Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

"mtahifadhiwa kama pundamilia wa serengeti" R.I.P mzee wetu baba wa taifa. Tangu lini pundamilia akamwona mtalii ni mbaya wake? tujifikirishe!
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Hakuna watu washenzi kama sisi weusi na watu weupe sio wabaya kama tunavhiaminishwa
 
Wazungu hawatoi misaada bali wanafanya biashara nasi tena kwa kutumia mtaji wetu. Walipora mali yetu wakati wa ukoloni, wanaendelea kuchota mali yetu kwa kuwatumia watawala waroho tulio nao. Nitakubaliana nawe ukisema nchi zao zimeendelea, lakini si hoja ya utu.
 
Wazungu hawatoi misaada bali wanafanya biashara nasi tena kwa kutumia mtaji wetu. Walipora mali yetu wakati wa ukoloni, wanaendelea kuchota mali yetu kwa kuwatumia watawala waroho tulio nao. Nitakubaliana nawe ukisema nchi zao zimeendelea, lakini si hoja ya utu.
Mkuu hata huko kuendelea kulitokana na kuzinyonya baadhi ya nchi.
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
Unatakiwa kuchunguza na kufahamu zaidi kuhusu asili ya hao unafikiri ni wastaarabu. Inaonekana unapenda misaada na ndio maana unaangalia ukarimu na ubahili wa watu bila kuelewa wanaotoa sio kwa sababu ni wakarimu bali wanajua watakaporudisha faida. Wazungu ndio wanautetea ushoga na usagaji je ndo unawaona ni watu wa daraja la juu? Afrika ndio taifa teule na ndo maana hawaachi kuja kwetu. Kwa taarifa yako MUNGU hakuongea na wazungu na usije ukafikiri bustani ya Eden ilikuwa ulaya au marekani. Na pia ujue YESU sio mzungu na wala usifikiri waisrael ni wazungu ni ndugu na hao waarabu. Mmoja alizaliwa na mjakazi na mwingine mke halali wa Ibrahim kwa hiyo wote waarabu na waisrael ni uzao wa Ibrahimu. Taifa lililokuwa chimbuko la ushoga ni lile la Sodoma na Gomora ambako Loth ndugu yake Ibrahim alikuwa anaishi. MUNGU ni mwema alilifuta ilo taifa.Wazungu ni makerubi na hawako katika shina la Ibrahimu na wengi ni masalia ya Sodoma na Gomora!. Kwa hiyo ndugu fanya utafiti vizuri zaidi usije ukafikiri hao unaowabudu ndio chimbuko la ustaarabu!
 
HAPANA KILA TAIFA LINAWATU WEMA NA WABAYA! HAO HAO WAZUNGU WAPO MAKATILI MFANO HAKUNA, UINGELEZA,UJERUMANI! WALIO WENGI NI WABAGUZI WA LANGI! IJAPO KUWA WAPO WALIO WAZURI! SEMA IVI MZUNGU ANATUMIA HEKIMA NYINGI ILI AKUTAWALE NI MTU WA KUSOMA ALAMA ZA NYAKATI NA YEYE AMEKWISHA IJUA SILI HIYO WAENGA WANASEMA MFUNDISHE MTU JINSI YA KUVUA SAMAKI NA SIO KUMPA SAMAKI HUYO MTU ATAJIFUNZA LINI KUVUA HAO SAMAKI! HIVYO NDIVYO WAZUNGU WANAVYO FANYA! HIYO MISAADA UNAYO ISEMA NI LASILIMALI ZETU AFRICA NDIO MAANA HATA WEWE UMETAWALIWA KIDOGO TUU TAYALI UNAKUJA SIMULIA UMU HAWA WATU NI MATAPELI! HUO NDIO UTUMWA FANYA VIZURI ANALYSIS YAKO!
 
Kama ni tafiti naona Error ni kubwa mno na unaweza usigraduate kabisa. Nikuombe umsome walter Rodney" how Europe underdeveloped Africa"Halafu tafuta vitabu vyenye mrengo huo utafika hitimisho Zuri.
Wao wanatengeneza win win situation tu hamna kingine
 
Mtampinga mleta mada Bure,ila kwa sis ambao tumebahatika kufanya kazi na hawa watu alowataja hawa watu kweli tunajua tofauti ya utu aliyo nayo mzungu na hao wengine,mzungu hana shida anachotaka ujue wajibu wako utapata haki yako bila kikwazo,njoo kwa hawa wengine utatimiza wajibu wako ila watakufata Bado,zengwe n kubwa mno uliza Dada zetu wanaofanya kazi kwan watu wa India ,viwandan kwan wachina kisha njoo hapa utupe mrejesho.wazungu ni wema kuliko hawa wengine,Mungu azidi kuwabariki .napenda kuwasilisha
 
Swali langu ni moja kua kma waliweza kusafiri kutoka mashariki ya mbali mpk huku kwetu na kutu tawala ilihari cc uku ni kwetu na tulikuwapo wengi kulko wao lkn wakatupora uhuru na mali zetu kwa kutumia akili ya kawaida hupati picha kua wao wanatuzidi ujanja?
 
