Huyu si ndo alikuwa anakomalia kodi za line za simu?
Mimi nasema aumwe tu. Tumechoka, ukijifanya mkaidi kuliko wengine utaumwa tu.
Tunamwombea apone haraka ili aje kujionea KODI YA LAINI ZA SIMU ilivyoiboresha HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI .
usijali mwigulu atazibaacha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!
Kwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???na bado mtanzania anabebeshwa garama za katibu mkuu kwenda kumnjulia hali waziri wake Tanzania kuna mambo !!!
wish him a quick recovery.
Kwa mujibu wa Kinana nae ni mmojawapo wa "mawaziri Mizigo"
we vipi umesoma wapi waziri asitibiwe kwa fedha zetu? nilicho hoji ni katibu wake kwenda kumjulia hali wakati tuna balozi wetu huko SA angefanya kazi hiyo pia kumbuka muhimbili kuna wagonjwa hawana matibabu kabisaKwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
ili nini...
Tumechoka,augue tu! Hana msaada wowoteKwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
Tumechoka,augue tu! Hana msaada wowoteKwani ulitaka nani abebeshwe hizo gharama?Kwenye issue ya ugonjwa usiweke siasa.Ungefurahia kusikia kiongozi wako tena waziri wa fedha anaomba mchango wa kwenda kupewa matibabu???
Wao Wanafia ng'ambo,halafu wapiga kura wanalala chini muhimbili
Atapona tu hata mimi naumwa.