Waziri wa Afya Marekani aibua madai mapya ya kutahiri kuchochea usonji(autism)

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,303
RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
20251011_074004.jpg
 
Na mabinti je wao wanapataje AUTISM na hawatahiriwi ,😂 na mimi kuna watoto wa kiume nawafahamu hawajatahiriwa na wana usonji tena level ya moderate.
Ila mpaka leo asee usonji ni pasua kichwa nipo kwenye hii industry ila asee kila siku lazima ujifunze maana hii issue sio ya kukariri mavitabu tu.

Yaan huwezi tumia reference ya Autism ya mtu mmoja na mwingine na ndo maana inaitwa Spectrum disorder.
Ila ni watu poa sana wakiwa trained wakapata na therapy za kutosha !! Bongo watu wengi aseee hawana uelewa na hii kitu bado.
 
Wewe ndo mtaalamu au unajiita mtaalamu? Maana hata kuelewa alichosema huyo bwana ni shida kwako je kuhusu uelewa wako katika hili gonjwa sindo ni zero kabsa
 
US imekua a laughing stock. Smh
 
Na mabinti je wao wanapataje AUTISM na hawatahiriwi ,😂 na mimi kuna watoto wa kiume nawafahamu hawajatahiriwa na wana usonji tena level ya moderate.
Ila mpaka leo asee usonji ni pasua kichwa nipo kwenye hii industry ila asee kila siku lazima ujifunze maana hii issue sio ya kukariri mavitabu tu.

Yaan huwezi tumia reference ya Autism ya mtu mmoja na mwingine na ndo maana inaitwa Spectrum disorder.
Ila ni watu poa sana wakiwa trained wakapata na therapy za kutosha !! Bongo watu wengi aseee hawana uelewa na hii kitu bado.
Mbona miaka ya hivi karibuni hili tatizo limeongezeka shida nini hasa?
 
Sababu kubwa ni tatizo limeongezeka kwa sababu idadi ya watu duniani imeongezeka.Yaani kwa mfano kukiwa na mlipuko wa Cholera kwenye kijiji chenye idadi ya watu 500 sio sawa na mlipuko huo ukitokea kwenye Jiji la watu 500,000.
Sababu ya pili ni utaalamu wa kugundua hali hiyo umeongezeka kulinganisha na zamani.
 
RFK Jr adai vijana wanaotahiriwa hasa wakiwa wadogo wengi wanakuwa katika hatari ya kupata usonji.
View attachment 3486908
Issue hapo, ni kama watoto wakipewa Tylenol baada ya tohara.
Tylenol ndio inayofikiriwa kuweza kusababisha autism.

Hata hivyo wanasayansi bado hawajaafikiana kwenye suala zima la hiyo Tylenol. Na pia si watoto wote wanaopewa hiyo dawa baada ya tohara
 
Back
Top Bottom