Wazito PPF wachota ‘vijisenti’

Status
Not open for further replies.
Uuuuuwiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!tumekwisha jamani!!!!!!!!!!!!!!!
 
I hate this country at least now

Owh Please... don't.... this is our beloved country!!! You should hate those god damned thieves!!! My self I feel like strangling them to death with my bare hands!!!
 
Mmh Jamani!!! Yaani hapa nilipo nahisi kama naanza kupata matatizo ya shinikizo..... I pray to our God so that this continues to be a rumour. It's too bad to be true...
 
Zitto ulikuwa m'kiti wa kamati ya Bunge ya mashirika ya umma, je hukuwahi kukutana na swala hili?
Kama ulilisikia ulichukua hatua gani?

Sidhani kama hii ni mara ya kwanza kwa hawa wanaboard wa PPF kujigawia hela nyingi kiasi hiki. Huko nyuma walishapeana pesa kama hii na nothing was done.
Tunataka wabunge wetu walisemee hili jambo bunge lijalo .... huu ni ufisadi ... ili hawa watu wanaotumia pesa za Watz hovyo wachukuliwe hatua.
 
hapo hatujaanza kuongelea ufisadi unaofanywa na ma contrakta wanaojenga campus iliyochini ya ppf kule dodoma

kama ni nchi kuibiwa na wakurugenzi wa ppf basi ndio hapa. Usalama wa taifa na takukuru wako wapi?

Mkurugenzi mkuu aliteua mkandalasi bila utaratibu akawa anamlazimisha mkurugenzi wa uwekezaji apitishe akakataa wakagombana. Akamzushia kuwa mbishi, akamnyima mkataba mpya. Sasa amemuajiri ndugu yake kutoka kwao ambaye anauhusiano wa karibu kabisa. Kama kuna wa jf wa usalama wa taifa wachunguze. Wana jichotea kama njugu hasa za ujenzi wa chuo kikuu dodoma.
 
hello!
Mimi hata sioni kama ni hela nyingi hivyo, they deserve if and only if, kuwepo kwao kwenye bodi kumesaidia PPF kuzalisha 100 times ya hizo walizopewa... incentive ni common kwenye banks/ financial institute nyingi ulimwenguni, ila cha msingi kuangalia ni kama wamezalisha hizo hela, sijui kwa undani ila kwa mtazo wa haraka wa invetsment zao hapo nchini ni nyingi. Ni vizuri wakalipana hivyo kuliko hizo zinazoliwa kwenye deal za rada, ndege za rais, richmond etc, ni bora mtu akiserve kwenye bodi ajue wazi kwamba kama hatakuwa fisadi end of the day ana handsome pay yake kubwa tu ya kutosha, this is better than ufisadi.
kwa kuongezea tu nafasi za bodi zingewekwa wazi kwa watu wote kugombea kwa sifa zao na pengine kamati ya bunge ipitishe majina ya wale walio-qualify
 
hello!<br />
Mimi hata sioni kama ni hela nyingi hivyo, they deserve if and only if, kuwepo kwao kwenye bodi kumesaidia PPF kuzalisha 100 times ya hizo walizopewa... incentive ni common kwenye banks/ financial institute nyingi ulimwenguni, ila cha msingi kuangalia ni kama wamezalisha hizo hela, sijui kwa undani ila kwa mtazo wa haraka wa invetsment zao hapo nchini ni nyingi. Ni vizuri wakalipana hivyo kuliko hizo zinazoliwa kwenye deal za rada, ndege za rais, richmond etc, ni bora mtu akiserve kwenye bodi ajue wazi kwamba kama hatakuwa fisadi end of the day ana handsome pay yake kubwa tu ya kutosha, this is better than ufisadi.<br />
kwa kuongezea tu nafasi za bodi zingewekwa wazi kwa watu wote kugombea kwa sifa zao na pengine kamati ya bunge ipitishe majina ya wale walio-qualify
<br />
<br />
unaweza kuwa sahihi,lakini waliolipwa hivyo ni board ingeleta maana kama management team imelipwa bonus kama hiyo.otherwise huo ni ufisadi of the highest order!
 
PPF ndio mfuko ambao haumnufaishi mfanyakazi - awe mkubwa au mdogo.

