Wazo la kijinga: Kuna dalili zote kwa serikali ya Magufuli kushindwa

"Tunalimia meno" Nimejitahidi hata kulima tunyanya na tikiti maji all I did is ZERO.
•KILIMO NDIO KIMBILIO LETU LAKINI ..../ TWENDE WAPI?/ WILIMPORA~GETEGETE./
 
Wewe ulipozaliwa ilikuchukua miezi mingapi utambae, utembee na kuzungumza. Maana ya mtu kuelimika ni kuwa na uwezo wa kuyaelewa na kuyachanganua mambo. Siku nyingine fanya utafiti kabla ya kupost kitu.
 
Back
Top Bottom