Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 492
Daah.. Ila Ni mzuri kinomaMtoto wa kitanga yule.
Daah.. Ila Ni mzuri kinomaMtoto wa kitanga yule.
Mzee Heshima yako, naweza pata mawasiliano ya mh.. Mawasiliano binafsiTanga hawajui Kiswahili? Ummy ana mambo sana. Namjua vizuri sana
Mzee Tupatupa
Duu kweli hii ni nje ya mada toka kwa Nje ya MadaMzee Heshima yako, naweza pata mawasiliano ya mh.. Mawasiliano binafsi
At least leo umekosoa kwa heshima....!!!!
Yule wa kufunga ni naibu wake.Aiseee, ni yule yule wa kufunga magati ama?
Anajua vizuri sana na ameathiriwa tuu na matamshi ya luga yake ya asili ni sawa sawa na mbunge mmoja kutoka kanda ya ziwa na ni msomi mzuri sana ila ukimwambia atamke " NNE '' Hata umkate kichwa hawezi yeye atasema " INE"
Hahahhaa wee kizuka sijiiti mshana jr hilo ndio jina langu halisi nikwambie mara million ngapi ndio uelewe??? Chuki unazo wewe na hilo linajulikana wazi usitafute huruma usiyostahiliAchana nae huyo anaejiita Mshana Jr. amekosa cha kukosoa na hata alipojaribu kukosoa yeye mwenyewe akachemsha na nikampa jab hapo juu kidogo.
Huyo tunamjuwa kwa chuki zake na watu fulani fulani katika jamii.
Hahahhaa wee kizuka sijiiti mshana jr hilo ndio jina langu halisi nikwambie mara million ngapi ndio uelewe??? Chuki unazo wewe na hilo linajulikana wazi usitafute huruma usiyostahili
Huna joya. Nimekupa jaba uliporudi tena nikakupa upper cut umebaki kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Sisi hatutetereki.
Kwanza umesema "hajui Kiswahili" halafu ukaanza kubwabwaja kuhusu "operation", ukalipa hilo neno maana tofauti.
Wewe huwezi kushindana na Ummy kwa lolote lile, si elimu, si Kiswahili, si Kingereza.
Ukiwa wahed.
Maskini wee hadi huruma...!!! Unajaribu kujifanya mjuaji kumbe katika watu wapuuzi nakuapia wewe ni mmojawapo, hizo jab sijui upper cut unazionaga tu kwenye TV nitafute nikuonyeshe kwa vitendo. Unakumbuka nilikuita mnuka nini? Hivyo ndivyo ulivyo na utabaki kuwa hivyoHuruma nitafute mie? Wakati mie ndiye nnaekupa darsa humu JF kila siku kwa kukuhurumia.
Unanchekesha!
Maskini wee hadi huruma...!!! Unajaribu kujifanya mjuaji kumbe katika watu wapuuzi nakuapia wewe ni mmojawapo, hizo jab sijui upper cut unazionaga tu kwenye TV nitafute nikuonyeshe kwa vitendo. Unakumbuka nilikuita mnuka nini? Hivyo ndivyo ulivyo na utabaki kuwa hivyo
Uzuri uko wapi pale mzee au umempendea yale meno yake yaloota bila ushirikiano?Daah.. Ila Ni mzuri kinoma
kukoxea, m2 hapa unamaanisha nini?Hv mtoa mada ye hajawah kukoxea kuongea au ndo m2 akiwa kiongoz hatakiw kukoxea?