Licha ya kutangaza faida ya mabilioni na uwekezaji wa matrilioni, bado mafao yao ni madogo, hayana riba, yanatumia formula inayomlalia mchangiaji, ukiachishwa kazi inabidi usubiri hadi uzeeke ndio waanze kukulipa (hebu fikiria umepata redundancy ukiwa na miaka 36 usubiri hadi ufike 55!!). Formula wanayotumia kwa wafanyakazi wao ni tofauti na ile ya members - why?

Uliza maprofesa wanapostaafu. Wanaambulia milioni 7 mpaka 10. Wanachama wa PSPF (wafanyakazi wa serikalini - kwenye level kama hiyo) wanatoka na milioni30 mpaka 50.

WanaJF hivi hamna mtaalamu anayeweza kututengenezea formula za hii mifuko ili tuingize data zetu kirahisi? Formula inayofanana na ile ya PAYE ambayo ukiingiza kasalary kako unatambua makato yako ya kodi kirahisi.....mimi binafsi mahesabu hayapandi....mimi mtu hadithi ndefu (ungwini).............with a light touch.............
 
Directors fees ni malipo halali kwa mkurugenzi yeyote. Hata NMB, CRDB wote wanalipwa. Tofauti mashirika ya umma kipindi cha kuhudumu ukurugenzi hulipwa posho za vikao tuu na malipo ya "gratuity" ambayo ni kama malimbikizo ya directors fees hulipwa wanapomaliza muda wake.

Naomba mnisahihishe kwa upole na upendo kama nimekosea.
 
hello!
Mimi hata sioni kama ni hela nyingi hivyo, they deserve if and only if, kuwepo kwao kwenye bodi kumesaidia PPF kuzalisha 100 times ya hizo walizopewa... incentive ni common kwenye banks/ financial institute nyingi ulimwenguni, ila cha msingi kuangalia ni kama wamezalisha hizo hela, sijui kwa undani ila kwa mtazo wa haraka wa invetsment zao hapo nchini ni nyingi. Ni vizuri wakalipana hivyo kuliko hizo zinazoliwa kwenye deal za rada, ndege za rais, richmond etc, ni bora mtu akiserve kwenye bodi ajue wazi kwamba kama hatakuwa fisadi end of the day ana handsome pay yake kubwa tu ya kutosha, this is better than ufisadi.
kwa kuongezea tu nafasi za bodi zingewekwa wazi kwa watu wote kugombea kwa sifa zao na pengine kamati ya bunge ipitishe majina ya wale walio-qualify

Your name says it all
 
Mwaka 2008 kulikuwa na mjadala ulikufa bila kujadiliwa kwa kina kuhusu wakurugenzi wa mfuko wa pension wa PPF waliojichotea takribani shilingi milioni 200 kila mmoja. Hali halisi ni hii hapa

1. HAO WALIOORODHESHWA MWAKA 2008 kwenye JF SIO WALIOJIGAWIA MILIONI 200. BALI NI WAKURUGENZI WA NDANI SIO BOARD MEMBERS ambao ni.Director of Finance, Chief Internal Auditor, Director of Computors, Director of Commercial Services, Director of Investiments, na Director of Pensions.
2. Mhasibu mkuu aliwagomea kulipa kwa kuwaambia sio haki yao kwa kuwa wao ni wa mkataba wanalipwa gratuity 25% ya mishahara yao kwa muda wote wa mkataba, wakamsimamisha kazi kwa vitisho vya kutaka kufukuza na kumhamisha idara. Toka June 2008 hadi March 2010 amehamishwa mara nne. Hivi sasa wamemtupa Mbeya asione madudu yao
3. Mafao waliyojilipa haikuwa stahili yao, kwani mafao hayo yapo kwa wafanyakazi wa kudumu tu pale wanapofikia umri wa kustaafu (55 years) na wawe wanaondoka kabisa PPF sio kama walivyofanya wao ambapo bado wanaendelea na kazi na karibu wote wana umri chini ya miaka 50.

