Wazo nililopata kuhusu ajira

Wazo nililopata kuhusu ajira

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,082
Reaction score
1,915
Kutokana na changamoto ya ajira serikalini na private sector nimepata wazo la kwenda Kwa mkuu wa wilaya nikajieleze kule akishindwa nitaenda Kwa mkuu wa mkoa huko ikiwa shida nawaza niende utumishi na vyeti vyangu nikalie huko kwa watanzania wenzangu huenda wakanisaidia na Mimi nikaingia kwenye system.

Ikishindikana naenda Kwa Paul Makonda Ndo hayo tuu wakuu je, inawezeka wakanisikiliza maana ndo wazo langu Hilo limenijia wakati nipo kwenye meditation/tafakuri.

Natanguliza shukrani
 
Kutokana na changamoto ya ajira serikalini na private sector nimepata wazo la kwenda Kwa mkuu wa wilaya nikajieleze kule akishindwa nitaenda Kwa mkuu wa mkoa huko ikiwa shida nawaza niende utumishi na vyeti vyangu nikalie huko Kwa atanzania wenzangu huenda wakanisaida na Mimi nikaingia kwenye system
Ikishindikana naenda Kwa Paul Makonda Ndo hayo tuu wakuu je inawezeka wakanisikiliza maana ndo wazo langu Hilo limenijia wakati nipo kwenye meditation/tafakuri
Natanguliza shukrani
Usiache wazo lipite bila kulifanyia kazi.

Kama unaamini kile unacho kiwaza ndio kitakusaidia, basi hauna haja ya kuja kuomba ushauri.
Fuata wazo lako kwanza, kisha utaomba ushauri baada ya kupata matokeo ya wazo lako.
 
Usiache wazo lipite bila kukifanyia kazi.
Kama unaamini kile unacho kiwaza ndio kitakusaidia, basi hauna haja ya kuja kuomba ushauri.
Fuata wazo lako kwanza, kisha utaomba ushauri baada ya kupata matokeo ya wazo lako.
Nimeuliza tuu nijue je, inawezekana kuonana na watu hao bila kikwazo maana nitafika mpaka Kwa mama Samia
 
Sijakuelewa mkuu
Nenda kwenye Redio yenye wasikilizaji wengi mfano Clouds FM, Wasafi FM, EFM, etc omba wakufanyie kipindi jieleze km ulivyojieleza kwenye mada yako hii omba watu wakupe kazi au ajira, watu wengi wanahitaji watu wakuwafanyia kazi Ila kuwafikia ndio mtihani ukiacha namba mchezo umeisha, hapo bado hujaelewa?
 
Sawa sawa mkuu shukrani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom