Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,014
- 9,883
Usiumize kichwa mkuu Watu washamjulia huyu Mr President huwa anapenda misifa isiyo na ukwel usishangae kina watu wakaandamana kwenda ubaloz wa kenya kushinikiza wakenya wanunue mahind yetu yenye sumu iili tuwaue. VizurHivi Tanzania kuna serikali ngapi hasa huu upande wa Tanganyika? maana kila kiongozi anatoa taarifa anavyojua yeye! huyu wamezuia,mwingine hawajazuia na magari yanapita kama kawaida,huyu yanasumu,mwingine yanasumu kidogo...
Tumia akili wewe kuku.Ndio mkumbuke mlivyouwa wale vifaranga wao pale Namanga..
Pumbavu sana nyie.
Maana hiyo kama wamekuta sumu kwenye mazao yetu wanatakiwa kuendelea kuwaruhusu wananchi wao wale sumu hadi TBS itakajiridhisha? Je kama wakiruhusu wananchi wao kuyatumia halafu TBS wakakuta yana sumu, serikali iko tayari kubeba huo msalaba? Profesa mzima unatoa utetezi kama mtoto aliyishia darasa la pili.Utaratibu wa kibiashara uliopo ni kuwa Kenya walitakiwa kupima kama mahindi yana madhara na walipaswa kuwasiliana na Shirika la Viwango la Tanzania (TBS) ili nao wapime kujiridhisha.
Sijui kama Prof. Mkenda kayasema haya, na kama kayasema, sijui alikusudia nini hasa! Kwa sababu Kenya kuwa na tatizo hilo hakufanyi bidhaa za Tanzania kuwa bora kama zimeonekana kuwa na sumu hiyo.Pamoja na hayo Waziri amekiri kuwa ni kweli tatizo la sumu kuvu lipo kwenye baadhi ya mazao ya Tanzania lakini tatizo hilo ni kubwa zaidi kwa mazao ya Kenya. Kiwango kilichopo kwa mazao ya Tanzania ni kidogo ambacho sio hatari kwa afya.
Ngoja nikukumbushe tu.Maana hiyo kama wamekuta sumu kwenye mazao yetu wanatakiwa kuendelea kuwaruhusu wananchi wao wale sumu hadi TBS itakajiridhisha? Je kama wakiruhusu wananchi wao kuyatumia halafu TBS wakakuta yana sumu, serikali iko tayari kubeba huo msalaba? Profesa mzima unatoa utetezi kama mtoto aliyishia darasa la pili.
Wewe kiasi umenifuata na huku? kule umekimbiaNgoja nikukumbushe tu.
Unaona usivyokuwa na akili kwa andiko kama hili hapa?
wewe unatakaje,Kenya waruhusu mahindi yenye sumu yaingie nchini mwao wananchi wadhurike au wayazuie wananchi wasidhurike?Ngoja nikukumbushe tu.
Unaona usivyokuwa na akili kwa andiko kama hili hapa?
Ni wapi umenisoma nikisema hayo uliyoandika?wewe unatakaje,Kenya waruhusu mahindi yenye sumu yaingie nchini mwao wananchi wadhurike au wayazuie wananchi wasidhurike?
Just imagine wewe ni mfanyakazi wa mamlaka ya chakula,si ungeua watu sana kwa sumu?