Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Wazungu ni binadamu daraja la kwanza

Sio kweli.
Mtu akikupa laki moja akakuibia billion moja indirect wewe unaona anakupenda.
Ameshakuambia Bill crinton kwa marekani hakuna common interest lkn American interest ndio maana genocide Rwanda waliweza kuzuia (baadae walikili) lkn kwa sababu hakukuwa na maslai ya taifa lao waliwwacha watu wateketee
 
Mzungu ni hatari sana tofauti na mtoa mada anavyodhani,kwa kuwa tu,wazungu wameuwai ujanja wa dunia,wao wamejikita zaidi na unyonyaji wa kutumia akili
 
unachokileta mkuu kiko sahihi kabisa wazungu ni daraja la kwanza kwa bahati mbaya sana shetani amewekeza sana kwao kama alivyowekeza kwa wanawake hasa weusi shetani anachokifanya ni kuwatumia malaika waasi kupandikiza mawazo katika vichwa vya wazungu na ndio maana wanagundua vitu vingi kwa sbb unakuta siyo akili zao shetani lengo lake ni kutengeneza dunia ifanane na mbinguni
 
Najua wazi kuwa, wengi Sana mtanipinga humu.
Lakini ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Sisi sote ni wanadamu lakini ukweli ni kuwa tuna tofauti kubwa Sana kulingana na jinsi tulivyoumbwa.
Tabia za wahindi ni tofauti na tabia za weusi.
Tabia za wachina ni tofauti na tabia za wazungu.

Wazungu ndo wanabaki kuwa wanadamu walio daraja la kwanza ktk utu.
Pamoja na mapungufu yao makubwa Sana waliyo nayo,bado viumbe hawa huwezi kuwalinganisha na wahindi, wachina, na waarabu.

Wana roho nzuri Sana zenye utu, wana huruma Sana, mambo mengine inabakia kasoro za kibinadamu tu ambazo kila mtu anazo.

Huwa mara nyingi Sana najiuliza, hivi bara la Africa lingekuwa juu kiuchumi Kama ulaya na Marekani, halafu wao wakawa chini kiuchumi, Kwa roho mbaya na ukatili tulionao sisi weusi sidhani kama tungekuwa tunawasaidia kama wafanyavyo kwetu.

Bahati nzuri Sana sijakurupuka tu kuleta hii mada, nimekaa na wazungu wa mataifa tofauti.
Nimekaa na wahindi na wachina na kufanya nao kazi sehemu pamoja na weusi wenzangu ambao ndo nashinda nao kila siku.

Hakika wazungu ni bora kuliko maelezo.

Hawana ubaguzi mkubwa wa rangi kama walionao, wahindi, wachina, na waarabu.

Sisi watu weusi mara nyingi Sana tunaoleana na wazungu, hebu jaribu Kwa wahindi, waarabu na wachina ukione cha moto.

Mweusi akiwa na pesa anawaza anasa na kuongeza mke wa pili au kuwa na vimada lukuki.

Wazungu wakiwa na pesa wanajiuliza nani ana shida wamsaidie.

Wahindi wakiwa na pesa ndo wanazidi kuwa na roho mbaya na dharau na kuzipeleka Canada na UK ama kwao India ila siyo kutengeneza mzunguko zaidi wa pesa ndani ya nchi.

Wachina ni bahili Sana na ni makatili.
Ndo maana Mungu aliamua kuwabariki mataifa ya kizungu.

Kila jambo huwa na maana yake, hebu jaribu kufikiria, ingekuwaje Kama Marekani, Uingereza, Urusi, Ufaransa, Ujerumani, Canada na n. k, endapo nguvu walizonazo wangekuwa nazo mataifa ya kiarabu?

Nadhani dunia ingelia kilio cha mbwa.

Hakika Mungu ni muweza Sana.

May God continue to bless those nations.

