Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 82
eti pole...
kufa gamba wewe....
eti pole...
Mkulo oyeeeee! Lazima akutambue huyo....
Mbunge wako? Sikujua ubunge wake unavuka mipaka mpaka huko kwa David Cameroon! Namtakia nafuu kamilifu na ya mapema Dr. Mgimwa.Get well soon Mbunge wangu.
Hapo kwenye tarehe umetisha aisee...
wish him a quick recovery.
Isije kuwa maCCM wamempiga kipapai ili nafasi yake apewe Asha Rose Migiro...
View attachment 124748
Weee kenge unajua mimi natokea wapi?Mbunge wako? Sikujua ubunge wake unavuka mipaka mpaka huko kwa David Cameroon! Namtakia nafuu kamilifu na ya mapema Dr. Mgimwa.
Akili za kishetani hizianatakiwa afe kabisa....namwomba mungu amchukue...
Nilishaanza kumsahau huyu
acha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!