Waziri wa Nishati na Madini

Apollos

New Member
May 4, 2012
2
2
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?
 
Mtu anachaguliwa ubunge mchana kua mbunge jioni anateuliwa kua waziri tena kwenye wizara nyeti duhu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtu anachaguliwa ubunge mchana kua mbunge jioni anateuliwa kua waziri tena kwenye wizara nyeti duhu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ameteua washkaji kutoka bagamoyo. Nawausia watanzania kutojitia makosani tena, hapana kuchagua mkwerre kuongoza nchi hii.
 
Hivi kama wataalamu wazuri tunawafunga katika hizi siasa uchwara kwa kuwapa uwaziri na wakawa watu wa kusema ndiyo mzee nani watakuwa consultants?
 
Prof. Muhongo ni katika baadhi ya watanzania wachache ambao wanaCV kubwa sana kimataifa na ni mtu wa msimamo sana. Ukichukulia kuwa ni mwanazuoni aliye bobea katika fani ya Geolojia kwa kweli nimempa big up Mkuu wa Kaya kuona kuwa awe ktk timu ya wasaidizi wake. My caution ni kwamba system imeharibika sina hakika kama mkuu wa kaya ana nia nzuri ya kumtumia vizuri huyu mtu asije akachafuka kama ambavyo tumeshuhudia walivyochafuka wengine tuliowategemea kubadilisha hii system.

Hongera Prof. Muhongo tunaomba utusafishie uozo Wizara ya Nishati na Madini
 
Guy from Mara kizazi cha Mwalimu Nyerere,mwana CCM safi ila pia anaishi south africa sjui kama karudi hm tyr
 
Prof. Muhongo ni dume, he is always straight foward.
Ila kwenye ulaji kama ule sishangai nikisikia amepakatwa vema na wapakataji.
hata nundu ilikua straigh na kidume........ look at what happened to him, he is not a thief or corrupt, be he failed the accoutability exam

hata Muhongo asipoangalia ataingizwa chaka.... Nundu ni pure victim, ingawa mimi naona sawa kutoswa kwani usafi ni pamoja na kuwa accountable
 
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?

Ninamhurumia sana huyu Pr. Mulongo! Anakazi kubwa sana ya ku transform hali ya Wizara hii nyeti yeye pamoja na wasaidizi wake, unless atafuata njia ya akina Msabaha, Karamagi na sharobaro (Mr. Meggawat) W. Ngeleja.
 
Wasaidizi wake wajiandae na mwendo wa speed 180, precision, zero tolerance to corruption you name it. Kama walivyosema wengine hawa ni wafuasi wa Nyerere lakini yeye ni modernized na mwamini kwenye matumizi ya sayansi & teknolojia.

Najua ni mtu mwenye hasira za Kikurya hivi endapo ataonekana kutatizwa au kuzuiwa asifanye kazi zake vyema.
 
RUSHWA hupumbaza wenye hekima
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?
 
Wadau mnauongeleaje uteuzi wa mwanazuoni Profesa Sospeter Mulongo wa Chuo Kikuu cha Dar ea Salaam. Ni man of honour, mwanataaluma, mtaalamu na amebobea katika fani ya jiolojia ukiachilia mbali wasifu wake mrefu na uzoefu katika uongozi wa idara za kimataifa. Je ataonesha uzalendo na kuchapa kazi huku akiwa miongoni mwa watu wasio waadilifu? Itakuaje kama akipoa na kujichafulia jina alilolitengeneza kwa heshma kubwa duniani?[/QUOTMimi naamini kwamba serikali yeyote inayoongozwa na CCM haina nia ya kweli ya kuwatumikia wananchi.Hii imethihirishwa na lugha aliyokuwa anatumia Kikwete katika kutangaza baraza lake la mawaziri.Maneno kama fitina,uchongezi,maonezi, yalisikika katika hotuba yake.Hii ina maana gani,kwamba mawaziri husika hawakuwa na matatizo ila walichongewa chongewa tu.Kwakweli ilionyesha wazi kwamba hakuridhia mabadiliko hayo,isipokuwa aliyafanya out of pressure ya wananchi na wabunge.As we go along haya yatadhihirika wazi.Frankly sikuona nia ya ndani ya kurekebisha mambo katika mabadiliko aliyoyafanya.Ilikuwa nafasi nzuri ya kuwatoa watu kama Matayo na Wasira na wengine wabovu lakini hakufanya hivyo.Sijui mtu huyu anamtumikia nani.Kama kweli Mulongo ni mtu makini asingekubali kuingia kuingia katika serikali ya Kikwete ambayo it's so tainted and lacks credibility.To me he is just an opportunist.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom