mchukiaufisadi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 546
- 193
Huyo Irene alikuwa meneja wa Investment PPF hawezi kufanya lolote baya kwa PPF maana anamwona Erio kama bosi wake bado. Rais alikosea sana sana. Alimwacha ambaye naamini angefaa lakini Erio alipita kila kona kufitini asipewe.
let's wait and see kama kuna lolote zaidi kutumia kodi zetu kulipa mishahara yao tu
let's wait and see kama kuna lolote zaidi kutumia kodi zetu kulipa mishahara yao tu
Rais JK alichangua board ya kusimamia social security funds. Ninakumbuka mkurugenzi wake anaitwa Irene. Mojawapo ya majukumu ya kuanzisha hiyo board ni ku harmonize mafao yanayotelewa na mifuko hiyo PSPF, PPF, NSSF, LAPF etc. Kulikuwa na madai kwamba PPF ndiyo mfuko unaopunja mafao kuliko mifuko yote. Therefore ikatakiwa iwepo formula moja itakayotumiwa na mifuko hiyo.
Lakini tangia huyu mama achanguliwe hakuna jambo lolote alilofanya. Alipewa miezi mitatu akalimishe hilo zoezi lakini hadi hii leo bado. Kila siku anaoneakana kwenye makongomano tu. Nina wasiwasi huendwa ameshahongwa na PPF maana wanapinga huo mpango wa kuwa na common formula, ili waendelee kufisadi michango yetu wafanyakazi.
UDASA ninafikiri inabidi wazidishe mapambano maana serikali ya Kikwete haina nia ya dhati ya mafao ya wafanyakazui, hasa ukizingatia wakurungezi wa mifuko hiyo ni wajomba zao akina William (SIC!)