi haijalishi kwenye akili ya binadamu, ila tunachotakiwa jiuliza ni kuwa je kwann wengi wenye rangi flani wana maendeleo zaidi ya wengine..
 
Ukweli wako utabaki kuwa ukweli labda niongeze hili moja tu. Wazungu wanaheshimu utawala wa demokrasia. Wazungu wanaheshimu maamuzi ya wengi na hawana ile tabia ya kukomooana kwa tofati za kiitikadi. Wanaheshimu mno mawazo ya wenzao bila kukandamizana. Kwao upinzani ni sehemu ya kurekebishana na watawala wanajali na kukubali kukosolewa. Hapa kwetu upinzani ni uhaini na kama wewe ni mpinzani hupewi nafasi ya kusikika. Mfano, mawazo aliyokuja nayo Rais JPM sehemu kubwa ni mipango ya wapinzani takriban miaka 10 nyuma ya Elimu bure. Leo JPM anaonekana kuheshimika na kukubalika kwa mpango huo kuanza wakati wale waliokuja na mpango walidharaulika na hata kuzomewa na wenzao wa chama tawala bungeni. Kumbe sisi tunafika sehemu unafiki unakuwa tabia yetu. Wazungu hawana unafiki bali wanakubali uwezo wa mtu na kuuheshimu.
 
Mtu mweusi anapewa msaada wa chakula kutoka nje then wanakuja na waangalizi kujua kama icho chakula hakikuuzwa walipewa wahanga kweli..
 
This's what we call inferiority complex

They have handsomely programmed your thinking capability

Pumba tu,una wasifu wazungu kwa kukufanya mtumwa huru.
 
Hapana mkuu, mleta mada anachosema si kwamba wazungu hawana ubaguzi upo ila huwezi ulinganisha na race nyingine hata kidogo.
Mkuu kama unazani wazungu wana unmbaguzi wa hali ya juu hem nenda Uturuki na nchi za Kiarabu na china hafu uje uongee unayosema sio kuropoka wakati huna exposure.
EXPOSURE IPI UNAYOTAKA, NIKO UK NA NAIONA HALI HIYO KILA WAKATI. WHAT KIND OF EXPOSURE DO u WANT ME TO HAV
 
This's what we call inferiority complex

They have handsomely programmed your thinking capability

Pumba tu,una wasifu wazungu kwa kukufanya mtumwa huru.
wewe mwenyewe hio avatar pic yako ni ya mzungu! Sasa bado una bisha tu
 
UTAJIRI WALIO NAO HAO WAZUNGU WAMEUCHOTA AFRICA, WALITUNYANG'ANYA KILA KITU CHA THAMANI TUKAANZA UPYA.
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
Mleta mada inaonekana Mwisho wako wa kusafiri ni Chalinze au Mlandizi,tembea tembea kidogo uijue dunia na tabia za watu kuliko kuandika usichokijua? Husomi magazeti? Hutazami tz? Fungua akili ya ko kidogo.
 
Kazi yote waliofanya wapigania uhuru kama Mahatma Gandi, Julius Nyerere, Nelson Mandela, Mao Tse Tung, Fidel Castro, n.k. hayajaweza kubadili "inferiority complex' ya watu wengi humu Afrika. Hebu tueleze mleta uzi huu wa kibaguzi, je Adolf Hitler angeshinda vita kuu ya pili (1939-1945) Waafrika tungekuwa wapi? A.H. alijita mzungu wa ngazi ya juu kabisa, hapa unasema wazungu ndio wema sana? Kila taifa lina watu wazuri na watu wasio wema
 
Origin ya binadamu wote duniani ni mtu mweusi. Hauwezi tengeneza black from white but the opposite is true. Kwahiyo it depend mwisho wa siku blacks wanataka wawe superior or not. Blacks wanaweza ondoa all white in the world but white cannot
 
Back
Top Bottom