Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,258
- 34,206
Magufuli hakuwa PhD holder wa uchumi.Kwani Magufuli si alikuwa na PHD?
Kapuya si Proffesa?
Ndalichako je?
Sasa ina maana hawakujua madhara yake?Tatizo ni hili hapa.View attachment 1859461
Yaleyale ya cemente na mafuta ya kula.Ngoja tusubiri tuoneKilio chenu kimesikika.View attachment 1859459
Aisee..!!Phd ni cheti cha kufundishia tu hakina Execution yoyote kwenye ulimwengu wa kutatua matatizo,especially Africa ndio maana wanatakiwa kufundisha tu.
Nimekumbuka bei za vifurushi zilivyo letwaYaleyale ya cemente na mafuta ya kula.Ngoja tusubiri tuone
Ogopa mtu anaitwa"mwanasiasa"
Nilikua sijui kama mama samia naye kasoma uchumi! Hii ni hatari!Finance ni zaidi ya kusoma uchumi.
Tena ongeza na Rais na yeye kasoma uchumi ila wapi....
Tatizo hapa ni siasa ,sio uchumiKuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?
Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?..