Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,357
Yah true.Usipofanya hivyo hutoboi, wote waliotoboa kuna namna ya kudharirisha wamepitia na kujichoresha au kuchoreshwa Ila Mwisho wa yote wanakula Maisha
Hili ndo la kulipambania. Alaf mbona watu wa arusha mmabebana sana. Wew inekuajeNaishi Arusha idea ya biashara niliyonayo ni kuuza chakula
Mkuu punguza munkar, msikilize kijana kwanza basi 😂 na ikiwezekana msaidie tafadhal.Huwez jua yajayoNyie pepo wachafu ndio mnaoiharibu nchi .
Kama kila mwathirika wa ajira akienda kwa DC, RC au kwa makonda hali itakuwaje?
Mlivyorubuniwa na CCM mkiwa chuo mlijiona wajanja.
Sio kirahis namna hii mzee..Hili ndo la kulipambania. Alaf mbona watu wa arusha mmabebana sana. Wew inekuaje
Mm next week naanza kuzurura na vipeperushi mitani kutangaza biashara yanguYah true.
Maana ujue hata kuamua kufanya biashara na haukua na mpango huo before, unakua unaona kama unajichoresha hiv.. Nakumbuka wakat nimejiingiza kwenye ujasiriamali, kipengele cha kupata pesa ni inakulazimu ukauze, sasa kwenye marketing hapa yan nilikubali AIBU ZOTE nikawa TAYARI KUJICHORESHA ili mradi tu mtu akusikilize akikuelwa mtafanya kazi unapata angalau pesa. Otherwise, ni lazima uwe tayar kukubal na kumeza aibu il usogee hatua flan
Sio kirahisi vipi mkuu? Sisi watu wa kusini ndo runahangaika sna mana hata walioko kwenye system hawataki kuskia kabisa kuhusu sisi wengine huku ukwamaniSio kirahis namna hii mzee..
Sometimes hawa watu halaf hawako kama tunavyowafikiria. Yan nililuja kugundua ni mara nying tu hawa watu walaSiyo kwa huo utaratibu wa kwenda kwa mkuu wa wilaya au mkoa mkuu. Tumeona hata watu wahitaji ambao ni wagonjwa wanahitaji pesa hata laki mbili tu kwa ajili ya matibabu,huyo mkuu wa mkoa au wilaya hatoi hata mia. Atakusaidia kukupa barua ya utambulisho upite uombe mitaani.
Hongera na ni wazo zuri na japo sijajua ni biashara gani, lakin naweza kukushauri mambo yafuatayoMm next week naanza kuzurura na vipeperushi mitani kutangaza biashara yangu
Naamisha siku hiz watu hawabebani tuu just bcz mmetoka mahala pamoja, yan unahitaji sana kumshawishi mtu akubebe kwenye jambo lake. YOU RAE ALONE ,PLAN YOUR FIGHTS AS LONE, NO BODY IS GUARANTEED TO BE THERE FOR YOU.Sio kirahisi vipi mkuu? Sisi watu wa kusini ndo runahangaika sna mana hata walioko kwenye system hawataki kuskia kabisa kuhusu sisi wengine huku ukwamani
Hapa vijana watakupiga maweeNi kweli, lakini pia kwa nini asiende kwenye Taasisi mbalimbali za private ama government ambazo zinahusika na masuala aliyo somea.zilizopo katika eneo lake akaomba kujitolea,ili kuongeza uwezekano wa kupata ajira pale zinapo tangazwa. Ingawa pia anaweza kulipwa nauli na posho ndogo ndogo akiwa anajitolea.
Hii ni common principle kwa watu ambao wan history za kupambana sana au kusahau walipotoka. Most of the people wenye mind hiz wanakufaga wapweke sana. Na wakifikisikaga wanapotea mazima.Naamisha siku hiz watu hawabebani tuu just bcz mmetoka mahala pamoja, yan unahitaji sana kumshawishi mtu akubebe kwenye jambo lake. YOU RAE ALONE ,PLAN YOUR FIGHTS AS LONE, NO BODY IS GUARANTEED TO BE THERE FOR YOU.
THE ONLY PEOPLE TO BE THERE FOR YOU ARE CUSTOMERS NAO KAMA UTAKUJA NA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZAO NDIO UTALAMBA PESA YAO
Kuna kipindi nilimcheki yule wa kuhamia Burundi nikamwomba anisaidie ajira. Akanijibu nimtafute DM ya Instagram yake.Jiandae kulazwa kwenye ubaridi hao sio watu wema kama unavyowaona maigizo yao kwenye TV.Wanaongozwa na falsafa ya FISi .Kuwa makini sana.
Yaaah me mwenyewe nimekubali masta unaigukuzia kazi almostten years na hajawah kabisa kufanya kazi mwanangu kuna vijana wanapambana sana mtu kama huyu ukimpa kazi anakuwa na discipline sana Masta daaah noma sana…..Roho inaniuma masta nimebadili sehemu mbili za kazi ye bado anatafuta , kuna watu watakuja kukejeli ila daah noma sana masta….Noma sio kidogo chief..noma tani 5 yan hii mzee...2015 parefu sana bila kazi, sema ilibid awe ashakua sugu wa maisha kam ameweza ku survive kipind chooote hiki?. Asaidiwe
Nakumbuka 2015 kuna dogo rafiki angu alikuwa analala nje kariakoo ila saivi ana duka la simu pale agrey kajitafuta kajipata yan hiyo miaka ni mingi ukiwa una ishue unafanya unaweza ukajipata masta aaah NOMA SANA MASTANoma sio kidogo chief..noma tani 5 yan hii mzee...2015 parefu sana bila kazi, sema ilibid awe ashakua sugu wa maisha kam ameweza ku survive kipind chooote hiki?. Asaidiwe
Hapo aende redio free ndio inasikika kila maeneo.Tafuta Redio yoyote yenye wasikilizaji wengi ukaombe ufanyiwe kipindi ukimaliza acha namba za simu utatafutwa hata na usiwatarajia na kazi utapata utakayolipwa vizuri, nimekupa muongozo
Ita waandishi wa habari alafu nenda kwa huyu utapata kazi, win-win situationIkishindikana naenda Kwa Paul Makonda
Sina connection na wazazi sinaHili ndo la kulipambania. Alaf mbona watu wa arusha mmabebana sana. Wew inekuaje
Wa kuhamia Burundi ni yupiKuna kipindi nilimcheki yule wa kuhamia Burundi nikamwomba anisaidie ajira. Akanijibu nimtafute DM ya Instagram yake.
Nilijiuliza mara nyingi nyingi ila sikumtafuta nikahisi naweza okotwa coco beach kwenye kiroba. Nikaachana nae.
ikiwa shida nawaza niende utumishi na vyeti vyangu nikalie huko kwa watanzania wenzangu huenda wakanisaidia na Mimi nikaingia kwenye system.