Kumekucha na makucha yakeMaongezi tu kushakucha
Ni kweli bro hawa ni Mungu tu ndio kiboko yao, kwa sisi binaadamu wa aina ya kuangalia na kujali leo tu, na huna plani ya kesho basi hatutawaweza.Na ili ujue na uthibitishe kuwa hatutowaweza nakuomba niondolee Herufi Z katika hili Neno Mzungu kisha niambie linabaki neno gani hapo Ndugu.
Wazungu pia ni watu kama watu wengine ukiachana na rangi, asili ni asili tu mengineyo ni maarifaChochote unachojua Wewe hata uchawi,wenzako ndege zao tunaziona zinaruka juu,nyie huku nyungo zenu story tu,si mziweke watu wapige kazi,mwana acha ujeuri hatuwawezi
Mimi naona ipo tofauti kati ya uwezo na maarifa, kila mtu anao uwezo sawa na mwingine yeyote tofauti ni namna gani unavyoyatumia maarifa. Maarifa ni uwezo Wa kutumia akiliNdiyo ni watu kweli kabisa,ila hatuwawezi wazungu ni watu kweli,tatizo kuna watu hawataki kukubali uwezo walionao
Hata wawe wamefanya au wanafanya kitu gani ,bado huwezi kuelezea mambo yatayokuja siku za baadae.Chochote unachojua Wewe hata uchawi,wenzako ndege zao tunaziona zinaruka juu,nyie huku nyungo zenu story tu,si mziweke watu wapige kazi,mwana acha ujeuri hatuwawezi
Wanaweza baadhi,ndo maana kuna utabiri Wa hali hewa,mwana we kubali tu kiroho safi acha chuki lazima ukubali kimaarifa wametuzidi, ona simu unayotumia, ona magari, bila wao ungetembea na mguu toka mbeya hadi Dar.Hata wawe wamefanya au wanafanya kitu gani ,bado huwezi kuelezea mambo yatayokuja siku za baadae.
kwani hapo zamani unajua wazungu walikuwa vipi?