Sometimes sheria huwa na 'cliffhangers'...
Hakuna kielelezo kilichokamilika kuhusu ishu ya baraza. Tukio hili ni jipya, kwa hiyo suala ni la kubishania mahakamani, ili mahakama itoe tafsiri ya mwisho kwa ajili pia ya huko mbeleni.
Ni kama ishu ya presidential impeachment ya USA, katiba yao ilikuwa haina maelezo ya kutosha. Kwa hiyo maamuzi yatakayofanyika ndiyo yatahesabiwa kama tafsiri kwa ajili ya matukio yajayo.