Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Makamba wizara moja imekushinda, sasa unataka uraisi. Utawezaje mudu wizara zote?Waziri wa Nishati Mheshimiwa January Makamba amefanya kikao na mabalozi wa nchi za Norway, Sweden na Saudi Arabia nchini Tanzania. Katika kikao hicho amezishukuru nchi hizo kwa mchango mkubwa wanaoipatia Tanzania katika kuendeleza sekta ya nishati.
Waziri Makamba amesema nchi hizo zimeendelea kutoa ushirikiano kwa Tanzania kwa kufadhili miradi mbalimbali katika sekta na kuongeza kuwa Serikali itaendelea kunufaika na fursa mbalimbali zinazotelewa na nchi hizo kwakuwa zipo tayari wakati wowote kufanya kazi na Tanzania.
View attachment 2015132View attachment 2015133View attachment 2015134