Watu wote ni sawa kimwili kiakili. Hakuna cha Mzungu wala mchina.
Sasa kama ni hivyo kwanini waliweza kuja kwetu kututawala na wala si sisi kuwahi kwenda kwao?? Sisi tumebaki nyuma na wao wameendelea kuwa mbele daima kwa kila kitu?? Kuna wanaosema kwamba wazungu walipokuja kututawala waliiba utajiri mwingi sana na kuuhamishia kwao ulaya na sisi kubaki masikini lakini hoja hiyo haina mashiko kabisa kwani wazungu hawakubeba kila tulichokuwa nacho, tumeendelea kubaki na utajiri mwingi tu, maliasili, madini wanyama, nk. Hata marekani wenyewe walitawaliwa na waingereza, wafaransa, wahispaniola, lakini mbona walipopata uhuru walikuja kuendelea...?

Kila kizuri cha kimaendeleo kinatoka kwao tumeiga mambo yao mengi sana elimu wao ndo walileta, jinsi ya kuendesha siasa, uchumi, nk vyote tumeyatoa kwao?? Kuna usawa gani hapo??
Wajameni kuna mambo ambayo mtu huwezi kukataa hata iweje, lazima tukubali tu kwamba sote tu binadamu lakini binadamu wenzetu weupe ni level nyingine.. walishatuzidi tu hakuna namna..
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa
Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
Mtoa madaa umeongea kitu cha maana saa coz bila mzungu usingekua jf now
 
Fikra dhaifu sana
tunacho kiweza cc ni ubishi tu lkn ukweli mchungu, Kma mzungu anatoa msaada Africa na bado anakuja kuhakiki Kma kweli ume fika kwa mlengwa? ndo uta jua cc tuna akili gani.... na LA ziada tu ni kwamba budget ya nchi yako haijakamilika bila wazungu kutia mkono wao ina maana wakikaza hajambi mtu nchi hii
 
Sasa kama ni hivyo kwanini waliweza kuja kwetu kututawala na wala si sisi kuwahi kwenda kwao?? Sisi tumebaki nyuma na wao wameendelea kuwa mbele daima kwa kila kitu?? Kuna wanaosema kwamba wazungu walipokuja kututawala waliiba utajiri mwingi sana na kuuhamishia kwao ulaya na sisi kubaki masikini lakini hoja hiyo haina mashiko kabisa kwani wazungu hawakubeba kila tulichokuwa nacho, tumeendelea kubaki na utajiri mwingi tu, maliasili, madini wanyama, nk. Hata marekani wenyewe walitawaliwa na waingereza, wafaransa, wahispaniola, lakini mbona walipopata uhuru walikuja kuendelea...?

Kila kizuri cha kimaendeleo kinatoka kwao tumeiga mambo yao mengi sana elimu wao ndo walileta, jinsi ya kuendesha siasa, uchumi, nk vyote tumeyatoa kwao?? Kuna usawa gani hapo??
Wajameni kuna mambo ambayo mtu huwezi kukataa hata iweje, lazima tukubali tu kwamba sote tu binadamu lakini binadamu wenzetu weupe ni level nyingine.. walishatuzidi tu hakuna namna..
Hawana level yeyote ya kituzidi inategemea wewe unaelewa nini maana ya maendeleo! Sisi tumegeukia mfumo wao wa kiuchumi na unachokiita maendeleo kwa vile dhambi ya vizazi vetu vilivyopita kuona ya kuwa wazungu ni superior. Kumbuka walikuja kwa gear ya ukristo na wao pia injili ilikuwa imepelekwa kwao! Sasa ili kuleta wizi ilibidi wachomekee ustaarabu wao ili kuziba maovu yao. Sintakubali kamwe kukubali kuwa wazungu ni bora mpaka watakapokubali hadharani kupinga ushoga na usagaji! Kwa bahati mbaya wazungu hawakubali ila warusi,waarabu na waisraeli wanajeuri ya kuupinga lakini sio mjerumani muingereza mswidi na mmarekani! Chunguza!
 
Back
Top Bottom