Waziri Nchimbi hakuvamia kwa bahati mbaya maandamano ya waandishi wa habari leo Jangwani

Aibu tupu, alifikiria kuna mpunga labda. Hana kazi ya kufanya jamani sasa ameumbuka.

Mtandao noma walitaka kuyumbisha
 
yule jamaa ni fara sana, eti waziri, hawa ndo mawaziri wenu, sasa mbona mnaserikali mbovu sana. Waziri anafikiri kwa ******!! Hovyo sana. Eti anachekacheka mbelw za watu wanaoandamana kwa kulia wakiwa na uchungu, anajileta pale anachekacheka jinga sana. Eti ana phd, chuo kilichompa hiyo degree kichunguzwe, hafai kabisa. Watu wamevaa mavazi meusi wanalia yeye anajileta kama demu na mavazi yake ametoka guest house anachekacheka kama malaya. Wizara yake inahusika na mauaji badala ya kukaa atafakari ajiuzulu anajipitisha pitisha. Afrika na tanzania inaibishwa duniani na aina hii ya vilaza eti viongozi. Hivi nchi hii imekosa watu wa kuwa mazaziri mnawapa mamlaka vilaza kama hawa. Aiubu sana. Hoyvooo.
halafu kuna yule mama mweupe alikuwa anamtetea sana nchimbi emmanuel mweupe hivi alikuwa ameambatana nae yule ni nani??au ndio alikuwa ametoka k.u.b.a.n.d.u.a na shombo zake akavamia maandamano,atakuwa alitokea bondeni hotel manzese pale si unajua kuna madanguro mengi,huyu ndiye waziri watu wanaomboleza msiba yeye anavaa suti rangi ya maziwa mpaka boxer inaonekana,alitokea ofisini huyu????
 
halafu kuna yule mama mweupe alikuwa anamtetea sana nchimbi emmanuel mweupe hivi alikuwa ameambatana nae yule ni nani??au ndio alikuwa ametoka k.u.b.a.n.d.u.a na shombo zake akavamia maandamano,atakuwa alitokea bondeni hotel manzese pale si unajua kuna madanguro mengi,huyu ndiye waziri watu wanaomboleza msiba yeye anavaa suti rangi ya maziwa mpaka boxer inaonekana,alitokea ofisini huyu????
 
Waziri Mkuu pamoja na Rais wanapaswa kumuajibishwa waziri wa aina hii, inaonyesha hali tuliyonayo kwasasa maana kwa wadhifa wake kiukweli hakutakiwa na hapaswi kufanya kitu kama hicho, ni wahuni tu wanaweza fanya hivyo lakini si mawaziri. Ni aibu, anapaswa kuhojiwa na kamati ya nidhamu ya Baraza la Mawaziri kwa kitendo hicho, nashangaa sijui alitaka kutoa ujumbe gani!!
 
Jana waandishi wa habari katika maeneo mbalimbali ya nchi waliandamana kulaani mauaji ya mwandishi wa habari Daudi Mwangosi yaliyotekelezwa hivi karibuni na jeshi la polisi mkoani Iringa lililo chini ya wizara inayoongozwa na waziri Emanuel Nchimbi.

Katika jiji la Dar es salaam, maandamano hayo yalianza katika kituo cha runinga cha chanel 10 na kuhitimishwa jangwani.

Katika kile kilichoonekana kuwashangaza na pengine kuwaacha njiapanda watanzania wenye akili timamu ni pale waziri Nchimbi alipojipachika wajibu wa kupokea maandamano hayo bila idhini ya wanahabari wenyewe.

Je, Nchimbi alitaka kuuhadaa uma wa watanzania kuwa serikali yake imeguswa na mauaji ya mwandishi yaliyotekelezwa na wizara yake? Au tuseme mheshimiwa alitaka kuwaambia watanzania kuwa pamoja na kwamba mauaji yalifanywa na jeshi la polisi lililo chini ya wizara yake, wao kama viongozi wa juu wa serikali hawahusiki kabisa na mauaji hayo?

