Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2015
Posts
1,583
Reaction score
2,702
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
 

Attachments

  • 220px-White_House_06.02.08.jpg
    220px-White_House_06.02.08.jpg
    5.5 KB · Views: 69
Arabs are the worst, followed by indians, chinese,other asian natunarities, africans, then europeans
 
yaah hiyo ni kweli..
anaebisha. afuatilie makampuni ambayo yanamikiwa na wazungu.. achunguze kuanzia kulipa mishara, working hour, overtime na kujar wafanyakaz.. then alinganishe na makampun ya watu wa asia.. hapo china,vietnam,japan,india na waarabu huko.. ndo atajua utofauti..
me ninamifano halisi.. wazungu ni boora sana.
 
Ukiona mzungu mkarim na mwenye roho nzuri kwako, kuwa smart kuna kitu anataka toka kwako, wako very smart ktk hili, lazima na wewe uwe smart kutambua hilo ila kama ni boya, lazima utamsifia kuwa ana akili ukija zinduka kishamaliza kazi.
Usiwe mjinga hivyo, ila kama binadamu tuko tofauti hata kimuonekano!
 
Back
Top Bottom