Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

Sometimes sheria huwa na 'cliffhangers'...

Hakuna kielelezo kilichokamilika kuhusu ishu ya baraza. Tukio hili ni jipya, kwa hiyo suala ni la kubishania mahakamani, ili mahakama itoe tafsiri ya mwisho kwa ajili pia ya huko mbeleni.

Ni kama ishu ya presidential impeachment ya USA, katiba yao ilikuwa haina maelezo ya kutosha. Kwa hiyo maamuzi yatakayofanyika ndiyo yatahesabiwa kama tafsiri kwa ajili ya matukio yajayo.
 
Siku chache nyuma tuliona mada nyingi na ubishani usio wa kawaida kuhusu katiba.
Kuna kundi lilisema katiba linasema baraza lazima livunjwe na wengine wakawa wanasema katiba haisemi hivyo

TLS walikuja na waraka mzito wa kusema katiba j amtaka raisi kuvunja Baraza, Kama kawaida chadema wakarukia hii ajenda na wao kutoa waraka wao.

Wote Leo tumeshuhudia na tumeona kuwa Hawa TLS na chadema hawakuwa sahihi.

Nashindwa kuelewa inakuwaje taasisi Kama TLS inashindaa kuona Jambo hilo?
Nimeshindwa pia kuelewa kwa nini chadema nao walishindwa kuliona hilo.
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom