sitaki kabisa hiyo hoja,yaani mnifahamu na siku mkinifahamu tu nabadilisha ID,ebu acheni huo mchezo kabisaJamani wana JM forum kumbe nasi tunaweza tukafanya party yetu ya mwaka, members tukutane tufahamiane.
Jinsi party ya 8020 fashions ilivyofanikiwa hivi karibuni, itupe changamoto
Mnaonaje wakuu kuhusu hili?
1. Najiuliza kulikoni na tumekosa nini hata kujipa adhabu ya kujilinganisha na mtandao huo kiasi cha kuiga mfano wake.
2. Inamaana kila kitu kianzishwacho lazima kiji evaluate kwa sherehe?
3. Nini kitafuata baada ya kukutana huko? Kuanzisha DECI? Au UPATU?
Mimi nadhani hivi tulivyo tunatosha sana, wanaofahamiana waendelee kukutana, na wengine tutazidi kufahamiana tu kulingana matukio lakini si kwa style hii ya siku fulani na deadlines(sherehe na kalenda)
Mmefunga na ndoa kabisaChoko Nyani Ngabu lazima atie timu kwenye hiyo pati yenu
Mmefunga na ndoa kabisa
Uko USA mpaka watatifua tifua tigo lako chekea chekea wanaume
twitwitwitwi bora nikae mavumbini kuliko wewe uliotoa tigo ili upande pipa
Suala la kukutana ni wazo zuri sana lakini tatizo na jinsi tulivyo sambaa,wanachama wa JF wako dunia nzima,sasa tutakutanaje?,na wengine tupo kwenye harakati januari hadi disemba,huo muda nitaupata wapi na itakuwa wapi na gharama za malazi na chakula itakuwaje?,kweli ni wazo zuri lakini ni gumu kutekelezeka...