Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Linux and Ubuntu open source softwre and made in Tanzania(africa)
 
OS kuna vijana walitengeneza OS pale usdm.
Hata wewe ukiwa interested Unaweza tengeneza OS kwa platform ya LINUX au UBUNTU(hizi ni open source).
China, Russia, north korea, wahindi baadhi hata wewe Unaweza kutengeneza OS.
Haina uhusiano wowote na Mzungu. Hizi ni excuse za karne ya 19.
Kubali kuwa uko hivyo kwa sababu umeamua au uvivu. Ideal human being Hana rangi. Wala outside appearance ikiwepo rangi haina uhusiano wowte na mind capacity.
Wazungu wamekufanya ujione hivyo ili wakutawale
unajichanganya bure hata hio udsm bado ni mali ya mzungu , hizo open source ni formula za mzungu wanachokifanya ni kutembelea ndani ya idea ya mzungu ni sawa na kuchonga sofa baada ya kuona kochi ni mulemule
 
Unavyoongea ni dhahiri huwafahamu wazungu. Wewe ni almanusura (victim) wa ukoloni mamboleo.
Kweli wazungu siwafahamu sana ila hii kitu internet inanisaidi kuwafahamu! Wachina angalau nawafahamu na nimefika uchina. We have the longway to go!
 
Kweli wazungu siwafahamu sana ila hii kitu internet inanisaidi kuwafahamu! Wachina angalau nawafahamu na nimefika uchina. We have the longway to go!
Jaribu kutembea, kuishi, kuzaa na kujichanganya na wazungu ili upanue wigo wako wa uelewa. Huna haja ya kujiona duni kiasi hiki katika dunia ya leo.
 
Interesting.

Wazungu wako ki-mission zaidi. Akitaka kupata kitu anatumia njia nyingi ambazo unaweza kusema hazina uhusiano lakini lengo lake kuu litimie.

Na pia kusema mzungu ni bora kuliko mweusi sikubali. Ubongo wetu ni mweupe na damu zetu zi nyekundu kama za wengine.

Totauti ni mazingira tu yanayotufanya tufikie hapa. Waowamekubali kuwa wamoja na kuwaza kufika mbali kimaendeleo sisi wengi wanang'ang'ana kukaa madarakani na mawazo ya kizamani.

Anachianzisha fulani hakitimizwi na mwingine kwa utofauti wa kifikra, itikadi na uzalendo hafifu.
 
unajichanganya bure hata hio udsm bado ni mali ya mzungu , hizo open source ni formula za mzungu wanachokifanya ni kutembelea ndani ya idea ya mzungu ni sawa na kuchonga sofa baada ya kuona kochi ni mulemule
Utaelewa maana ya open source.?
Hakuna kitu kilichofanywa na Mzungu tu, Leo ukisikia Apollo inaenda outerspace au mwezini, pale NASA kuna watu weusi mabingwa weñgi tu na top na wengine wamezaliwa afrika tena vijijini. Tanua uelewa kidogo tu utakutana na mengi.
 
Daaa inaonekana wewe ulikimbia kabisa somo la History...laiti kama ungesoma historia tema mate chini na utubu zambi zako....Tatizo huwajui wazungu ila unawaona tu...na kuwajua wazungu lazima uwe vizuri kichwani(uwezo wa kuelewa mambo) na kinyume chake ni ukweli wenyewe.
Mzungu wa karne ya 21 ni tofauti na mzungu wa karne ya 20..any way nisikuchoshe nazani hujui historia...naogopa nipo jirani na makaburi ya hapa Majimaji Songea,akina Songea Mbano wasije wakafufuka kwa kuwatonesha kidonda cha Wajerumani
 
Utaelewa maana ya open source.?
Hakuna kitu kilichofanywa na Mzungu tu, Leo ukisikia Apollo inaenda outerspace au mwezini, pale NASA kuna watu weusi mabingwa weñgi tu na top na wengine wamezaliwa afrika tena vijijini. Tanua uelewa kidogo tu utakutana na mengi.
hao weusi wachunguze kma wamesoma udom kaka and how come wakatumike uko NASA wkt ata Africa tuna wahitaji ?issue ya open source naijua vzur tena naweza kukupa mpk history yake lkn ni mzungu ndio ka Engineer hio kitu
 
unajichanganya bure hata hio udsm bado ni mali ya mzungu , hizo open source ni formula za mzungu wanachokifanya ni kutembelea ndani ya idea ya mzungu ni sawa na kuchonga sofa baada ya kuona kochi ni mulemule
Hivi vita vya kumkomboa mwafrika kifikra vimepoteza damu ya watu weñgi. Martin Luther King Jr inaonekana alipoteza muda wake bure. Wazungu walimuelewa wakampa Obama awaongoze, Leo Ben Carson ananafasi ya kupeperusha bendela ya democratic, Italy pmj na akili zao mbovu za kibaguzi waziri wao mmoja ni mwanamke mweusi kuliko hata wewe.
Acha fikra mbovu, utawapa watoto wako urithi mbovu sana Wa uoga.
 
hao weusi wachunguze kma wamesoma udom kaka and how come wakatumike uko NASA wkt ata Africa tuna wahitaji ?issue ya open source naijua vzur tena naweza kukupa mpk history yake lkn ni mzungu ndio ka Engineer hio kitu
Chief designer Wa supercomputer na uwezo wake mkubwa Wa kusolve complex mathematical calculations aliweza kuvumbua most powerful cpu ambayo inatuwezesha Leo kuchat humu na anatambulishwa kama baba Wa internet.
Huyu ni mnigeria tena mweusi kuliko wewe na wenzako hadi rais Wa marekani amempa Presidential medal.

Narudia tena. Rangi haina uhusiano hatanukta ya mental capability. Hii shule ilitolewa SA na Mandela, sarafina movie wameigiza, nyerere kapambana, mkwawa,kinjektile, martin Luther,malcom X, rais Wa marekani Abraham Lincoln hadi wazungu wakamshoot kwa kutufumbua, wewe unalima dunia gani? Mbona unaturudisha enzi za utumwa

Wazungu wakigundua hii fact karne ya 16 tu.
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
kabla hujaja kuandika hapa unge reason kwa maswali yafuatayo;
1. nini maana ya utu?
2. Racism South Africa, USA, Trans Triangular slave trade, vita ya Iraq, Lumumba Patrice aliuawa na nani? na kwa kosa gani? yote haya yalifanywa na Chinese, Indians, Arabs and Africans. Muda ndio umewbadilisha hawa watu sio roho nzur za asili maana Hitler hakuwa mweusi, nina maana hata wengine tunabadilika gradually, Acha kujitoa ufahamu
 
Hivi vita vya kumkomboa mwafrika kifikra vimepoteza damu ya watu weñgi. Martin Luther King Jr inaonekana alipoteza muda wake bure. Wazungu walimuelewa wakampa Obama awaongoze, Leo Ben Carson ananafasi ya kupeperusha bendela ya democratic, Italy pmj na akili zao mbovu za kibaguzi waziri wao mmoja ni mwanamke mweusi kuliko hata wewe.
Acha fikra mbovu, utawapa watoto wako urithi mbovu sana Wa uoga.
hatukatai kua weusi tunaweza lkn wenzetu wametuzid mambo mengine tutabisha tu ila numbers don't lie, jiulize kma 1386 Germany wana The Ruprecht-Karls-Universität Heidelberg(Heidelberg University chuo kikuu hicho cc tulikua wap?
 
...jiulize kma 1386 Germany wana The Ruprecht-Karls-Universität Heidelberg(Heidelberg University chuo kikuu hicho cc tulikua wap?
Umewahi kusikia kuhusu Timbuktu?
 
hao weusi wachunguze kma wamesoma udom kaka and how come wakatumike uko NASA wkt ata Africa tuna wahitaji ?issue ya open source naijua vzur tena naweza kukupa mpk history yake lkn ni mzungu ndio ka Engineer hio kitu
Mipaka ya dunia haiko kwa rangi Bali ni bahari na milima. Uwezo wako utatumia popote duniani utakapohitajika. Hata hiyo simu au pc unayotumia hiyo battery imevumbuliwa na mwafrika. Hata maandishi haya yamevumbukiwa na mwafrika.

Uwezo wako utatumia popote duniani utakapohitajika. Kama hitaji LA marekani suluisho ni wewe nenda.
NASA walihitaji kwenda mwezini sio ghana. Ghana wakijitahidi uhuru Wa kisiasa na mwafrika Nkwame nkuruma aliwapa. Uwezo anao mghana na pia ni consultant Wa projects nyingi za warusi maana hitaji lao suluhisho nalo yeye. Siku Ghana wakitaka anasaidia na anasupport projects nyingi za vyuo vikuu Ghana ktk field ya mambo ya anga.

Maendeleo ya hii dunia yamechangiwa na watu wote sio rangi. Hiyo ni dhana potofu.
 
hatukatai kua weusi tunaweza lkn wenzetu wametuzid mambo mengine tutabisha tu ila numbers don't lie, jiulize kma 1386 Germany wana The Ruprecht-Karls-Universität Heidelberg(Heidelberg University chuo kikuu hicho cc tulikua wap?
Egypt wamekuwa na vyo vya kutrain viongozi na mafarao miaka Mara mbili ya hiyo iliyopita.
Hata philosofers Wa ugiriki walikuwa wakienda kule kubadlishana ideas enzi hizo wazungu wanatembea uchi kama wasandawe
 
hatukatai kua weusi tunaweza lkn wenzetu wametuzid mambo mengine tutabisha tu ila numbers don't lie, jiulize kma 1386 Germany wana The Ruprecht-Karls-Universität Heidelberg(Heidelberg University chuo kikuu hicho cc tulikua wap?
Timbuktu... MALI EMPIRE!!!

kafanye kautafiti kuhusu hii empire ilyowahi kutokea Africa!! alafu ndo uje utoe maelezo yako vzuri!!!
 
Tatizo lako ni dogo tu unahitaji elimu.
Mreno mmoja alipofika Congo miaka hiyo alishangaa kukuta utawala na empire ambayo iko civilized hadi inawakuu Wa wilaya. Anasema idadi ya watu ilikuwamara mbili zaidi ya jiji LA London wakati huo.

Mkuu degree intakiwa ikufute matongotongo na kukutengenezea appetite ya kutaka kukua dunia na mazingira yako kisha kutatua matatizo yanayokuzunguka kwa kutumia bongo. Isikuaribu na kukufanya mtumwa Wa vitu ambacho dunia nzima imeshaelewa na imeachana navyo. Utabaki peke yako huko watu wameshatoka kitambo.
 
Back
Top Bottom