WAZO LA KUPUNGUZA AJALI ZA OVERTAKING

WAZO LA KUPUNGUZA AJALI ZA OVERTAKING

Yes inawezekana na Germany wana huo mfumo ; pamoja na wazo lako zuri ; Nashauri kwa sasa FOCUS iwe ni Katiba mpya. Toa mawazo mapya namna ambayo Taifa lita pata katiba mpya na tuwe na Bunge na mahakama huru
+1
Katiba mpya mdio suluhisho ili policy makers wetu wawe wanajadili mambo relevant kwa mustakabali wa kukuza nchi yetu.
Leo madereva wa Uganda wametangaza mgomo kuanzia kesho ukifuatilia kwa makini ni yale yale yanayotokea baaada ya kuwa na katiba mbovu. Sheria zinatungwa kufurahisha watawala sio kuakisi uhalisia.
 
Akili za madereva wa mabasi unazijua lakini?

Watu hawatii sheria zilizo wazi ndiyo hiyo kengele?😀

Italia njia nzima mpaka iwe kero kwa abiria.😀
 
Ninashauri Kama kuna Mtanzania mwenye uwezo wa kutengeneza kifaa kinachounganisha magari bila intaneti, labda zitumie bluetooth au infrared kama mawasiliano ya moja kwa moja.

Dereva anapowasha indicator ili ku overtake, kifaa kitambue kama kuna gari linalokuja kutoka upande wa pili, kwa mfano ndani ya mita 200, na kutoa kengele: “HATARI! GARI LINAKUJA, USIOVERTAKE!”

Lengo ni kusaidia kuzuia ajali za kugongana uso kwa uso kabla hazijatokea.

Nimetoa wazo kutokana na miundo mbinu yetu ya barabara kusema kuboresha inaweza kuwa gharama sana nchi zima ila kama vifaa hivi vipo basi jambo jema vikafungwa kwenye magari yote kama havipo aliye na uwezo au mamlaka zinazohusika zipokee ushauri huu na kuboresha kwa ajili ya usalama wetu
Mtu anaona kabisa mbele kuna gari linakuja nae anakomaa kulifuata akiamini litampisha.
Tabia za kutokuwa makini barabarani ndio tatizo kubwa.
 
Atakapo washa indicator ya kulia kuwa ana overtake ila wataalamu wanaweza kufanya maboresho zaidi tukisema tusubiri ujenzi wa barabara za kutenganishwa safari ni ndefu bado
Safari ya kuwa na barabara za kutenganisha wala sio ndefu kama tunavyodhan ni kitu simple tu sema wataalamu wetu sio weledi
Ipo hivi dar hadi moro kulikuwa na njia ya zamani , baadhi ya vipande vya njia hiyo hadi sasa vinatumika mfano kukiwa na foleni watu wanatumia sana njia ya zamani kutoka Kibaha hadi mlandizi
Ni swala labmaamizi tu kuwa njiani zamani itumike kwa wanaokwenda moro na hii mpya itumike kwa wanaoingia i dar
 
Back
Top Bottom