Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 2,973
- 3,901
This is the conitinuation of the nice movie to watch.
This is the conitinuation of the nice movie to watch.
Kweli kipele kimepata mkunaji! Ila mtoa mada umetudokezea kidogo mno!Hatimaye mh. Samweli sitta amemjibu lowassa kuhusu uamuzi mgumu...''uamuzi mgumu wenye 10% siyo uamuzi mgumu.!
Hapa kuna mawiliThis is the conitinuation of the nice movie to watch.
ilikuwaje akajibu mapigo, yule si waziri na kaimu waziri mkuu!? inakuwaje anachangia hoja?au aliamua kuja kujibu mapigo ya mbaya wake
Nyie wote hamjamuelewa Lowassa anaposema maamuzi magumu, kwamba serikali imeshindwa kuwakata Majambazi yalikwapua pesa za EPA, Merereta, Kagoda, Richmond na Rada kama Serikali inaubavu ichukuwe maamuzi magumu ya kuwakata siyo kushangilia Ujinga Bugeni
Katika hali isiyokua ya kawaida Waziri wa Afrika Mashariki mh Samuel Sitta amesema anawashangaa watu wanaosema serikali imeshindwa kuchukua maamuzi magumu ni wao wenyewe ambao wameiingiza serikali katika Mikataba mibovu inayotesa wananchi mpaka sasa,Sitta ameyasema hayo wakati akichangia mjadala wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Raisi Mazingira + Muungano,hii inaonesha Sitta alikua akimjibu Lowassa ambae ametanabaisha serikali ya Jk haichukui maamuzi magumu,wama Jf nawasilisha kwenu
lowassa ni kama chumvi iliyoharibika...nashangaa hadi sasa serikali na chma chake havijachukua hatua zozote dhidi yake...
hivi ile wiki yake ya kuwa kiongozi wa shuguli za serekali bungeni iliisha? au ndo anamalizia kiaina?
sita noma. nilijua tu lazima ataacha headlines na sijui kama atapewa tena hiyo nafasi, lakini meseji senti