4. Mwezi wa tatu 2011 wanamaliza mkataba mwingine watavuta kila mmoja karibu milioni 100 kama serikari ikiwaachia waibe tena.
5. Audit commettee ya bodi ya PPF walijua kuwa ni wizi, wakapelekwa Johanesberg kunyamazishwa.
6. Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikari alipigwa dongo la macho kusaini mahesabu ya 2008. Wakaguzi kutoka TAC walijaribu kuijia juu menejimenti ya PPF, lakini wakapewa vijisenti wakanyamaza kimya. Draft report yao tunayo ilionyesha wizi huo lakini ripoti ya mwisho haikuwekwa.
7. Mishahara kupanda kila mwaka kwa asilimia 25%.
Baada ya kuiweka bodi ya wadhamini mifukoni mwao, wamekuwa wakijiamulia mambo wenyewe. Wakurugenzi wana mishahara mikubwa, wakati walalahoi ndani ya mfuko huo huo wanasota. Kila mwaka wao hujiongezea kati shs. Milioni moja na nusu na mbili na nusu wakati wafanyakazi wadogo kuanzia mameneja kushuka wanaongezewa kati shilingi elfu kumi na elfu tisini tu. Usawa uko wapi? Waziri wa fedha anajua hili?
8. Hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu aliitisha mkutano wa wafanyakazi akaruhusu maswali. Mfanyakazi mmoja alihoji kwa nini wakurugenzi wajiongezee mamilioni yote hayo wakati walalahoi wanapewa kiduchu? Aliulizia pia uizi walioufanya March 2008 wa kugawana shs.200m ambao wataurudia March 2011, kwa nini wapewe wakurugugenzi wasiostahili kabla ya umri wa kustaafu wa miaka 55? Masikini mzee wa watu, katibua hivi ninapoandika amesimamishwa kazi kwa kuhoji ufisadi wa wakurugenzi wa PPF.
9. NAOMBA PCCB, USALAMA WA TAIFA, SERIKARI-WIZARA YA FEDHA, UTUMISHI, WANAWAKE NA JINSIA WAINGIE PPF NA KUCHUNGUZA. WASIMWOGOPE DG KWA SABABU NI MTOTO WA MZEE MKAPA.

MALIPO HAYA NI NJE YA GRATUITY 25% TSHS 48M, NA PENSION 20% ZAIDI MILIONI 70
NAOMBA KUTOA HOJA

PPF ni moja ya mifuko ya mafao ya uzeeni ambayo imelalamikiwa sana juu ya malipo duni kwa wanachama wao ikilinganishwa na mifuko mingine.

Habari tuliyonyaka inaonyesha kwamba wajumbe wa Bodi iliyomaliza muda wake kipindi kilichopita ilipitisha na kujilipa milioni 200 kwa kila mjumbe. Hiyo ikiwa eti ni shukrani kwa kazi nzuri waliyofanya.

Nimepiga mahesabu yangu kwa idadi ya wajumbe wa bodi ambao walikuwepo, ambao ni wanane mbali na staff wengine wa pembeni:
1. Gray Mgonja
2. Prof Bertha Koda
3. Monica Mbega
4. Elvis Musiba
5. Ramadhan Khijah
6. Dr Kassim Kapalata
7. William Erio
8. Samwel Lwakatare

inaonyesha zaidi ya bilioni iliondoka.

Je, hii ni halali? Wanacahama wa PPF wengine huishia milioni 20 baada ya kuchangia hata kwa miaka 25. hawa wajumbe wanajilipa milioni 200 kila mtu kwa kukaa ktk vikao vya bodi kipindi kisichofikia hata miaka 5!! Na tena nasikia hao hao tena wamependekezwa kurudi ndani ya Bodi.

Heb
 
Mwaka 2008 kulikuwa na mjadala ulikufa bila kujadiliwa kwa kina kuhusu wakurugenzi wa mfuko wa pension wa PPF waliojichotea takribani shilingi milioni 200 kila mmoja. Hali halisi ni hii hapa

1. HAO WALIOORODHESHWA MWAKA 2008 kwenye JF SIO WALIOJIGAWIA MILIONI 200. BALI NI WAKURUGENZI WA NDANI SIO BOARD MEMBERS ambao ni.Director of Finance, Chief Internal Auditor, Director of Computors, Director of Commercial Services, Director of Investiments, na Director of Pensions.
2. Mhasibu mkuu aliwagomea kulipa kwa kuwaambia sio haki yao kwa kuwa wao ni wa mkataba wanalipwa gratuity 25% ya mishahara yao kwa muda wote wa mkataba, wakamsimamisha kazi kwa vitisho vya kutaka kufukuza na kumhamisha idara. Toka June 2008 hadi March 2010 amehamishwa mara nne. Hivi sasa wamemtupa Mbeya asione madudu yao
3. Mafao waliyojilipa haikuwa stahili yao, kwani mafao hayo yapo kwa wafanyakazi wa kudumu tu pale wanapofikia umri wa kustaafu (55 years) na wawe wanaondoka kabisa PPF sio kama walivyofanya wao ambapo bado wanaendelea na kazi na karibu wote wana umri chini ya miaka 50.

