Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 4,783 Reaction score 14,975 May 26, 2023 #1 Hotuba ya Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB), Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024 Attachments 1682668091-document.pdf 1682668091-document.pdf 2.4 MB · Views: 19
Hotuba ya Dkt. Doto Mashaka Biteko (MB), Waziri wa Madini akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2023/2024
K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,889 Reaction score 8,470 May 26, 2023 #2 Viwanda vya madini Mwanza havina madini ,yote yanatoroshwa waziri yupo tu
B BrownRange JF-Expert Member Joined Dec 25, 2020 Posts 927 Reaction score 1,192 May 26, 2023 #3 Kulwa Jilala said: Viwanda vya madini Mwanza havina madini ,yote yanatoroshwa waziri yupo tu Click to expand... Duh
Kulwa Jilala said: Viwanda vya madini Mwanza havina madini ,yote yanatoroshwa waziri yupo tu Click to expand... Duh
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 69,455 Reaction score 122,736 May 26, 2023 #4 Mkuu hakuna mwenye muda na hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura. Utaweka Sana hizo taarifa hapa, lakini hakuna mwenye muda nazo.
Mkuu hakuna mwenye muda na hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura. Utaweka Sana hizo taarifa hapa, lakini hakuna mwenye muda nazo.
mtwa mkulu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 8,585 Reaction score 11,260 May 26, 2023 #5 Atakutana na mpina leo