Wazo nililopata kuhusu ajira

Nakumbuka 2015 kuna dogo rafiki angu alikuwa analala nje kariakoo ila saivi ana duka la simu pale agrey kajitafuta kajipata yan hiyo miaka ni mingi ukiwa una ishue unafanya unaweza ukajipata masta aaah NOMA SANA MASTA
Kwel kabisaa..kwenye kipind kama hik better angekua anafanya kitu hata kwa udogo, 8 years angekua angalau ameshapata idea kwamba muelekeo wangu ni huu na sio ule
 
Hii ni common principle kwa watu ambao wan history za kupambana sana au kusahau walipotoka. Most of the people wenye mind hiz wanakufaga wapweke sana. Na wakifikisikaga wanapotea mazima.

Be exposed to other experience, enjoy it to the fullest
Sio wote kaka.
Mtu aliyejipambania alone kwale upwek hata sio kitu cha kumshangaza sana.Maana mpaka ujisimamishe kimafanikio ni lazima uwe ushakutana na uhalisia ambao ni fact kabisa kwamba life is all about choices..u cant get all, u have to choose bit in real sense hwez luwa mpweke ukiwa n pesa.Upweke ni mindset. Hakuna raha yotote kwenye ufukara na umasikini, wanaigiza tu.

Kwa mtu aliyejoambania akafanikiwa hakuna msamiati kwake unaoitwa HOFU. Watu hawa hawaogopi kabisaaa KUFIRISIKA maana they have come from 0, nothing yani. Mpaka kufika juu kashafirisika sanaaaaaa and trust me hawa watu huwa hawafirisiki na wakirisika wanajua namnanya ku bounce back, maana wanajitengezea mafanikio yao wenyewe, hawajabebwa kufika walipofika
 
Hao unaotaka kuwafata nao wana ndugu zao mtaani hawana hizo ajira!
Tatizo lako hutaki kukubaliana na uhalisia kwamba hizo ajira hazipo, wewe kichwani unawaza kwamba zipo na watu wanakubania tu!
Ila naona huu ni mwanzo tu, muda si mrefu graduates akili zitawakaa sawa na ndiyo utakuwa mwanzo wa kupiga hatua kufafikia maendeleo ya kweli!
 
Mkuu nitafanikiwa kweli Nijenge ninunue usafiri na nisomeshe wanangu shule nzuri kweli
 
Tuma ata kwenye email ya ikulu
 
Be in touch with right people
Ikiwa Umemaliza chuo since 2015 mpaka leo and you are already a singo Mama with no future with no progress

Unabidi kujaribu kubadilisha mindset kuhusu Ajira na kujaribu kuwekeza muda na Maarifa katika sekta binafsi na Biashara .


Kwakuwa umesoma unaweza kutumia Elimu yako kumshawishi mtu ili Akusapoti kupitia idea yako uliyonayo

In this this life sio lazima uwe serikalini ndo upate Maisha mazuri.

We are focus on Financial freedom and not to be employed with anybody else as to get job security

Kuwa makini Sana katika tafakuri zako mbalimbali.
 
Mkuu kwa sasa kupata nafasi ya kujitolea ni kama kuomba ajira tu. Kama una connection mbili tatu msaidie apate iyo nafasi ya kujitolea
 
Huko redioni wanaenda wenye ulemavu wew Kama mzima unda tatizo Kisha sema umesoma watu ndo wakusaidie la sivyo hukubaliwi na media yeyote kueleza hio habari....au Kama vipi mwakani jiunge jkt kujitolea utapata stadi za maisha utajiajiri
 
Huko redioni wanaenda wenye ulemavu wew Kama mzima unda tatizo Kisha sema umesoma watu ndo wakusaidie la sivyo hukubaliwi na media yeyote kueleza hio habari....au Kama vipi mwakani jiunge jkt kujitolea utapata stadi za maisha utajiajiri
Siwezi kujitolea jkt nipo over 25
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…