4. Mwezi wa tatu 2011 wanamaliza mkataba mwingine watavuta kila mmoja karibu milioni 100 kama serikari ikiwaachia waibe tena.
5. Audit commettee ya bodi ya PPF walijua kuwa ni wizi, wakapelekwa Johanesberg kunyamazishwa.
6. Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikari alipigwa dongo la macho kusaini mahesabu ya 2008. Wakaguzi kutoka TAC walijaribu kuijia juu menejimenti ya PPF, lakini wakapewa vijisenti wakanyamaza kimya. Draft report yao tunayo ilionyesha wizi huo lakini ripoti ya mwisho haikuwekwa.
7. Mishahara kupanda kila mwaka kwa asilimia 25%.
Baada ya kuiweka bodi ya wadhamini mifukoni mwao, wamekuwa wakijiamulia mambo wenyewe. Wakurugenzi wana mishahara mikubwa, wakati walalahoi ndani ya mfuko huo huo wanasota. Kila mwaka wao hujiongezea kati shs. Milioni moja na nusu na mbili na nusu wakati wafanyakazi wadogo kuanzia mameneja kushuka wanaongezewa kati shilingi elfu kumi na elfu tisini tu. Usawa uko wapi? Waziri wa fedha anajua hili?
8. Hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu aliitisha mkutano wa wafanyakazi akaruhusu maswali. Mfanyakazi mmoja alihoji kwa nini wakurugenzi wajiongezee mamilioni yote hayo wakati walalahoi wanapewa kiduchu? Aliulizia pia uizi walioufanya March 2008 wa kugawana shs.200m ambao wataurudia March 2011, kwa nini wapewe wakurugugenzi wasiostahili kabla ya umri wa kustaafu wa miaka 55? Masikini mzee wa watu, katibua hivi ninapoandika amesimamishwa kazi kwa kuhoji ufisadi wa wakurugenzi wa PPF.
9. NAOMBA PCCB, USALAMA WA TAIFA, SERIKARI-WIZARA YA FEDHA, UTUMISHI, WANAWAKE NA JINSIA WAINGIE PPF NA KUCHUNGUZA. WASIMWOGOPE DG KWA SABABU NI MTOTO WA MZEE MKAPA.

MALIPO HAYA NI NJE YA GRATUITY 25% TSHS 48M, NA PENSION 20% ZAIDI MILIONI 70
NAOMBA KUTOA HOJA
NAOMBA KUTOA HOJA
 
Mwaka 2008 kulikuwa na mjadala ulikufa bila kujadiliwa kwa kina kuhusu wakurugenzi wa mfuko wa pension wa PPF waliojichotea takribani shilingi milioni 200 kila mmoja. Hali halisi ni hii hapa

1. HAO WALIOORODHESHWA MWAKA 2008 kwenye JF SIO WALIOJIGAWIA MILIONI 200. BALI NI WAKURUGENZI WA NDANI SIO BOARD MEMBERS ambao ni.Director of Finance, Chief Internal Auditor, Director of Computors, Director of Commercial Services, Director of Investiments, na Director of Pensions.
2. Mhasibu mkuu aliwagomea kulipa kwa kuwaambia sio haki yao kwa kuwa wao ni wa mkataba wanalipwa gratuity 25% ya mishahara yao kwa muda wote wa mkataba, wakamsimamisha kazi kwa vitisho vya kutaka kufukuza na kumhamisha idara. Toka June 2008 hadi March 2010 amehamishwa mara nne. Hivi sasa wamemtupa Mbeya asione madudu yao
3. Mafao waliyojilipa haikuwa stahili yao, kwani mafao hayo yapo kwa wafanyakazi wa kudumu tu pale wanapofikia umri wa kustaafu (55 years) na wawe wanaondoka kabisa PPF sio kama walivyofanya wao ambapo bado wanaendelea na kazi na karibu wote wana umri chini ya miaka 50.

4. Mwezi wa tatu 2011 wanamaliza mkataba mwingine watavuta kila mmoja karibu milioni 100 kama serikari ikiwaachia waibe tena.
5. Audit commettee ya bodi ya PPF walijua kuwa ni wizi, wakapelekwa Johanesberg kunyamazishwa.
6. Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikari alipigwa dongo la macho kusaini mahesabu ya 2008. Wakaguzi kutoka TAC walijaribu kuijia juu menejimenti ya PPF, lakini wakapewa vijisenti wakanyamaza kimya. Draft report yao tunayo ilionyesha wizi huo lakini ripoti ya mwisho haikuwekwa.
7. Mishahara kupanda kila mwaka kwa asilimia 25%.
Baada ya kuiweka bodi ya wadhamini mifukoni mwao, wamekuwa wakijiamulia mambo wenyewe. Wakurugenzi wana mishahara mikubwa, wakati walalahoi ndani ya mfuko huo huo wanasota. Kila mwaka wao hujiongezea kati shs. Milioni moja na nusu na mbili na nusu wakati wafanyakazi wadogo kuanzia mameneja kushuka wanaongezewa kati shilingi elfu kumi na elfu tisini tu. Usawa uko wapi? Waziri wa fedha anajua hili?
8. Hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu aliitisha mkutano wa wafanyakazi akaruhusu maswali. Mfanyakazi mmoja alihoji kwa nini wakurugenzi wajiongezee mamilioni yote hayo wakati walalahoi wanapewa kiduchu? Aliulizia pia uizi walioufanya March 2008 wa kugawana shs.200m ambao wataurudia March 2011, kwa nini wapewe wakurugugenzi wasiostahili kabla ya umri wa kustaafu wa miaka 55? Masikini mzee wa watu, katibua hivi ninapoandika amesimamishwa kazi kwa kuhoji ufisadi wa wakurugenzi wa PPF.
9. NAOMBA PCCB, USALAMA WA TAIFA, SERIKARI-WIZARA YA FEDHA, UTUMISHI, WANAWAKE NA JINSIA WAINGIE PPF NA KUCHUNGUZA. WASIMWOGOPE DG KWA SABABU NI MTOTO WA MZEE MKAPA.

MALIPO HAYA NI NJE YA GRATUITY 25% TSHS 48M, NA PENSION 20% ZAIDI MILIONI 70
NAOMBA KUTOA HOJA
NAOMBA KUTOA HOJA
Mkuu inasikitisha sana... ila ujue mimi na wewe ndio usalama wataifa... ukipeleka hii sehemu husika "labda utasikilizwa" ... ukiona husikilizwi basi ujue ndio utendaji wa serikali yetu tuliyoipa dhamana

Just how much is too much jamani?
 
Ndugu yangu acid,

inasemekana aliyekuwa mhasibu mkuu wa ppf, huyo waliyemtoa na kuhamishia mbeya alimwambia mwenyekiti wa bodi bwana mgoja, na mwenyekiti wa ppf audit commettee monica mbega kwa siri, lakini monika mbega akawaambia management na kuanza kumsurubu.

Pia inasemekana alimwambia mkaguzi mkuu wa serikari (cag) bwana utouh, naye akamtaja kwa menejiment ya ppf na kuchochea kusurubiwa kwake. Ikapelekea kusimamishwa na baadaye kuondolewa katika idara ya uhasibu. Si cag, mwenyekiti wa bodi bwana kijjah waliomsaidia. Tena kija (sasa katibu mkuu hazina) ndiye aliyemchongelea kwa menejimenti wakiwa south africa.

Tunaogopa hata kuwaeleza wakubwa kwani hutugeuka.

Pccb, usalama wa taifa, na serikari wachunguze ppf. Hata suara la ajira za ngono lipo sana ppf
 
erio2.jpg

Labda tungejiuliza huyu WILLIAM URIO yuko Karibu na kiongozi gani serikalini mpaka akapewa hiyo kazi na hizi tuhuma za ufisadi zinazoendelea huko PPF kwa nini hazijibiwi wala kufanyiwa kazi?

halafu hebu itazameni Management ya PPF hapa:

:: PPF Pensions Fund ::-
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom