Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,157
- 10,828
Thanks a lot kama tupo pamoja....... I thought wameshakuchakachua :smiling:........ Aluta Continua........
Thanks bro for believing in me!
crapist
you must be an expert to know it!! LMAO
Thanks a lot kama tupo pamoja....... I thought wameshakuchakachua :smiling:........ Aluta Continua........
crapist
WEBEROYA NINAKUTAARIFU WANACCM HAPA TANGA WANATAFUTA MCHANGO DIWANI WAO WA CCM NI MGONJWA SAAANA WANATAFUTA MICHANGO KUTOKA KWA WAFADHILI, HIVYO NADHANI WEWE, MALARIA SUGU NA WALE WOTE WANAOFANYA KAZI YA KITUMWA WASILIANANI NA NDUGU MMOJA ANAITWA OMARI, EMAIL ommiy2003@yahoo,co.uk,
.WANAOONA MH. ZK anawakera wahame wampishe ili wasikereke? Kwanini wakereke na vyama viko vingi? je kwanini kama kuna mtu hawamtaki wasimpishe akabaki na chama chake wao wakatokomelea mbali. Kwani chama si kabila, hakuna atakaewalaumu hata mmoja. :angry:
Mara atoke, afukuzwe, hivi nani ana hisa kati yenu ndani ya CDM?:angry:
(bahati yenu kuna neno nimelibana)
Waberoya alichokonoa habari na mwisho alipata majibu ambayo wengi mlikuwa hamyajui. Kama unataka kulinganisha hekima yako ama kujishindanisha na Waberoya basi umepotea maboya ndugu. Hivi kwanini hamsomi wanachoandika ama kusema watu na kuelewa mantiki? Hivi ndio ninyi tuwategemee kuwa maprofesa na viongozi wa Tanzania ijayo??? Watu ambao hawawezi kupima mambo na kutumia fikra, watu ambao hawawezi kujua kama sisi tunataka nini wao hawataki nini na kuvumiliana? watu wanaokimbilia kuwapa watu majina fulani ili ukweli uogopwe kusemwa! kama ni ujinga basi Quinine na genge la wanaokuunga mkono mmeshavuka kiwango hicho na kutumbukia ule upande (ambao naogopa kuutaja)Ndugu ya VoR utachoka bure ku argue na Waberoya ni popo ndumilakuwili lengo lake ni kuchonganisha CDM na Zitto, leo atamsifia Zitto akigeuka anasema Zitto si wa kuaminiwa toka anasoma naye UDSM. Sisi tunaomuelewa tunamuona kama amechanganyikiwa tofauti na zamani fuatilia thread zake, siku hizi yuko kwenye group la washika vibendera kina Sokomoko na MS wa CUF-CCM na udini ndizo topic anazozifagilia.
Huyu Waberoya nilivyomsoma ni Zitto haters anajifanya sometimes kumtetea sometimes kumsagia lengo ili Zitto akose kotekote hii ni kutokana na grievances zao toka chuoni. Tunajua Zitto ana matatizo yake lakini usilete tofauti zenu kwenye mambo ya uongozi.
Hebu someni hapa eti Zitto ana mtambo wa kusaga kokoto yaani ni maneno yale ya umbea wa kike(samahani wa jinsia hiyo) ili kuleta mvurugano, Zitto mwenyewe alikanusha bahari hizi vikali anamuhusisha Zitto na uislam.
Ndio biashara inayouza gazeti kwa sasa!! habari nyingine hazilipi ndugu yangu :teeth:Hivi fikra zetu zinaishia kwa ZK tu?kila ukigeuka huku mada hiyo hiyo na wala hakuna kipya.
Hiyo nayo ni fani tena yawezekana una stashahada ya uzamivu kwayo!Stupidity
Ukijitazama kwenye kioo huwezi ona sura ya mtu mwingine! Utajiona!! lakini kama umemudu kuona sura ya mtu mwingine kwenye kioo badala ya sura yako! hapo nadhani wanaJF wanaweza kuhukumu viwango vya upeo baina yangu na yako!!hahaha!!!
mwenye nyumba ahame kumpisha mpangaji?
ndiyo maana tunasema mumejaa fikra za kiburi, na majivuno.
we don't need creeps in CDM.
nina wasiwasi na IQ yako uncle