Waziri Nchimbi hakuvamia kwa bahati mbaya maandamano ya waandishi wa habari leo Jangwani

We Creators of problems we need to allow another level of thinking to Resolve the Problem.

This should be the starting point for you jounalists.It is high time to clean you house so you may start building a solid foundation of your professional, you guys have to strenghthen your professional board and start shining like those of NBAA, ENGINEERS, PPRA although they are not shinning as they were supposed to be.welcome to the show, ondoeni makanyanga ya kisanii yanayojifanya mimi mwandishi wa habari kumbe kasomea bagamoyo chuo cha sanaa.Wekeni vigezo ya watu kuitwa waandishi na madaraja. Halafu mtishe kama njaa
 
Alafu kama kumbukumbu zangu zinanikumbusha mgogoro wa amina Chifupa na huyu waziri alihusika sn kulianzisha kwa kubomoa ndoa yake lengo ni kuwa amina alikuwa anaelekea kutaka uongozi UVCCM. Nakumbuka pia kama marehemu alitoa maelezo kwamba anamlaani na malipo yake ni hapa hapa duniani ghafla akapewa wizara ya ulinzi sijui ndio malipo yanaanza?
 
kavaa maguo meupe kama trafiki...angepigwa bomu hapo damu ingeonekana clear...
 
Wanatia aibu mawaziri wa tanzania,hawako serious nchi iko kwenye critical point analeta propaganda za siasa,hivi kweli hii nchi tunauongozi???"journalists must stand firm now'Mmeibeba sana hii serikali sasa imeamua kuwaua na 'wameshanogewa kula nyama za watu' hawawezi chezea nchi kama wana drible mpira!!!!!!!!!!!!!!
 
Nchimbi anasubiri nini kujiuzulu? Aachie ngazi mara moja ina maana anasubiri tufanye maandamano kuwashinikiza Nchimbi, Saidi Mwema na kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Morogoro na Singida?
Naam huyu jamaa anaishi kwa fitina na mungu wa ajabu sana kumbuka ripoti ya awali polisi walisema bomu lilirushwa na waandishi wa habari,lakini hawakujua kama kunawatu walikuwa wanapiga picha tukio zima picha zilipokuja kutoka wakarudi nyuma na kujifungia ndani mpaka leo!!!!!!!Nchimbi hwezi sema kwamba akijiuzulu Tanzania haitapata waziri kama yeye bora wangesema kina magufuli na mwakyembe...................
 
Huyu hapa akisepa

427870_413390608723016_1858638376_n.jpg

Kichwa kikibwa akili ya mende, huyu ndiye haswa alistahili kulipuliwa bomu kule nyololo.
 
This should be the starting point for you jounalists.It is high time to clean you house so you may start building a solid foundation of your professional, you guys have to strenghthen your professional board and start shining like those of NBAA, ENGINEERS, PPRA although they are not shinning as they were supposed to be.welcome to the show, ondoeni makanyanga ya kisanii yanayojifanya mimi mwandishi wa habari kumbe kasomea bagamoyo chuo cha sanaa.Wekeni vigezo ya watu kuitwa waandishi na madaraja. Halafu mtishe kama njaa

U said it ryt..... Theriz nothing crucial in curriculums than setting Professional Levels which at the end of the day every one will be given chance to show wat he got.

You see wat lawyers did? Though they need to review the system of Law School but tz a 'Step Foward.'

Journalists Please Stand Steal.....! & Fight Police Brutality
 
Waandishi wa habari tumieni nafasi yenu ya kuitwa mhimili wa nne wa dola, inavyoonekana hamjali nafasi hiyo adimu, mimi nawashangaa sana hadi mnafikia kudhalilishwa na kina nchimbi kiasi kile, ni aibu ya mwaka, kwa maana nyingine nchimbi anafahamu udhaifu wa waandishi ndiyo maana leo katia timu bila aibu.Kwa mliyoonyesha leo sasa ni mwanzo mzuri badilikeni hamieni basi kubwa mjinafasi, nafasi ya kuitwa mhimili wa nne kama ingetolewa kwa sisi wafugaji mngeshanga vigezo ambavyo tungeweka hadi tungetisha na kuheshimika maana ingekuwa hakuna kula ovyo nyama ya ng'ombe hadi upimwe kiasi CHOLESTEROL mwilini siyo kulakula tu.
 
Anaweza baadaye akajitetea kuwa hakuja kama Waziri wa mambo ya ndani, bali alikuja kama mjumbe wa KAMATI fulani tu.

Ni kweli mkuu, maana kwa kjigeuza fasta hajambo, si Unakumbuka alivoshtukiwa aksema sio TUME ni KAMATI..
 
Likiletwa fungu la mpunga waandishi mtakataaa zile bahasha zetu zileeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!

Na hii kitu ndio inayowaumiza waandishi wetu wa habari na ni utaratibu ambao umezoeleka siku zote kwamba kama una tukio la kijamii unahitaji kupasha watu habari lazima uwalipe wakati vyombo vyao vya habari vipo, na lazima atakula tu kama hutompa atakuja unajua kuna hela ya DVD na vitu kama hivyo unless kama habari yako inauza ndio inaweza kuandikwa hata bila kumwalika. Msimamo wao ni mzuri lakini Nchimbi akasema anataka kuongea na waandishi wa habari akaandaa bahasha imenona kuna ambao wataanza embu leo tumsamehe tumsikilize kama akiongea utumbo tunaondoka kumbe inakuwa gia ya kwenda kuvuta bahasha
 
Huyu naye alienda kufanya nini huko? Mijitu mingine bana...ni heri hata wangelipopoa mawe.
 
Huyu hapa akisepa

427870_413390608723016_1858638376_n.jpg

I hate this man!!! Emmanuel Nchimbi ni mojawapo ya Mawaziri BOMU na DHAIFU sana katika Baraza la Rais MDHAIFU!Hivi alikwenda kufanya nini kwenye maandamano na mkutano wa Wana habari wakti yeye si mwandishi wa habari???Ni ukihiyo unamsumbua! Kama unataka kujua huyu jamaa ni BOMU na DHAIFU kiasi gani basi sikiliza hotuba zake unaweza kuzimia au kutapika kwa kichefuchefu utakachokipata!

Hii mijiwaziri iliyotokana na UVCCM kwa kubebwabebwa tu na baba thao wakati haina sifa ndiyo inayotuletea shida katika taifa hili. Kwa Nchimbi alivyo naamini hata akipewa Ubalozi wa nyumba kumi hawezi kuongoza!!!Poelni sana Watanzania kwa kuongozwa na waziri kama huyu!

Kama angelikuwa ni Waziri ambaye IQ yake inayofanya kazi angelikuwa tayari amesha jiuzulu na wakti huo huo akiwa amemshauri Rais wake Kiwete kuwafukuza kazi IGP Mwema,RPC Iringa-Michael Kamuhanda na Maaskari wote walioshiriki kwenye mauaji ya David Mwangosi!
 
Back
Top Bottom