..hilo la uhamasishaji ilikuwa moja ya sifa yake nzuri.......
..huyu bwana hakuwa fisadi lakini kwa zupu bwana we...,!..alikuwa akienda mikoani hafikii hotelini bali anaandaliwa malazi na ma head mistress...wa shule husika...,sasa nasikia kuna siku alienda singida headmostress alikuwa thabita siwale....akamwandalia kila kitu alafu akamletea na binti ..du mzee kuangalia binti akakuta ni binti yake]
- Viongozi wengi au karibu wote wa enzi zile walikuwa waadilifu sana, sawa walikuwa na matatizo madogo madogo ya kinamama, lakini in ther big picture walikuwa imara sana kuliko wa sasa, hawakuwa mafisadi, huyu naye naamini kuwa alikuwa kiongozi safi.
Mchukia Ufisadi,
Hawa wazee nao walikuwa na ufisadi wao, kwa mfano Mgonja ilikuwa kazi yake kuchukua wasichana kwenye hizo shule za secondary. Alikuwa hana tofauti na yule Mkisi wa JKT.
Miaka hiyo watu walikuwa na uzalendo wa kulitumikia taifa ukiachia matatizo yao madogo madogo.
....Waungwana tujaribu kumstahi Mzee kidogo kwenye kipindi hichi kigumu cha Maombolezo,mambo mengine si wakati wake huu.....Kumuangalia Mgonja nje ya ofisi ya Uwaziri/Ubunge wake ni kutomtendea haki,Viongozi wengi ugonjwa wa Totos ni kama sifa ya kazi....tukianza kuwaangalia kwa upande huo hakuna atakayepona!!!
Mwawado ndugu,
Unatuasa huu si wakati wa kujadili mambo ambayo sio ya kumstahi marehemu lakini na wewe unaanza kutupa ka mhadhara kuteteatetea tabia ya "totos," eti ni nje ya ofisi, na kwamba ni wengi wanayafanya.
Sasa ndugu, labda ungechagua aidha kusimamia huu utamaduni wa kubakiza staha katika kipindi hiki kigumu au uwe tayari kwa yatakayojiri baada ya wewe kufungulia malango ya mdahalo wa uhalali na uharamu wa ukahaba na ufuska wa Wazee wa jamii, mawaziri au wananchi, wa hai na wafu.
Marehemu Chadiel Mgonja shukurani kwa mchango wako wa toka siku za uchanga wa Taifa letu.
Marehemu Mgonja na Marehemu Eliufoo ndio waliopanua ELIMU mkoani Kilimanjaro kiasi kwamba tuna wasomi wengi kutoka mkoa huo pekee. Kama huo ulikuwa ni ukabila labda "tuwalaumu" kwa hilo. Poleni wafiwa.
Philemon Mikael umesema maneno ya kweli tena ya uhakika sana,Kipindi mgonja alikuwa waziri na Mkuu wa Mkoa wa Tabora mie nilikuwa mwanafunzi katika ile shule ya ma-Boyz (TS) Nilimshuhudia mheshimiwa huyo akienda visiting shule ya Wasichana (TG)siyo kama mzazi au ndugu wa mwanafunzi bali kama mshikaji wa mwanafunzi.Tuliyajua yote hayo kwani wale walikuwa mademu zetu,Sasa mzee anapokuja na 110 yenye bendera nyie wavaa magwanda mnakuwa hamna nafasi ya visiting kwa siku hiyo.Si hayo tu Marehemu aliwahi kuteuliwa kushika nafasi ya u-RC.Mwalimu alipogutuka akmwita haraka na kutengua uteuzi ule.Nina uhakika kwamba enzi zile Azimio la Arusha lilishika hatamu,Lakini ufisadi wa ngono ulikuwepo sana,Kwani halikuwa sharti mojawapo katika yale yaliyowabana Viongozi.
Zaidi ya hayo Marehemu Chediel Mgonja hakuna jambo aliloweza kusaidia hata kijijini kwao.Ndo maana hana kumbukumbu yoyote zaidi ya kuendekeza ngono katika jamii.
Ahera ni kwa wote lakini nako kuna peponi na motoni si kazi yetu kumpangia mwenyezi Mungu kwmba huyu na huyu aende wapi.Bali kila mmoja kwa matendo yake atapata kile anachositahili mbele ya haki.
Je viongozi wa sasa si zaidi yake Marehemu Mgonja aloyafanya?
Mwawado ndugu,
Unatuasa huu si wakati wa kujadili mambo ambayo sio ya kumstahi marehemu lakini na wewe unaanza kutupa ka mhadhara kuteteatetea tabia ya "totos," eti ni nje ya ofisi, na kwamba ni wengi wanayafanya.
Sasa ndugu, labda ungechagua aidha kusimamia huu utamaduni wa kubakiza staha katika kipindi hiki kigumu au uwe tayari kwa yatakayojiri baada ya wewe kufungulia malango ya mdahalo wa uhalali na uharamu wa ukahaba na ufuska wa Wazee wa jamii, mawaziri au wananchi, wa hai na wafu.
Marehemu Chadiel Mgonja shukurani kwa mchango wako wa toka siku za uchanga wa Taifa letu.