Kiresua
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 1,184
- 259
hello!
Mimi hata sioni kama ni hela nyingi hivyo, they deserve if and only if, kuwepo kwao kwenye bodi kumesaidia PPF kuzalisha 100 times ya hizo walizopewa... incentive ni common kwenye banks/ financial institute nyingi ulimwenguni, ila cha msingi kuangalia ni kama wamezalisha hizo hela, sijui kwa undani ila kwa mtazo wa haraka wa invetsment zao hapo nchini ni nyingi. Ni vizuri wakalipana hivyo kuliko hizo zinazoliwa kwenye deal za rada, ndege za rais, richmond etc, ni bora mtu akiserve kwenye bodi ajue wazi kwamba kama hatakuwa fisadi end of the day ana handsome pay yake kubwa tu ya kutosha, this is better than ufisadi.
kwa kuongezea tu nafasi za bodi zingewekwa wazi kwa watu wote kugombea kwa sifa zao na pengine kamati ya bunge ipitishe majina ya wale walio-qualify
Nyondo, kweli kaka, mil 2oo? Jamani huoni uchungu mtumish anataabika fo 35 yrs anaambulia mil 3o, try to be human. Sikatai kupewa kiasi atractive kama kazi yao ilikuwa nzuri, lakini 2oo kaka, kweli? Wawe reasonable, kwa wanachama wao kwa kufurahiya na wao keki yao.