Waziri wa Mambo ya Ndani aagiza Rage achunguzwe; DPP anafanya nini?

Kama anaimiliki hio bunduki kihalali kuna kosa gani?tusichanganye siasa na sheria

Ukiachia sheria ya uchaguzi inayoweka utaratibu wa Kampeni, kanuni ya adhabu Penal Code kifungu 84 kiko wazi, kinasema:

"Going armed in public
Any person who goes armed in public without lawful occasion in such a manner as to cause terror to any person is guilty of an offence and his arms may be forfeited.

Hivyo basi polisi igunga walitakiwa wawe na kiherehere cha kumkamata huyu bwana na sio kungoja mpaka waziri aseme.

Swali la Kizushi hebu fikiria hicho kitu kingefanywa na Mheshimiwa Godbless Lema ingekuwaje?
 
Angekuwa kamanda Lema:
1) ungekuta Ngongo wa Jf ameanzisha thread 10
2) Lema amepelekwa makao makuu ya jeshi la polisi kuhojiwa na S. mwema
3) shimbo angekuwa ameshatoa tamko akiwa kwenye combat za jeshi
4) jamaa zangu flani wangekuwa wameandaa tamko
5) yule waziri ambaye ajulikani kama ametokea serengeti, gombe au mahale national park angekuwa ameshatoa matusi kweye vyombo vyote vya habari.

.....endeleza mwenyewe!

Kuwa sehemu ya kampeni ndo tatizo,jaribu kutumia ustaarabu kidogo,uwezi tembea na panga na mkuki kwenye sherehe ya kufunga ndoa!!
 
hili ndio tatizo la kuchagua al shabab kuwa mbunge, na nina wasiwasi hata hao makomandoo ambao mukama anawasema itakuwa si wa cdm bali ni askari wa al shabab walioletwa na ndugu yao rage kwa niaba ya ccm ilii watakaposhindwa uchaguzi walazimishe ushindi kisha waanzishe fujo na kuwasingizia cdm! NGASTUKA MACHALE KUN'NDESA
 
Angekuwa kamanda Lema:
1) ungekuta Ngongo wa Jf ameanzisha thread 10
2) Lema amepelekwa makao makuu ya jeshi la polisi kuhojiwa na S. mwema
3) shimbo angekuwa ameshatoa tamko akiwa kwenye combat za jeshi
4) jamaa zangu flani wangekuwa wameandaa tamko
5) yule waziri ambaye ajulikani kama ametokea serengeti, gombe au mahale national park angekuwa ameshatoa matusi kweye vyombo vyote vya habari.

.....endeleza mwenyewe!
hapo kwenye nyekundu wallaaahi umenifurahisha mkuu!
 
Angekuwa kamanda Lema:
1) ungekuta Ngongo wa Jf ameanzisha thread 10
2) Lema amepelekwa makao makuu ya jeshi la polisi kuhojiwa na S. mwema
3) shimbo angekuwa ameshatoa tamko akiwa kwenye combat za jeshi
4) jamaa zangu flani wangekuwa wameandaa tamko
5) yule waziri ambaye ajulikani kama ametokea serengeti, gombe au mahale national park angekuwa ameshatoa matusi kweye vyombo vyote vya habari.

.....endeleza mwenyewe!
Wangesema lema alikuwa anatoka kwenye shughuli za kuaanda makomandoo na alionekana kwenye poli la singinda na nimwizi!Jamani CCM Mungu atakacho wafanyia hamtasahau tena atawafanyia pale ambapo mnajihakikishia 100/100 ndo mnashuka daraja wanaume wanaongoza ligi!
 
Friday, 23 September 2011 19:47
07ragekam.jpg

Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage

Mwandishi wetu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, amewaagiza polisi kumhoji Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage, kuhusu hatua yake ya kupanda jukwaani na bastola kiunoni. Taarifa iliyopatikana na kuthibitishwa na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ambao hawakupenda kutajwa, ilisema polisi wameagizwa kuwa baada ya kumhoji mbunge huyo, wawasilishe ripoti hiyo kwake haraka iwezekanavyo.

Miongoni mwa mambo ambayo polisi wameelekezwa kumhoji Rage ni pamoja na endapo anaimiliki bastola hiyo kihalali. Mambo mengine ni sababu alizoeleza wakati anaiomba bastola hiyo na hatua yake ya kwenda nayo kwenye mkutano wa hadhara.

"Tunasubiri taarifa, tumewaagiza polisi wamhoji. Tunataka kujua mambo matatu; kama silaha hiyo anaimiliki kihalali, pili madhumuni aliyoiombea na tatu kwenda nayo kwenye public meeting (mkutano wa hadhara) wakati kuna watoto, wanawake na watu wa aina mbalimbali," kilisema chanzo chetu cha habari kikimnukuu Nahodha na kuongeza: "Haiwezekani kwenda na silaha tena nje nje kwenye mkutano kama ule. Sasa tunasubiri taarifa ya polisi."

CUF wawatuhumu CCM

Wakati huo huo Geofrey Nyang'oro anaripoti kutoka Igunga kuwa, CUF kimelitaka Jeshi la Polisi kumkamata na kumchukulia hatua kali, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana ya CCM Taifa (UVCCM), Martine Shigela kutokana na msafara wake kumshambulia kiongozi wa CUF. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa jana, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (bara), Julius Mtatiro, alisema kitendo cha msafara wa katibu huyo kushambulia mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya CUF ni uchokozi usiokubalika.

"Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa chama chetu kutoka katika kijiji cha Iyogelo Tarafa ya Igurubi mjini hapa Salum Masanja (55) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili kutokana na tukio hilo,"alisema Ntatiro. Habari zinasema Masanja alipigwa juzi majira ya saa tisa mchana nyumbani kwake katika Kijiji cha Iyogelo Kata ya Kining'inalo alipokuwa akipandisha bendera ya chake.

Akizungumza na Mwananchi hospitalini hapo, Masanja alisema alipigwa na watu wanne huku mmoja akimtambua baada ya kushuka kwenye gari moja jeupe lililokuwa kwenye msafara wa CCM. "Zilipita gari tatu nyeupe zikiwa zinapeperusha bendera za CCM, gari moja la nyuma lilisimama na watu wanne wakateremka na kunitaka kushusha benderea hiyo,"alisema Masanja.

Alisema baada ya kauli hiyo yeye alikataa ndipo walipompiga ngwala na kuanguka chini kisha kuanza kumshambulia kwa ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili na kumsababisha apoteze fahamu kwa muda wa saa mmoja. "Zilikuwa gari tatu zilizokuwa katika msafara wa CCM uliokuwa, ukiongozwa na Shigella, zilipofika karibu na mimi gari la nyuma lilisimama na watu hao kunifuata ndipo waliponiamuru nishushe bendera hiyo na kupandisha ya CCM," alisema Masanja.

Alisema katika watu waliomshambulia alimtambua mtu mmoja aliyekuwa kiongozi wa msafara ambaye ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Shigela.

Tamko la CUF

Chama cha CUF kimelaani tukio hilo na kulitaka Jeshi la Polisi kumkamata mara moja Shigela na kumchukulia hatua vinginevyo Igunga haitakalika. Mtatiro alionya kuwa CCM kama wafuasi wa CUF nao watajibu mapigo. Alisema CUF kwa sasa ni chama kisichopenda kuendekeza vurugu, lakini akasisitiza kuwa kitendo kilichofanywa na wafuasi wa CCM ni uchokozi wa wawazi usikubalika.

"Martine Shigela anafahamika, na kama Polisi watashindwa kuchukua hatua sisi tutachukua hatua wenyewe, tuna uwezo huo na tukianza kuwapiga wafuasi wa CCM tutawashambulia jimbo zima,"alisema Mtatiro. "Sisi tumekaa kimya muda wote siyo hatuwezi kufanya vurugu, bali tunapambana kuona sheria, kanuni na taratibu zinafuata katika nchi hii, tunaliomba Jeshi la Polisi kuchukua hatua na kama halitachukua hatua sisi CUF tunafanya kazi hiyo wenyewe,"alisema Mtatiro.

Mtatiro alisistiza kuwa chama chao hakipo Igunga kwa ajili ya kufanya vurugu bali kampeni za kistaarabu za kutangaza sera zake na kutaka mbunge wao achaguliwe na wananchi Majira ya saa 4:00 asubuhi Mtatiro akiwa ameongozana na wajumbe mbalimbali wa CUF akiwamo Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama hicho Mkoa wa Tabora Magdalena Sakaya, walivamia Hodi za Hospitali ya Wilaya na kukuta majeruhi hiyo akiwa hajapatiwa tiba tangu kufikishwa kwake hosipitalini hapo juzi saa 12.00.

Kamishina Msaidizi wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Telesphory Anacleth, alithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa tayari hatua za awali zimechukuliwa. Alisema mara baada ya kupata taarifa hizo Polisi walifika eneo la tukio juzi na kufanya mahojiano na Masanja pamoja na watu mbalimbali na kwamba jeshi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na tayari limeshafungua kesi ya shambulio la kudhuru mwili.

Mgombea acharuka
Baada ya kupata taarifa za kupigwa kwa kiongozi huyo, mgombea wa CUF, Leopold Mahona alizungumza kwa ukali na kusema atakuwa wa kwanza kuvuruga uchaguzi huo kama hatua hazitachuliwa dhidi ya wahusika.

Alisema yeye anagombea ubunge ili awatumikie wananchi na watu wanapowashambulia wanataka aje kumtumikia nani katika utumishi wake.

"Nimesikitishwa na tukio hilo, mimi nagombea ili niwatumikie wananchi ili waondokane na umasikini unaotukabiri, inapotokea CCM wanakwenda kuwapiga na kuwadhuru wanataka mimi niwatumikie wakinanani, ninachosema CCM waombe radhi kwa hili, la sivyo uchaguzi hautafanyika,"alisema Mahona alipokuwa akihutubia wakazi wa kata ya Nyandekwa.

UV CCM waruka kimanga
Kwa upande wake, Shigela amekanusha tuhuma hizo na kuelezea masikitiko yake kwa watu kupigwa. "Mimi ninasikitishwa na kitendo cha watu kupigwa Igunga, sisi kama vijana wa CCM tunasikitishwa na tendo hilo na hatuhusiki na watu kupigwa,"alisema Shigela. Kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwake kuwa majeruhi alisema "labda ananifahamu kwa kuniona kwenye TV.

