Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Ikithibitika ni kweli he!!!Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Sasa hao waliotumwa wakikubali kwamba ni kweli walitumwa! Nani atafungwa sasaHuu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Relax mkuu usifoke hivi na kuonyesha ni jinsi gani ulivyokatili na mwenye visasi, hii ni kazi ya polisi kufanya investigation ili kujua UKWELI na huwezi kamata mtu kama ushahidi wa to link with crime huna, huyu kijana ni whistleblower na police wana utaalamu wa kumtafuta na kumhoji ili kujua ukweli, pls ni vema ukawa ni mtu unayependa kuona tunaishi kwa upendo sio hasira na ukatili.Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Utakamata wangapi kwa ajili ya kumsafisha DIKTETA wa Chato? Kitu gani wewe unatia wasiwasi juu ya UFEDHULI wa Magufuli?Huu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
Kama Lissu alishambuliwa kwa lengo la kumuua, kuchoma nyumba na mashamba ni kitu gani kingezuia mwenye kusudio hilo ashindwe kumfanyia Zitto huo Umafia?Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Upumbavu mtupu, mbona aliotoa amri kuondolewa kwa kamera eneo analoishi Tundu Lissu anafahamiaka na hakukamatwaHuu ni uzandiki mbaya sana kwa mwanasiasa kumchafua kiongozi aliyetangulia mbele za haki.
Maadamu jinai haina mwisho na huyu Zitto anadai kuwa hayati Magufuli alituma watu kuchoma mali zake, nyumba iliyoko Kigoma na shamba la korosho huko mtwara.
Kama huyu Zitto sio muongo basi akamatwe na kusaidia jeshi la polisi liwakamate hao waliotumwa kuchoma mali zake. Maana hili ni kosa la jinai na adhabu yake ni kifungo cha maisha.
My take; Kufuga wanasiasa kama huyu Zitto kwenye taifa letu ni kufuga maadui wasiofaa kabisa.
ExactlyZitto mkabwela huyo jamaa aliaminika kwa siasa zake kipindi hicho lakini baada ya kumsoma vizuri kumbe amejaaa siasa za kinafiki na za kujikweza
Unathibisha vipi?Hakuna shaka kwamba marehemu pombe alikuwa na matendo kama hayo hata zaidi... Japo zito ni mnafiki lakini katika hili hamna shaka
Nani alitumwa?Sasa ile ofice ya uwakili ya fatma karume ilichomwa moto pia