Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?