Shigela alisisitiza kuwa yeye na chama chake hakihusika na kuhusu ushahidi aliotoa akasema lanbada mtu huyo awe amefundishwa. "Nipo Igunga wiki ya pili sasa mbona sijatuhumiwa kuamuru watu kushusha bendera hiyo kwanini iwe sasa na Iyogelo.?alihoji na kuongeza kuwa chama hicho hakihusika na tuhuma hizo.

Mkutano wa Bakwata wavunjika
Katika hatua nyingine 'Vazi la hijab' jana lilivunja Mkutano wa Bakwata na waandishi wa habari baada ya baadhi ya viongozi wa Baraza hilo Kuu la Waislamu, kushindwa kueleza maana yake. Mkutano huo uliitishwa na Katibu wa Bakwata Wilaya Igunga, Maulid Athman Mussa ambaye alitoa tamko la kukilalamikia Chadema kwamba kiliudhalilisha uislamu katika sakata baina ya cahama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.

Kuvunjika kwa mkutano huo kulitokana na maswali yaliyoulizwa kwamba vazi la hijabu linalodaiwa kudhalilisha dini hiyo inabidi liweje, hivyo viongozi hao kupandwa na jazba.

Maswali hayo yalionekana kuwachanganya na kuwapandisha jazba viongozi hao, lakini wakijitahidi kutoa ufafanuzi ingawa wao wenyewe walionekana kupishana kauli.

Shehe wa wilaya, Ally Rage alisema, hijabu inanatakiwa isitiri mwili wote wa mwanamke wa kiislamu na kuacha tu sehemu ya uso wake ndio ionekane. Ufafanuzi huo ulionekana kushahibiana na wa mwanamke mmoja wa Kiislamu aliyekuwepo ndani ya mkutano huo, Amina Billal aliyekuwa amevaa Hijabu aliyesema ni lazima lifunike miguu na mikono.

"Hijabu ni vazi la mwanamke wa Kiislamu linalositiri mwili ambalo akivaa nguo yenye mikono mirefu ni lazima liwe refu hadi chini,"alisema Amina na kuwaonyesha wanahabari vazi lake lilikuwa limefunika mikono na miguu. Kutokana na maelezo hayo, waandishi wa habari waliwataka viongozi hao watazame picha za tukio la Chadema na Kimario katika gazeti moja walilokuwa nalo meza kuu (sio Mwananchi) na waeleze kama DC alivaa hijabu au mtandio.

Hata hivyo, katika kujibu maswali hayo, kiongozi mmoja alitumia aya za kitabu kitakatifu cha Quaran akisema Hijabu lazima lifunike nywele kwa vile ni haramu mwanamke wa Kiislamu kuonekana nywele zake. Majibu hayo bado yalionekana kujichanga zaidi na kushindwa kufafanua kama mkuu huyo wa wilaya alikuwa amevaa jijabu au mtandio hali iliyomsukuma Imamu wa msikiti huo, Swalehe Hamisi kufafanua zaidi. Imamu alisema vazi la hijabu liko katika aina tatu moja likiwa ni lile lililokuwa likivaliwa na wake za mtume Mohamed ambalo lilikuwa likifunika maeneo yote ya mwili bila kuacha sehemu moja ya mwili inayoonekana.

"Vazi la pili la mwanamke wa Kiislamu ni lile lilokuwa likivaliwa na wafanyakazi kwa maana ya wakulima ambalo lilikuwa likimsitiri mwanamke mwili wote isipokuwa sehemu ya usoni tu,"alisema. Alifafanua hijabu ya tatu, Imamu huyo alisema ni vazi ambalo linamfanya mwanamke asiwe amejisetiri mwili wote na kwamba vazi hilo linamruhusu mwanamke huyo kusogelewa tu na ndugu wa damu na si mtu mwingine.

"Hawa Chadema wao walienda kumwondolea hijabu mwanamke wa Kiislamu ambaye hawajazaliwa naye tumbo moja na sio ndugu zake kabisa…hawakupaswa kumsogelea kabisa DC,"alisema Imamu huyo. Pamoja na ufafanuzi huo, waandishi wa habari waliendelea kuwabana viongozi hao watoe ufafanuzi wakiegemea katika kitabu cha Quoran kwamba kinaeleza nini kuhusu hijab jambo ambalo liliwaudhi.

Wanajikosha, hapo hakuna chochote kitakachofanyika. Angekuwa mtu wa upinzani sio siri cha moto angekipata.Serikali(CCM) haiwezi kumwajibisha mwanachama mwenzao! Hawa wako juu ya sheria(utawala wa kulindana)
 
Ameshapoteza sifa za kumiliki silaha kwa mujibu wa masharti aliyoskubaliana nayo wakati anaomba kumiliki silaha hiyo.anyang'anywe kibali na silaha yake akabidhi central arm registry.
 
Unajua watu wengi huwa tunasoma sheria moja tu na kujiridhisha kuwa haitutii hatiani hivyo tunafanya vitu tukijiamini kuwa si kosa. Rage kwa kutumia sheria ya kumiliki silaha ni kweli iko silent kuhusu kuonyesha silaha hadharani. Lakini akasahau kuwa yuko kwenye kampeni za uchaguzi ambazo pia zinalindwa na sheria zake.

Hapa ndipo CCM wamechemka maana sheria ya maadili ya uchaguzi inamtia hatiani Rage maana haruhusiwi kubeba silaha ya aina yoyote anapokuwa kwenye mikutano ya kampeni. Sasa hili sijui litakuwa ni koasa kwa mahakama zetu au si kosa kwa sababu limetendwa na bosi wao?

Ngoja tusubiri tuone japo pia sijui adhabu yake ni ipi maana haya ni maadili tu. Sidhani kama hili la kubeba silaha linapashwa kuwa ni issue ya maadili tu maana najua kama wananchi wakiamua kuja na sime na mapanga yao kiunoni sijui kama itachukuliwa kuwa ni issue ya maadili au ndo tutawasahau huko Jera?
Jamani mumesahau kuwa Rage ni mzoefu wa jela? uhuni huo alijifunza alipokuwa magereza, majambazi walio kubuhu walisahau kumuelimisha madhara yakutembea na silaha nje nje.
 
Kama ni kweli mama Kimario alifunga ndoa ya kikristu na mumewe ni mkristu,sasa uislamu wake na hijab wapi nawapi?

Friday, 23 September 2011 19:47

07ragekam.jpg

Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage

Mwandishi wetu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, amewaagiza polisi kumhoji Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage, kuhusu hatua yake ya kupanda jukwaani na bastola kiunoni. Taarifa iliyopatikana na kuthibitishwa na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ambao hawakupenda kutajwa, ilisema polisi wameagizwa kuwa baada ya kumhoji mbunge huyo, wawasilishe ripoti hiyo kwake haraka iwezekanavyo.

Miongoni mwa mambo ambayo polisi wameelekezwa kumhoji Rage ni pamoja na endapo anaimiliki bastola hiyo kihalali. Mambo mengine ni sababu alizoeleza wakati anaiomba bastola hiyo na hatua yake ya kwenda nayo kwenye mkutano wa hadhara.

“Tunasubiri taarifa, tumewaagiza polisi wamhoji. Tunataka kujua mambo matatu; kama silaha hiyo anaimiliki kihalali, pili madhumuni aliyoiombea na tatu kwenda nayo kwenye public meeting (mkutano wa hadhara) wakati kuna watoto, wanawake na watu wa aina mbalimbali,” kilisema chanzo chetu cha habari kikimnukuu Nahodha na kuongeza: “Haiwezekani kwenda na silaha tena nje nje kwenye mkutano kama ule. Sasa tunasubiri taarifa ya polisi.”

CUF wawatuhumu CCM

Wakati huo huo Geofrey Nyang’oro anaripoti kutoka Igunga kuwa, CUF kimelitaka Jeshi la Polisi kumkamata na kumchukulia hatua kali, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana ya CCM Taifa (UVCCM), Martine Shigela kutokana na msafara wake kumshambulia kiongozi wa CUF. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa jana, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (bara), Julius Mtatiro, alisema kitendo cha msafara wa katibu huyo kushambulia mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya CUF ni uchokozi usiokubalika.

”Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa chama chetu kutoka katika kijiji cha Iyogelo Tarafa ya Igurubi mjini hapa Salum Masanja (55) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili kutokana na tukio hilo,”alisema Ntatiro. Habari zinasema Masanja alipigwa juzi majira ya saa tisa mchana nyumbani kwake katika Kijiji cha Iyogelo Kata ya Kining’inalo alipokuwa akipandisha bendera ya chake.

Akizungumza na Mwananchi hospitalini hapo, Masanja alisema alipigwa na watu wanne huku mmoja akimtambua baada ya kushuka kwenye gari moja jeupe lililokuwa kwenye msafara wa CCM. “Zilipita gari tatu nyeupe zikiwa zinapeperusha bendera za CCM, gari moja la nyuma lilisimama na watu wanne wakateremka na kunitaka kushusha benderea hiyo,”alisema Masanja.

Alisema baada ya kauli hiyo yeye alikataa ndipo walipompiga ngwala na kuanguka chini kisha kuanza kumshambulia kwa ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili na kumsababisha apoteze fahamu kwa muda wa saa mmoja. “Zilikuwa gari tatu zilizokuwa katika msafara wa CCM uliokuwa, ukiongozwa na Shigella, zilipofika karibu na mimi gari la nyuma lilisimama na watu hao kunifuata ndipo waliponiamuru nishushe bendera hiyo na kupandisha ya CCM,” alisema Masanja.

Alisema katika watu waliomshambulia alimtambua mtu mmoja aliyekuwa kiongozi wa msafara ambaye ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Shigela.

Tamko la CUF

Chama cha CUF kimelaani tukio hilo na kulitaka Jeshi la Polisi kumkamata mara moja Shigela na kumchukulia hatua vinginevyo Igunga haitakalika. Mtatiro alionya kuwa CCM kama wafuasi wa CUF nao watajibu mapigo. Alisema CUF kwa sasa ni chama kisichopenda kuendekeza vurugu, lakini akasisitiza kuwa kitendo kilichofanywa na wafuasi wa CCM ni uchokozi wa wawazi usikubalika.

“Martine Shigela anafahamika, na kama Polisi watashindwa kuchukua hatua sisi tutachukua hatua wenyewe, tuna uwezo huo na tukianza kuwapiga wafuasi wa CCM tutawashambulia jimbo zima,”alisema Mtatiro. “Sisi tumekaa kimya muda wote siyo hatuwezi kufanya vurugu, bali tunapambana kuona sheria, kanuni na taratibu zinafuata katika nchi hii, tunaliomba Jeshi la Polisi kuchukua hatua na kama halitachukua hatua sisi CUF tunafanya kazi hiyo wenyewe,”alisema Mtatiro.

Mtatiro alisistiza kuwa chama chao hakipo Igunga kwa ajili ya kufanya vurugu bali kampeni za kistaarabu za kutangaza sera zake na kutaka mbunge wao achaguliwe na wananchi Majira ya saa 4:00 asubuhi Mtatiro akiwa ameongozana na wajumbe mbalimbali wa CUF akiwamo Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama hicho Mkoa wa Tabora Magdalena Sakaya, walivamia Hodi za Hospitali ya Wilaya na kukuta majeruhi hiyo akiwa hajapatiwa tiba tangu kufikishwa kwake hosipitalini hapo juzi saa 12.00.

Kamishina Msaidizi wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Telesphory Anacleth, alithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa tayari hatua za awali zimechukuliwa. Alisema mara baada ya kupata taarifa hizo Polisi walifika eneo la tukio juzi na kufanya mahojiano na Masanja pamoja na watu mbalimbali na kwamba jeshi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na tayari limeshafungua kesi ya shambulio la kudhuru mwili.

Mgombea acharuka
Baada ya kupata taarifa za kupigwa kwa kiongozi huyo, mgombea wa CUF, Leopold Mahona alizungumza kwa ukali na kusema atakuwa wa kwanza kuvuruga uchaguzi huo kama hatua hazitachuliwa dhidi ya wahusika.

Alisema yeye anagombea ubunge ili awatumikie wananchi na watu wanapowashambulia wanataka aje kumtumikia nani katika utumishi wake.

“Nimesikitishwa na tukio hilo, mimi nagombea ili niwatumikie wananchi ili waondokane na umasikini unaotukabiri, inapotokea CCM wanakwenda kuwapiga na kuwadhuru wanataka mimi niwatumikie wakinanani, ninachosema CCM waombe radhi kwa hili, la sivyo uchaguzi hautafanyika,”alisema Mahona alipokuwa akihutubia wakazi wa kata ya Nyandekwa.

UV CCM waruka kimanga
Kwa upande wake, Shigela amekanusha tuhuma hizo na kuelezea masikitiko yake kwa watu kupigwa. “Mimi ninasikitishwa na kitendo cha watu kupigwa Igunga, sisi kama vijana wa CCM tunasikitishwa na tendo hilo na hatuhusiki na watu kupigwa,”alisema Shigela. Kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwake kuwa majeruhi alisema “labda ananifahamu kwa kuniona kwenye TV.

Shigela alisisitiza kuwa yeye na chama chake hakihusika na kuhusu ushahidi aliotoa akasema lanbada mtu huyo awe amefundishwa. “Nipo Igunga wiki ya pili sasa mbona sijatuhumiwa kuamuru watu kushusha bendera hiyo kwanini iwe sasa na Iyogelo.?alihoji na kuongeza kuwa chama hicho hakihusika na tuhuma hizo.

Mkutano wa Bakwata wavunjika
Katika hatua nyingine 'Vazi la hijab' jana lilivunja Mkutano wa Bakwata na waandishi wa habari baada ya baadhi ya viongozi wa Baraza hilo Kuu la Waislamu, kushindwa kueleza maana yake. Mkutano huo uliitishwa na Katibu wa Bakwata Wilaya Igunga, Maulid Athman Mussa ambaye alitoa tamko la kukilalamikia Chadema kwamba kiliudhalilisha uislamu katika sakata baina ya cahama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.

Kuvunjika kwa mkutano huo kulitokana na maswali yaliyoulizwa kwamba vazi la hijabu linalodaiwa kudhalilisha dini hiyo inabidi liweje, hivyo viongozi hao kupandwa na jazba.

Maswali hayo yalionekana kuwachanganya na kuwapandisha jazba viongozi hao, lakini wakijitahidi kutoa ufafanuzi ingawa wao wenyewe walionekana kupishana kauli.

Shehe wa wilaya, Ally Rage alisema, hijabu inanatakiwa isitiri mwili wote wa mwanamke wa kiislamu na kuacha tu sehemu ya uso wake ndio ionekane. Ufafanuzi huo ulionekana kushahibiana na wa mwanamke mmoja wa Kiislamu aliyekuwepo ndani ya mkutano huo, Amina Billal aliyekuwa amevaa Hijabu aliyesema ni lazima lifunike miguu na mikono.

“Hijabu ni vazi la mwanamke wa Kiislamu linalositiri mwili ambalo akivaa nguo yenye mikono mirefu ni lazima liwe refu hadi chini,”alisema Amina na kuwaonyesha wanahabari vazi lake lilikuwa limefunika mikono na miguu. Kutokana na maelezo hayo, waandishi wa habari waliwataka viongozi hao watazame picha za tukio la Chadema na Kimario katika gazeti moja walilokuwa nalo meza kuu (sio Mwananchi) na waeleze kama DC alivaa hijabu au mtandio.

