Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,408
- 25,932
Kama job ndugai hadi mdomo unajaa povu akiwa anatetea ujinga upumbavu na uvunjaji wa katiba ya nchi.Wakiulizwa matumizi yake, wanataka kurusha ngumi.
Profesa Assad hakukosea kuliita Bunge la Job Ndugai , bunge dhaifuuuuuu