Je ni kweli hakuna aina za binadamu hapa duniani?

Je ni kweli hakuna aina za binadamu hapa duniani?

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,511
Reaction score
3,805
Kama wanyama flani wapo na aina zao kwanini isitambuliwe kwa binadamu pia?

Tunaona ng'ombe wapo katika types tofauti, nguruwe, mbwa, kuku, tembo nk. Kwanini binadamu tusiwepo kwenye types tofati kama wazungu,wachina,waafrika,wahindi,waarabu,japani atakama wote ni binadamu ila ata kwa macho tu tunaona tumetofautiana sana ingawaje dini na sayansi zinatuambi binadamu tupo sawa
 
Mtaalam uko Sawa kabisa
Kwa Muktadha wa kidunia Kuna
1. Caucasian face( Mzungu,mwarabu na jamii za wahindi)
2.Mongoloid face( China na macho madogo wote)
3. Negroid( Black mamba ,sisi Africa)

Lakini ukija Africa pia tumegawanyika tuko tofauti Kuna

1. Bantu
2.Nilote
3. Cushite
4.Khoisan
Ni aina za binadamu hizi
Hushangai kwenye mbio ndefu Kenya na Ethiopia inakimbiza, Aina ya watu wa huko wanaweza hayo mambo ( mazingira ,evolution,Adaptation)
 
Back
Top Bottom