Kwa mtazamo wako, unafikiri Waziri Nchimbi alikuwa anatafuta nini kwenye maandamano ya waandishi wa habari ya jijini Dar?
 
Nchimbi ni mwanasiasa hivyo alikwenda kufanya siasa kama alivyoonekana akiongea kwenye tv, eti kuwapongeza waandishi kwa kuomba kibali cha maandamano kufanya maandamano bila vurugu na kwamba wametufundisha (CHEDEMA) jinsi demokrasia inavyotakiwa kuwa. wenye akili wanampuuza kwa sababu wakati wa mauaji ya Daudi CHADEMA hawakuwa na maandamano wala mkutano wa hadhara, bali ufunguzi wa tawi.
 

Kama hamfahamu vizuri Nchimbi ni zao la wanamtandao waliomweka Kikwete madarakani na ndio mwenyekiti aliyevuruga uvccm, na kama mnataka ukweli zaidi nendeni mkamhoji Sumaye Fredrick waziri mkuu mstaafu alikua anamaanisha nini alivyosema "anayefagia njia ya kwenda ikulu kwa karatasi basi akifika huko atatumia risasi ili aweze kutawala"mwaka 2005 kwenye kinyang'anyilo cha urais alipokuwa amechafuliwa sana na wanamtandao kwenye kampeni za kuwania urais kwa tiketi ya CCM.

Hio sentensi kwenye maandishi mekundu itamtesa sana 'dhaifu', ilianzxa kudhihirika mapema sana miaka hiyo. Ndo haya ya Mwangosi
 
Ndugu zangu jambo kubwa na mhimu ni kumwomba Mungu tu aweze kusaidia Tanzania kuondokana na mambo yanayofanywa na hii serikali. Kisasi ni cha Mungu si kutoka
kwa wanadamu.
 

Je mnakumbuka mjadala wa dowans ulivyopamba moto wakatuletea kikombe cha babu loliondo?? Na viongozi wote waserikali wakawa wa kwanza kupata kikombe na kusifia kikombe??
yaani mkuu hapa ndo nilipo amini serikali ni kitu kingine,yani kina slaa walivopamba moto na ile ishu wakatuibulia babu yaani hawa jamaa wana akili za makalio sana ingawaje walifanikiwa kwa kiasi flani..safari hii sijui wataibua lipi kutupoteza
 
Hii ndio Tanzania yetu.....imeoza kwa uongozi mbovu kupita kiasi.....halafu mtu bado anasafiri nje kwa kisingizio cha "STATE VISIT" jamani hatuna viongozi...hivi huko Kenya kulipokuwa na matatizo ulimuona kiongozi akisafiri?! Zaidi walikaa pamoja kujadili cha kufanya "KWELI BABA WA TAIFA ALIONA MBALI NA NDIO MAANA HAKUTAKA AWE RAISI"
 
Eti nchimbi naye ni waziri tutakutana 2015 na kamuhanda wako!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Anaweza baadaye akajitetea kuwa hakuja kama Waziri wa mambo ya ndani, bali alikuja kama mjumbe wa KAMATI fulani tu.

Mkuu, yawezekana unasema kweli, anaweza kusema hivyo kama ulivyotabiri.
Lakini na ile risala aliyokuwa anaiomba je? Maana risala hupewa mgeni rasmi, ndivyo ambavyo alitaka kujiaminisha mhe. Nchimbi kwamba yeye alikuwa mgeni rasmi!!!???.

Namsikitikia kwa blunder hiyo. Hawakumshauri vizuri.
 
Bushman,

You are such a clever fellow! Hakika ile haikuwa bahati mbaya na kwa kiasi kikubwa alifanikiwa ku-divert attention kwa kuweka headlines za waziri kufukuzwa badala ya ujumbe wa siku ile. Kwa vyovyote vile habari ya waziri kufukuzwa iliuza magazeti mengi zaidi kuliko maandamano ya kulaani mauaji.
 
Back
Top Bottom