Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Aksante kwa kubandika kilichokua kwenye ufahamu wangu! Niliaminishwa kuwa binadamu wote ni sawa jambo ambalo sio kweli kabisa… Baada ya kukanyaga uchina nikahakikisha kuwa Mungu ana upendeleo.Hata usafi tu tumeshindwa! Kwa kweli Tulivyo weusi na roho ni nyeusi na tupo daraja la mwisho! Pic Botha! Donald trumph! mmmmh! ngumu kumeza!
Kuna mtu alitania kuwa Kaini baada ya kumuua nduguye alipata laana ya kufa akitangatanga na akasema alifia Afrika!!…!
 
Tafuta mkorogo ujichubue ili nawe uwe "mweupe", la sivyo utaishi maisha yako yote ukijiona duni na msongo wa mawazo. Pole sana.
 
Aksante kwa kubandika kilichokua kwenye ufahamu wangu! Niliaminishwa kuwa binadamu wote ni sawa jambo ambalo sio kweli kabisa… Baada ya kukanyaga uchina nikahakikisha kuwa Mungu ana upendeleo.Hata usafi tu tumeshindwa! Kwa kweli Tulivyo weusi na roho ni nyeusi na tupo daraja la mwisho! Pic Botha! Donald trumph! mmmmh! ngumu kumeza!
Kuna mtu alitania kuwa Kaini baada ya kumuua nduguye alipata laana ya kufa akitangatanga na akasema alifia Afrika!!…!
Sisi wote tupo sawa bali tuna rangi tofauti na fikra tofauti na kuhusu weusi tupo daraja la mwisho labda ww ndo upo daraja la mwisho,jisemee ww mwenyewe
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
Eti hakika wazungu ni bora,Shauri yako subiri siku wakuoe ndo utashangaa....na kuhusu mzungu anaweka pesa ili asaidie hilo uongo,mzungu yupo tayari aweke pesa ya yake mwaka mzima ili aende kutembea nje ya nchi yake Kwa ajili ya kujifunza mazingira au utamaduni au kujua watu wengine wanaishije
 
Kiroboto21 na Rungu ukweli unauma.Ni mambo mengi sana ambayo tunafanya sisi weusi ambayo ni upuuzi mtupu kabisa utajikataa na kijiita bora lakini ukweli upo palepale! Jaribu fikiria kidogo tu hata usafi tunahitaji amri toka ikulu? je tunahitaji meno ya tembo kwenda uchina ili kutengeneza vishikizo!! Ni mengi mno! Jaribuni kuangalia tena filamu ya Blood diamond! then utajua!
 
acha kufyatuka kma cio mzungu hii jamii forum ungeijua ww?
Jf sio mzungu. Hata wewe Unaweza kudesign bora kuliko hata hii.
Nataka vitu ambacho wewe binafsi mtoto Wa London au berlin anakuzidi hata ufanyeje huwezi kabisa.

Hacha utumwa Wa fikra. Utafiti umeshafanyika hkuna tofauti yoyote. Hata wewe ukiamua Leo Unaweza kuwa bora kuliko Mzungu yoyote
 
kama tunge kua na akili iweje tugombanishwe ilihari tuna jua kua tuna gombanishwa
Ndio maana nasema sisi hatujielewi na tumelogwa. Kikubwa tuliofunguka yatupasa kuwaelimisha ambao bado ili tuweze kwenda sawa. Tukiwakataa wazungu tutapiga hatua. Kikubwa ni kujiamini na kusema tunaweza
 
Jf sio mzungu. Hata wewe Unaweza kudesign bora kuliko hata hii.
Nataka vitu ambacho wewe binafsi mtoto Wa London au berlin anakuzidi hata ufanyeje huwezi kabisa.

Hacha utumwa Wa fikra. Utafiti umeshafanyika hkuna tofauti yoyote. Hata wewe ukiamua Leo Unaweza kuwa bora kuliko Mzungu yoyote
Operating system yote ni wazungu! weusi tutatengeneza application tu!
 
Una macho mawili lakini unatumia moja. Unataka nani awafundishe hao wanaologa? Tatizo letu sisi tunapenda kuishi leo. Wenzetu wanaona mbali ndio maana wanakuingia wewe indirect ili waje wakutawale. Hapo tu tayari umetawaliwa kifikra maana unakubali na kuthamin cha kwao unaacha chakwenu
Cha waafrika ni kipi?
 
Jf sio mzungu. Hata wewe Unaweza kudesign bora kuliko hata hii.
Nataka vitu ambacho wewe binafsi mtoto Wa London au berlin anakuzidi hata ufanyeje huwezi kabisa.

Hacha utumwa Wa fikra. Utafiti umeshafanyika hkuna tofauti yoyote. Hata wewe ukiamua Leo Unaweza kuwa bora kuliko Mzungu yoyote
kwanza neno tu forum ni la mzungu, aya nitajie ni mwafrica gani kasha enda anga za mbali (mwezini) pili nitajie mwafrica yyote alie wahi kugundua kifaa chochote cha umeme, ufundi kwa formula yake cio ya kuiga.
 
Eti hakika wazungu ni bora,Shauri yako subiri siku wakuoe ndo utashangaa....na kuhusu mzungu anaweka pesa ili asaidie hilo uongo,mzungu yupo tayari aweke pesa ya yake mwaka mzima ili aende kutembea nje ya nchi yake Kwa ajili ya kujifunza mazingira au utamaduni au kujua watu wengine wanaishije
Kwanini muafrika hawezi kusave hela ili akatembee huko ulaya kujifunza?
 
Kwanini muafrika hawezi kusave hela ili akatembee huko ulaya kujifunza?
Yah tunaweza lakin tayari tunaishi Kwa mazoea ndugu yangu,Kwa mfano mtu mweusi ataweka hela Kwa ajili ya kujenga nyumba,kununua magari,kufungua maduka na vitu vingine vingi tukifikiri kwamba hayo ndo maendeleo lakin wenzetu wapo tofauti sanaaaaa,nafikiri njia au style za kuishi zipo tofauti sanaaaaa
 
Operating system yote ni wazungu! weusi tutatengeneza application tu!
OS kuna vijana walitengeneza OS pale usdm.
Hata wewe ukiwa interested Unaweza tengeneza OS kwa platform ya LINUX au UBUNTU(hizi ni open source).
China, Russia, north korea, wahindi baadhi hata wewe Unaweza kutengeneza OS.
Haina uhusiano wowote na Mzungu. Hizi ni excuse za karne ya 19.
Kubali kuwa uko hivyo kwa sababu umeamua au uvivu. Ideal human being Hana rangi. Wala outside appearance ikiwepo rangi haina uhusiano wowte na mind capacity.
Wazungu wamekufanya ujione hivyo ili wakutawale
 
Back
Top Bottom