Hata hivyo, katika kujibu maswali hayo, kiongozi mmoja alitumia aya za kitabu kitakatifu cha Quaran akisema Hijabu lazima lifunike nywele kwa vile ni haramu mwanamke wa Kiislamu kuonekana nywele zake. Majibu hayo bado yalionekana kujichanga zaidi na kushindwa kufafanua kama mkuu huyo wa wilaya alikuwa amevaa jijabu au mtandio hali iliyomsukuma Imamu wa msikiti huo, Swalehe Hamisi kufafanua zaidi. Imamu alisema vazi la hijabu liko katika aina tatu moja likiwa ni lile lililokuwa likivaliwa na wake za mtume Mohamed ambalo lilikuwa likifunika maeneo yote ya mwili bila kuacha sehemu moja ya mwili inayoonekana.

“Vazi la pili la mwanamke wa Kiislamu ni lile lilokuwa likivaliwa na wafanyakazi kwa maana ya wakulima ambalo lilikuwa likimsitiri mwanamke mwili wote isipokuwa sehemu ya usoni tu,”alisema. Alifafanua hijabu ya tatu, Imamu huyo alisema ni vazi ambalo linamfanya mwanamke asiwe amejisetiri mwili wote na kwamba vazi hilo linamruhusu mwanamke huyo kusogelewa tu na ndugu wa damu na si mtu mwingine.

“Hawa Chadema wao walienda kumwondolea hijabu mwanamke wa Kiislamu ambaye hawajazaliwa naye tumbo moja na sio ndugu zake kabisa…hawakupaswa kumsogelea kabisa DC,”alisema Imamu huyo. Pamoja na ufafanuzi huo, waandishi wa habari waliendelea kuwabana viongozi hao watoe ufafanuzi wakiegemea katika kitabu cha Quoran kwamba kinaeleza nini kuhusu hijab jambo ambalo liliwaudhi.

Kama ni kweli mama Kimario alifunga ndoa ya kikristu na mumewe ni mkristu,sasa uislamu wake na hijab wapi nawapi?
 
Friday, 23 September 2011 19:47
07ragekam.jpg

Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage

Mwandishi wetu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, amewaagiza polisi kumhoji Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage, kuhusu hatua yake ya kupanda jukwaani na bastola kiunoni. Taarifa iliyopatikana na kuthibitishwa na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ambao hawakupenda kutajwa, ilisema polisi wameagizwa kuwa baada ya kumhoji mbunge huyo, wawasilishe ripoti hiyo kwake haraka iwezekanavyo.

Miongoni mwa mambo ambayo polisi wameelekezwa kumhoji Rage ni pamoja na endapo anaimiliki bastola hiyo kihalali. Mambo mengine ni sababu alizoeleza wakati anaiomba bastola hiyo na hatua yake ya kwenda nayo kwenye mkutano wa hadhara.

"Tunasubiri taarifa, tumewaagiza polisi wamhoji. Tunataka kujua mambo matatu; kama silaha hiyo anaimiliki kihalali, pili madhumuni aliyoiombea na tatu kwenda nayo kwenye public meeting (mkutano wa hadhara) wakati kuna watoto, wanawake na watu wa aina mbalimbali," kilisema chanzo chetu cha habari kikimnukuu Nahodha na kuongeza: "Haiwezekani kwenda na silaha tena nje nje kwenye mkutano kama ule. Sasa tunasubiri taarifa ya polisi."

CUF wawatuhumu CCM

Wakati huo huo Geofrey Nyang'oro anaripoti kutoka Igunga kuwa, CUF kimelitaka Jeshi la Polisi kumkamata na kumchukulia hatua kali, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Vijana ya CCM Taifa (UVCCM), Martine Shigela kutokana na msafara wake kumshambulia kiongozi wa CUF. Akizungumza na waandishi wa habari Mjini hapa jana, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (bara), Julius Mtatiro, alisema kitendo cha msafara wa katibu huyo kushambulia mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi ya CUF ni uchokozi usiokubalika.

"Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa chama chetu kutoka katika kijiji cha Iyogelo Tarafa ya Igurubi mjini hapa Salum Masanja (55) amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Igunga baada ya kupigwa na kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili kutokana na tukio hilo,"alisema Ntatiro. Habari zinasema Masanja alipigwa juzi majira ya saa tisa mchana nyumbani kwake katika Kijiji cha Iyogelo Kata ya Kining'inalo alipokuwa akipandisha bendera ya chake.

Akizungumza na Mwananchi hospitalini hapo, Masanja alisema alipigwa na watu wanne huku mmoja akimtambua baada ya kushuka kwenye gari moja jeupe lililokuwa kwenye msafara wa CCM. "Zilipita gari tatu nyeupe zikiwa zinapeperusha bendera za CCM, gari moja la nyuma lilisimama na watu wanne wakateremka na kunitaka kushusha benderea hiyo,"alisema Masanja.

Alisema baada ya kauli hiyo yeye alikataa ndipo walipompiga ngwala na kuanguka chini kisha kuanza kumshambulia kwa ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili na kumsababisha apoteze fahamu kwa muda wa saa mmoja. "Zilikuwa gari tatu zilizokuwa katika msafara wa CCM uliokuwa, ukiongozwa na Shigella, zilipofika karibu na mimi gari la nyuma lilisimama na watu hao kunifuata ndipo waliponiamuru nishushe bendera hiyo na kupandisha ya CCM," alisema Masanja.

Alisema katika watu waliomshambulia alimtambua mtu mmoja aliyekuwa kiongozi wa msafara ambaye ni Katibu Mkuu wa UVCCM, Shigela.

Tamko la CUF

Chama cha CUF kimelaani tukio hilo na kulitaka Jeshi la Polisi kumkamata mara moja Shigela na kumchukulia hatua vinginevyo Igunga haitakalika. Mtatiro alionya kuwa CCM kama wafuasi wa CUF nao watajibu mapigo. Alisema CUF kwa sasa ni chama kisichopenda kuendekeza vurugu, lakini akasisitiza kuwa kitendo kilichofanywa na wafuasi wa CCM ni uchokozi wa wawazi usikubalika.

"Martine Shigela anafahamika, na kama Polisi watashindwa kuchukua hatua sisi tutachukua hatua wenyewe, tuna uwezo huo na tukianza kuwapiga wafuasi wa CCM tutawashambulia jimbo zima,"alisema Mtatiro. "Sisi tumekaa kimya muda wote siyo hatuwezi kufanya vurugu, bali tunapambana kuona sheria, kanuni na taratibu zinafuata katika nchi hii, tunaliomba Jeshi la Polisi kuchukua hatua na kama halitachukua hatua sisi CUF tunafanya kazi hiyo wenyewe,"alisema Mtatiro.

Mtatiro alisistiza kuwa chama chao hakipo Igunga kwa ajili ya kufanya vurugu bali kampeni za kistaarabu za kutangaza sera zake na kutaka mbunge wao achaguliwe na wananchi Majira ya saa 4:00 asubuhi Mtatiro akiwa ameongozana na wajumbe mbalimbali wa CUF akiwamo Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama hicho Mkoa wa Tabora Magdalena Sakaya, walivamia Hodi za Hospitali ya Wilaya na kukuta majeruhi hiyo akiwa hajapatiwa tiba tangu kufikishwa kwake hosipitalini hapo juzi saa 12.00.

Kamishina Msaidizi wa Polisi na Kamanda wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Telesphory Anacleth, alithibitisha tukio hilo na kueleza kuwa tayari hatua za awali zimechukuliwa. Alisema mara baada ya kupata taarifa hizo Polisi walifika eneo la tukio juzi na kufanya mahojiano na Masanja pamoja na watu mbalimbali na kwamba jeshi linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo na tayari limeshafungua kesi ya shambulio la kudhuru mwili.

Mgombea acharuka
Baada ya kupata taarifa za kupigwa kwa kiongozi huyo, mgombea wa CUF, Leopold Mahona alizungumza kwa ukali na kusema atakuwa wa kwanza kuvuruga uchaguzi huo kama hatua hazitachuliwa dhidi ya wahusika.

Alisema yeye anagombea ubunge ili awatumikie wananchi na watu wanapowashambulia wanataka aje kumtumikia nani katika utumishi wake.

"Nimesikitishwa na tukio hilo, mimi nagombea ili niwatumikie wananchi ili waondokane na umasikini unaotukabiri, inapotokea CCM wanakwenda kuwapiga na kuwadhuru wanataka mimi niwatumikie wakinanani, ninachosema CCM waombe radhi kwa hili, la sivyo uchaguzi hautafanyika,"alisema Mahona alipokuwa akihutubia wakazi wa kata ya Nyandekwa.

UV CCM waruka kimanga
Kwa upande wake, Shigela amekanusha tuhuma hizo na kuelezea masikitiko yake kwa watu kupigwa. "Mimi ninasikitishwa na kitendo cha watu kupigwa Igunga, sisi kama vijana wa CCM tunasikitishwa na tendo hilo na hatuhusiki na watu kupigwa,"alisema Shigela. Kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwake kuwa majeruhi alisema "labda ananifahamu kwa kuniona kwenye TV.

Shigela alisisitiza kuwa yeye na chama chake hakihusika na kuhusu ushahidi aliotoa akasema lanbada mtu huyo awe amefundishwa. "Nipo Igunga wiki ya pili sasa mbona sijatuhumiwa kuamuru watu kushusha bendera hiyo kwanini iwe sasa na Iyogelo.?alihoji na kuongeza kuwa chama hicho hakihusika na tuhuma hizo.

Mkutano wa Bakwata wavunjika
Katika hatua nyingine 'Vazi la hijab' jana lilivunja Mkutano wa Bakwata na waandishi wa habari baada ya baadhi ya viongozi wa Baraza hilo Kuu la Waislamu, kushindwa kueleza maana yake. Mkutano huo uliitishwa na Katibu wa Bakwata Wilaya Igunga, Maulid Athman Mussa ambaye alitoa tamko la kukilalamikia Chadema kwamba kiliudhalilisha uislamu katika sakata baina ya cahama hicho na Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Fatma Kimario.

Kuvunjika kwa mkutano huo kulitokana na maswali yaliyoulizwa kwamba vazi la hijabu linalodaiwa kudhalilisha dini hiyo inabidi liweje, hivyo viongozi hao kupandwa na jazba.

Maswali hayo yalionekana kuwachanganya na kuwapandisha jazba viongozi hao, lakini wakijitahidi kutoa ufafanuzi ingawa wao wenyewe walionekana kupishana kauli.

Shehe wa wilaya, Ally Rage alisema, hijabu inanatakiwa isitiri mwili wote wa mwanamke wa kiislamu na kuacha tu sehemu ya uso wake ndio ionekane. Ufafanuzi huo ulionekana kushahibiana na wa mwanamke mmoja wa Kiislamu aliyekuwepo ndani ya mkutano huo, Amina Billal aliyekuwa amevaa Hijabu aliyesema ni lazima lifunike miguu na mikono.

