kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!
Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
EL ni mtu mwenye sifa na ana haki ya kugombea kama mtu mwingine yeyote, kazi ni kwetu wapiga kura! Nampa ushauri wagombee kupitia cdm atashinda.
ndoa za utotoni ni tatizo kubwa sana aisee
Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!
Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
Mwogopeni kama ukoma mtu anayekimbilia Ikulu, aliasa Mwalimu Julius Nyerere kwa sababu Ikulu hakuna biashara.
Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!
Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
Tunapata threads kama hizi kwa sababu kwa magamba huyu ni namba 1 kwa kila kitu. Wenzie wanakula tuuu!! kama kuku wachakura uchafu lakini jamaa ni mjanja angalia: Shule kila kata ( hata kama za vodafasta). Maji mijini na maji ya ziwa victoria kwenda shinyanga na kahama.
Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!
Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
Kazi ipo, yaani Massai ana vibaraka hadi Kiwalani kwa Gude...Kudadeki.Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM! Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.