Waziri wa fedha Mahututi

Waziri wa fedha Mahututi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,167
Reaction score
162,602
Hali ya waziri wa fedha,Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.

Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2013 ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.

CHANZO:Raia Mwema.
 
Hali ya waziri wa fedha,Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.

Habari imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini.Pia imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.

CHANZO:Raia Mwema.

Pole waziri wa fedha
 
!
!
hivi mleta uzi unajua maana ya mahututi au unapost tu, hebu nenda muhimbili kaangalie watu mahututi ambao pia hawana hata matumaini ya kumwona daktari. Mahututi Afrika Kusini mbona poa tu na sio habari kabisa
na bado mtanzania anabebeshwa garama za katibu mkuu kwenda kumnjulia hali waziri wake Tanzania kuna mambo !!!
 
!
!
hivi mleta uzi unajua maana ya mahututi au unapost tu, hebu nenda muhimbili kaangalie watu mahututi ambao pia hawana hata matumaini ya kumwona daktari. Mahututi Afrika Kusini mbona poa tu na sio habari kabisa

Hiyo ndio "heading" katika habari husika.

Tafuta gazeti lenyewe ujionee.

Mjumbe hauwawi.
 
!
!
hivi mleta uzi unajua maana ya mahututi au unapost tu, hebu nenda muhimbili kaangalie watu mahututi ambao pia hawana hata matumaini ya kumwona daktari. Mahututi Afrika Kusini mbona poa tu na sio habari kabisa

acha kukariri mkuu, dr mvungi (r.i.p) akiwa south Africa iliripotiwa kuwa mahututi ......kilichofuata baadae ilikuwa ni pigo kwa tume nzima ya mabadiliko ya katiba na mpaka leo hatuna hakika pengo lake limezibwaje!!!
 
Sawaaaaa.....sasa cjui itakuwa ni shinikizo la damu kama kawaida ya wakubwa!!!!!!!!!!
 
Alaa kumbe migiro anaula sasa hv,ashatengenezwa huyu akirudi mswalie mtume!!!
 
Hali ya waziri wa fedha,Dk.William Mgimwa imeelezwa kuwa ni mbaya na amelazwa katika hospitali ya Milpark nchini Afrika kusini tangu mwishoni mwa wiki iliyopita.

Habari hii imeripotiwa na Gazeti la Raia Mwema la tarehe 04/12/2014 ambalo limenukuu vyanzo kutoka serikalini vikidai hali ya waziri huyo ni mbaya.Pia, imeelezwa kuwa katibu mkuu wa wizara ya fedha,Dk.Likwelile, alikwenda Afrika Kusini siku ya Jumatatu iii kufuatilia hali ya waziri wake.

CHANZO:Raia Mwema.

Hapo kwenye tarehe umetisha aisee...
 
Back
Top Bottom