Wazo la leo

Wazo la leo

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
(i)UKINIPIGA unanionea,UKINIACHA unaniogopa,UKINISAIDIA unajipendekeza. (ii)Kama kuna foleni mbili zinaelekea sehemu moja na ukaona mstari uliopo wewe hauendi haraka,ukihamia mstari mwingine,ule mstari ulioukimbia huanza kwenda haraka kuliko ule uliohamia. (iii)Je wajua kwamba binadamu anaweza kufa haraka kwa kukosa usingizi kuliko kwa kukosa chakula? (iv)Na kwa taarifa yako,ndizi sio tunda bali ni natural herb katika mwili.
 
Umenichanganya. Ungekuwa unatoa mojamoja ingekuwa powa ile mbaya
 
Na unafahamu kwamba wanawake sio binadamu ila wamebarikiwa kuwa watu?
 
Mama yangu, mke wangu na ndugu zangu wengine wa kike ni binadamu labda wa kwenu ndo sio binadamu.
 
(i)UKINIPIGA unanionea,UKINIACHA unaniogopa,UKINISAIDIA unajipendekeza. (ii)Kama kuna foleni mbili zinaelekea sehemu moja na ukaona mstari uliopo wewe hauendi haraka,ukihamia mstari mwingine,ule mstari ulioukimbia huanza kwenda haraka kuliko ule uliohamia. (iii)Je wajua kwamba binadamu anaweza kufa haraka kwa kukosa usingizi kuliko kwa kukosa chakula? (iv)Na kwa taarifa yako,ndizi sio tunda bali ni natural herb katika mwili.

ngoja nikalale. Ukichukulia ngeleja kanizuru hapa maskani
 
MWANAUME HASHINDWI AKISHINDWA HUYO NI WAKIUME TU! By Ringo Edmund.
 
'Faru dume hatishwi na kelele za chui' na pia,'chezea mshahara sio kazi'.
 
pesa ndo kila kitu na pia pata pesa tujue tabia yako
 
Back
Top Bottom