TANZIA Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Huyu mzee amekula bata za nchi hii kwa muda mrefu sana. Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake.
 
MMMMMMH HAYA MANABII UCHWARA MBONA YAANZA KUNITISHA, LILE NABII TAPELI JUZI HAPA LILISEMA MWAKA HUU WATADONDOKA VIONGOZI WA JUU SIIJUI WA NINI, NIMESAHAU, ANYWAY TUPENDANE NDUGU ZANGU DUNIA TUNAYO IPIGANIA KWA NGUVU SI KITU,WALE TUNAO ONA HAWASTAILI KUISHI NA SISI PIA TUSIJISAHAU, UKIPIGA MTU MNAKUWA WENGI ILA SIKI YAKO IKIFIKA UTAKUWA MWENYEWE KABULINI NDUGU ZANGU TUKUMBUKE HILO TUNAPO UMIZA WENZETU, KWETU KABULINI HUKO TUTAKAA SANA INSHAALLAH MWENYEZI MUNGU ATU SAMEHE MAKOSA YETU, AMINπŸ™πŸ™πŸ™
 
Sikuwahi kuona thamani ya Lukuvi katika siasa na maendeleo ya Tanzania

Kwa uzoefu wake Bungeni na Serikalini amekufa akiwa CHAWA na siyo STATESMAN
 
Una akili sana wewe, umeconnect dots vizuri, nawaona wale wote waliokua na mawasiliano na HP wanapata kitu na box. Na huko HP alikofichwa anawataja wote. rip
Unajua ukijiuliza hata uadui wa Nchimbi na mazeri hupati sababu ila ukiconnect dots unagundua kuwa huenda Nchimbi wakati akiwa balozi automatically walikuwa na mawasaliano na mabolozi wenzake akiwemo HP sasa naamini kulikuwa na mambo mazito wanayapanga kwa pamoja so baada ya kukamatwa HP huenda Kuna mambo mengi sana yamegunduliwa na watakufa sana mbaya zaidi hawa watu ni kama hawana hata tahadhari maana vipigo kwa upande wao ni vingi mno.
Tutegemee time Magu au wenye angalau ka element kauzalendo watapukutishwa vibaya mpaka kufikia 2030. Km wana uwezo wanatakiwa wasichelewe sana kupoteza wakati waamue liwalo na liwe maana kama bado HP wanaye wataendelea kuyajua mengi mno.
 
Hiki kifo kimenipa utata sana hasa niliposikia na ile hotuba waziri wa sanaa kuna maswali mengi ya kujiuliza

πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 

Sijatimba kipindi kirefu sana Palm Village ,next month nina Appointment na Millard Ayo nitacheck kama bado lipo.

Noma sana Anaconda kwasasa zipo za kukinga yaani gari zikishaanza kushobokewa price inapungua ipo siku zitafika hadi 20m ni swala la muda tu ,si umeona Range Sports ilikuwa 200m ila sasa Lukosi anauza 30m.

Hawa viongozi kwa nje wanakuwa wakimya ila wana mambo mengi sana ya hovyo ,wewe si uliona Mkuu wa mkoa kanda ya ziwa alikuwa anamla NDOGO binti tu mdogo 18 -20 ,wengi wameungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…