"Hijabu ni vazi la mwanamke wa Kiislamu linalositiri mwili ambalo akivaa nguo yenye mikono mirefu ni lazima liwe refu hadi chini,"alisema Amina na kuwaonyesha wanahabari vazi lake lilikuwa limefunika mikono na miguu. Kutokana na maelezo hayo, waandishi wa habari waliwataka viongozi hao watazame picha za tukio la Chadema na Kimario katika gazeti moja walilokuwa nalo meza kuu (sio Mwananchi) na waeleze kama DC alivaa hijabu au mtandio.

Hata hivyo, katika kujibu maswali hayo, kiongozi mmoja alitumia aya za kitabu kitakatifu cha Quaran akisema Hijabu lazima lifunike nywele kwa vile ni haramu mwanamke wa Kiislamu kuonekana nywele zake. Majibu hayo bado yalionekana kujichanga zaidi na kushindwa kufafanua kama mkuu huyo wa wilaya alikuwa amevaa jijabu au mtandio hali iliyomsukuma Imamu wa msikiti huo, Swalehe Hamisi kufafanua zaidi. Imamu alisema vazi la hijabu liko katika aina tatu moja likiwa ni lile lililokuwa likivaliwa na wake za mtume Mohamed ambalo lilikuwa likifunika maeneo yote ya mwili bila kuacha sehemu moja ya mwili inayoonekana.

"Vazi la pili la mwanamke wa Kiislamu ni lile lilokuwa likivaliwa na wafanyakazi kwa maana ya wakulima ambalo lilikuwa likimsitiri mwanamke mwili wote isipokuwa sehemu ya usoni tu,"alisema. Alifafanua hijabu ya tatu, Imamu huyo alisema ni vazi ambalo linamfanya mwanamke asiwe amejisetiri mwili wote na kwamba vazi hilo linamruhusu mwanamke huyo kusogelewa tu na ndugu wa damu na si mtu mwingine.

"Hawa Chadema wao walienda kumwondolea hijabu mwanamke wa Kiislamu ambaye hawajazaliwa naye tumbo moja na sio ndugu zake kabisa…hawakupaswa kumsogelea kabisa DC,"alisema Imamu huyo. Pamoja na ufafanuzi huo, waandishi wa habari waliendelea kuwabana viongozi hao watoe ufafanuzi wakiegemea katika kitabu cha Quoran kwamba kinaeleza nini kuhusu hijab jambo ambalo liliwaudhi.

Hapo kwenye red majibu yake haya hapa BAKWATA wanazidi kuaibika:
DC wa Igunga Bi.Fatuma Kimario ameolewa na bwana Joseph Kimario kwa ndoa ya kikatoliki, ambaye huyu Joseph ni mzaliwa wa Wilaya ya Rombo Kilimanjaro kutoka kijiji cha Olel, kata ya Makiidi na Tarafa ya Mkuu . Huyu mumewe kwa sasa anaishi Mbezi Beach jijini DSM na wanajenga nyumba nyingine Tegeta jijini DSM .
Hii picha ni ya shamba la DC lililopo Tegeta katika nyumba yake na mumewe Kimario.
View attachment 37788
 
Njaa inawasumbua hawa wanaoitwa viongozi wa kiislamu. Imeishasemwa mara nyingi kwamba Mama Kimario alikamatwa kama mtu aliyekuwa anavunja sheria na sio kama mwislamu, ona sasa hata uislamu wake kumbe unatia shaka kama hata anafuga kiti moto. SHUTUKENI BAKWATA MNATUMIWA NA MAGAMBA jamani hakuna hata mwenye hekima kidogo kuliona hili?
 
Friday, 23 September 2011 19:47

07ragekam.jpg

Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage

Mwandishi wetu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha, amewaagiza polisi kumhoji Mbunge wa Tabora Mjini (CCM), Ismail Aden Rage, kuhusu hatua yake ya kupanda jukwaani na bastola kiunoni. Taarifa iliyopatikana na kuthibitishwa na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ambao hawakupenda kutajwa, ilisema polisi wameagizwa kuwa baada ya kumhoji mbunge huyo, wawasilishe ripoti hiyo kwake haraka iwezekanavyo.

Miongoni mwa mambo ambayo polisi wameelekezwa kumhoji Rage ni pamoja na endapo anaimiliki bastola hiyo kihalali. Mambo mengine ni sababu alizoeleza wakati anaiomba bastola hiyo na hatua yake ya kwenda nayo kwenye mkutano wa hadhara.

"Tunasubiri taarifa, tumewaagiza polisi wamhoji. Tunataka kujua mambo matatu; kama silaha hiyo anaimiliki kihalali, pili madhumuni aliyoiombea na tatu kwenda nayo kwenye public meeting (mkutano wa hadhara) wakati kuna watoto, wanawake na watu wa aina mbalimbali,"
Hii kweli ni funika kombe! Tangu lini polisi kusubiri agizo la Waziri Kiongozi? Humo mote walimoua waliamrishwa na Nahodha?
Kama tendo lile lilifanywa na viongozi au wanachama toka upinzani polisi wangelisubiri agizo la Nahodha? Laaaaa! Nahodha na wauwaji wake wasitutuie changa la macho
 
Back
Top Bottom