GENTAMYCINE JF-Expert Member Jul 13, 2013 56,699 109,135 Jun 22, 2021 #1 Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
L Laki Si Pesa JF-Expert Member Dec 20, 2018 4,838 8,675 Jun 22, 2021 #2 Write your reply...Morison bado ana mkataba na Yanga
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Aug 24, 2011 49,242 103,940 Jun 22, 2021 #3 Laki Si Pesa said: Write your reply...Morison bado ana mkataba na Yanga Click to expand... naona unazungumza kama Utopolo
Laki Si Pesa said: Write your reply...Morison bado ana mkataba na Yanga Click to expand... naona unazungumza kama Utopolo
redio JF-Expert Member Aug 27, 2016 5,139 11,508 Jun 22, 2021 #4 Morrison ili aachwe anatakiwa akili kosa na timu iliyokua iki mtumia Sheria ya mpira wa miguu itumike.
Morrison ili aachwe anatakiwa akili kosa na timu iliyokua iki mtumia Sheria ya mpira wa miguu itumike.
3ZOV JF-Expert Member Dec 28, 2020 6,249 6,979 Jun 22, 2021 #5 redio said: Morrison ili aachwe anatakiwa akili kosa na timu iliyokua iki mtumia Sheria ya mpira wa miguu itumike. Click to expand... Unateseka sana nyumbu wewe
redio said: Morrison ili aachwe anatakiwa akili kosa na timu iliyokua iki mtumia Sheria ya mpira wa miguu itumike. Click to expand... Unateseka sana nyumbu wewe
mtaa umetulea JF-Expert Member Nov 17, 2020 1,719 2,166 Jun 22, 2021 #6 Ki ukwel mwamba makambo akitua jangwani siku mkiona yanga inacheza shabik kaingia uwanjan kumkimbilia makambo ujue ndio mtaa umetulea hata asipo funga goli hata moja msimu mzima poa tu
Ki ukwel mwamba makambo akitua jangwani siku mkiona yanga inacheza shabik kaingia uwanjan kumkimbilia makambo ujue ndio mtaa umetulea hata asipo funga goli hata moja msimu mzima poa tu
S Shakir JF-Expert Member Jul 31, 2012 1,602 1,819 Jun 23, 2021 #9 Makambo wa Sasa aheri hata ya Sarpong.
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,208 20,191 Jun 23, 2021 #10 huyu waziri ndio maana bajeti imemshinda mapema, alitakiwa apewe wizara ya michezo.