Ikulu ya Marekani ambako maamuzi ya dunia hufanyika.
Aisee wewe ni nyumbu namba moja. Mzungu ni mtu mjanja sana. Kwanza anakua na plan ya miaka 100 ijayo. Lengo lao ni kukutawala kifikra, utamaduni pamoja na uchumi. Wanayafanya hayo yote kukupumbaza. Milele huwezi kuliona hilo na ndilo lililowaponza wazee wetu mpaka sasa tunakua watumwa. Unawasifia roho nzuri wakati wanakuletea old model. Ila sisi watu weusi sijui tumelogwa nanani?
 
pega hesabu tz. ndio ingekua kama marekani.maana tunafanyiana ufusadi wa kesenge africa.alafu akuna cha maana
 
Sio kweli.
Mtu akikupa laki moja akakuibia billion moja indirect wewe unaona anakupenda.
Ameshakuambia Bill crinton kwa marekani hakuna common interest lkn American interest ndio maana genocide Rwanda waliweza kuzuia (baadae walikili) lkn kwa sababu hakukuwa na maslai ya taifa lao waliwwacha watu wateketee
tutabaki tuna raumu tu eti wanatunyanyasa lkn swali ni kwamba kwnn sisi kwa sisi tuna uana? kwnn matatzo yetu tuna subir yatatuliwe na wazungu ili hari wao wana maliza matatzo yao kimpango wao
Mzungu ni hatari sana tofauti na mtoa mada anavyodhani,kwa kuwa tu,wazungu wameuwai ujanja wa dunia,wao wamejikita zaidi na unyonyaji wa kutumia akili
 
Nikweli kabisa,we ona viuongozi wetu wa kiafrika wanaiba hela kwetu wanaenda kuficha ulaya. Simbora ingenaki hapa bongo watu wakakopeshwa kwenye ma benki na ingenufaisha ndugu zake.
 
Wazungu ukiwa uko vizuri au una kitu fulani watacho benefit toka kwako they are good. In general wako poa. Nadhani blacks tunamatatizo makubwa na ndio maana tulitawaliwa.
 
tutabaki tuna raumu tu eti wanatunyanyasa lkn swali ni kwamba kwnn sisi kwa sisi tuna uana? kwnn matatzo yetu tuna subir yatatuliwe na wazungu ili hari wao wana maliza matatzo yao kimpango wao
Watu wote ni sawa kimwili kiakili. Hakuna cha Mzungu wala mchina.
 
Ukifanya kazi na wazungu professional, i.e, top companies kama Nasa, au aviation, etc. ndio utapata chance ya kuwa appreciate. Watu weusi uongo uongo bla bla, kazi hawafanyi qualification za kuunga unga, kazi za kupeana. Tofauti sana na wazungu. Watu bado wanarogana. Yani 21 century watu wanaloga si udwazi huo
 
Ukweli mchungu sanaaaaa.Waafrika tulikimbizana wenyewe kwa wenyewe toka kila pande na wakati huohuo tulikuwa tukikimbizwa na watu wengine.Mfecane war as example......
 
tutabaki tuna raumu tu eti wanatunyanyasa lkn swali ni kwamba kwnn sisi kwa sisi tuna uana? kwnn matatzo yetu tuna subir yatatuliwe na wazungu ili hari wao wana maliza matatzo yao kimpango wao
Hao hao ndio wanaosababisha muuane. Kwani hujui. Angalia kwa lybia. Mbona nyie mnashawishika haraka hivyo. Hakuna Mzungu mwenye nia njema na muafrika. Jiongezeni jamani
 
I'm Blackman
I'm African
I'm Tanzanian
I'm Handsome
I'm Beatles
I'm 1st class
I'm me....

.[emoji817] [emoji818] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Ukifanya kazi na wazungu professional, i.e, top companies kama Nasa, au aviation, etc. ndio utapata chance ya kuwa appreciate. Watu weusi uongo uongo bla bla, kazi hawafanyi qualification za kuunga unga, kazi za kupeana. Tofauti sana na wazungu. Watu bado wanarogana. Yani 21 century watu wanaloga si udwazi huo
Una macho mawili lakini unatumia moja. Unataka nani awafundishe hao wanaologa? Tatizo letu sisi tunapenda kuishi leo. Wenzetu wanaona mbali ndio maana wanakuingia wewe indirect ili waje wakutawale. Hapo tu tayari umetawaliwa kifikra maana unakubali na kuthamin cha kwao unaacha chakwenu
 
Back
Top Bottom